ujenzi

  1. Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Kwa miaka kumi ujenzi wa bandari hii kwa ushirikiano wa Oman na china umesuasua Lakini sasa mambo yameiva na disemba hii ujenzi utaanza, bandari hiyo itakua kubwa kuliko bandari zote kusini mwa saha,itagharimu $10b. Itakua na kongani za viwanda,makazi ya wafanyakazi wapatao 15k,ni sehemu ya...
  2. Ujenzi wa meli mpya 4 kufungua fursa Katavi na Kigoma

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema mkoani Katavi. Waziri Mbarawa yupo mkoani Katavi kwa ziara yake ya siku mbili amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo pamoja na utoaji huduma katika Bandari ya Karema. Meli hizo...
  3. Waziri wa Ujenzi aagiza Wakandarasi Wachina wanaokwamisha ujenzi wa Barabara wawekwe ndani

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuwekwa ndani kwa wakandarasi wa kampuni kutoka China ambao wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba wa ujenzi wa barabara ingawa serikali imetimiwa wajibu wake kwa kulipa sehemu ya malipo. Ulega amesema juhudi za kutaka vigogo wa kampuni hiyo kuja...
  4. J

    KERO Uzembe wa TANESCO wakwamisha ujenzi wa barabara-Dar

    TANESCO kata ya Kibamba -Dar, inafanya uzembe mkubwa sana kwa kushindwa kuhamisha nguzo za Umeme kwa muda kwenye barabara ya Hondogo iliyokuwa inajengwa. Hii imesababisha Mkandarasi kuhamisha vifaa vya kazi na kupeleka sehemu nyingine, na kuacha kero kubwa kwa wakazi hasa mvua inaponyesha...
  5. R

    PostGE2025 DC Ilala ahimiza ujenzi upya wa Ofisi zilizoharibiwa wakati wa Vurugu Oktoba 29

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao kuharibiwa. Akizungumza wakati wa kufanya tathmini ya maeneo yaliyoharibiwa, Mpogolo alisema kuwa Serikali...
  6. Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania

    Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania Unajua? Biashara ya vifaa vya ujenzi ni fursa kubwa hapa Tanzania 🏗️ Lakini kufanikiwa kunahitaji mikakati sahihi. Hebu tuangalie mambo ya msingi: 🔹 1. Litambue soko lako Usiingie gizani! Jua wateja wako ni nani, bei za washindani wako zikoje, na...
  7. Ijue Biashara Ya Vifaa Vya Ujenzi

    Biashara ya vifaa vya ujenzi Tanzania ni fursa kubwa yenye faida endapo utaingia ukiwa na mikakati. 1. Litambue Soko Lako Kabla ya kuanzisha duka la vifaa vya ujenzi, hakikisha unatambua soko lako. Jua ni wateja gani unaowalenga wawe mafundi, wamiliki wa nyumba, au makandarasi wakubwa. Fanya...
  8. Maji, Unyevu, Fungus, paa kuvuja na Kemikali za Ujenzi — Changamoto, Uzoefu na Suluhu.

    💧🏗️ C stallion Africa kamili dhidi ya maji, unyevu na matumizi ya kemikali katika ujenzi Wadau wote wa sekta ya ujenzi – Karibuni! Wahandisi, mafundi, wakandarasi, estate managers, wamiliki wa majengo, na maduka ya hardware – huu ni mwaliko maalum wa kujadili na kutatua changamoto...
  9. Napitia wakati mgumu mno kufanya maamuzi ya ujenzi

    Ndugu wana Jf mimi ni kijana hizi nyumba za kupqnga zimenichosha, kutwa kelele za kugombezwa na mama mwenye nyumba mbele ya wanangu wawili ni fedheha. Nimejipigapiga nimeuza maeneo ya urithi ili angalau nijistili na familia yangu Sasa changamoto mimi ni mgeni wa masuala ya ujenzi..nimeleta uzi...
  10. Kujenga na Ujenzi kwa wenye kipato cha chini

    Tuanze na hii hiki ni Chumba kimoja chenye urefu na upana wa futi 14,Kwa 14, chumba kina choo ndani, chumba pia kina jiko ndani jiko la saizi ya futi 4 Kwa 5, apo zimetumika tofari 780, sehem ni kigamboni kibada,,,, maisha ni kuchagua😍😍 Kwa ushauri Bora wa kitaalamu muone Hechy Essy
  11. GE2025 Dkt. Jafari atangaza ujenzi wa barabara na Hospitali mpya Busanda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda kupitia chama cha CCM, DKT. Jafari Seif, amezindua rasmi kampeni zake akitangaza ajenda kuu ya kuimarisha miundombinu ya barabara na huduma za afya. Katika hotuba yake ya uzinduzi, DKT. Jafari ameeleza mpango wa kujenga barabara mpya itakayounganisha majimbo...
  12. Kuna cha kujifunza hapa mafundi ujenzi

    Mafundi ujenzi wanahitaji kuwa na ujuzi wa vitendo, maarifa ya kina na mbinu za ubunifu za kufanya kazi. Hii ni kwa sababu taaluma yao inahusiana moja kwa moja na usalama wa majengo, madaraja na mifumo mikubwa ya jamii. Elimu ya darasani pekee haitoshi; mafundi wanapaswa kujua kutumia vifaa...
  13. GE2025 Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi Arusha

    Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
  14. DC afika eneo la Mtemi Beda, asema ujenzi wa Barabara na Daraja ulikwama sababu ya mvua, Mkandarasi amerejea ‘site’

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda Kitongoji cha Milala Shongo Kijiji cha Milala, ufafanuzi umetolewa sababu ya kukwama kwa mradi huo...
  15. Mambo kumi kuhusu ujenzi niliyoyaona Dodoma

    Karibuni tena katika makala yetu yenye kuangazia kuhusu masuala ya Ujenzi. Nipo kikazi katika mkoa wa Dodoma, leo nitapenda niangazie mambo kadhaa ya Ujenzi niliyo yaona Dodoma. 1. UPATIKANAJI WA MATILIO ZA VIWANDANI Kuna ugumu wa upatikanaji wa matilio ukilinganisha na Mwanza,Arusha au Dar...
  16. Kuna fundi ananiambia nimpe msingi 1.5m na ukuta 2.5m katika ujenzi wa fensi wa eneo la 27.5m x 31.5m, je ananipiga?

    Karibuni wakuu kwa mawazo yenu Msingi ni wa mawe. Ukuta ni 6ft Hapo ni bila kuchapia cement baada ya ujenzi (cement skimming) Hio 1.5m ya msingi ni kuchimba msingi na labour charges zake DeepPond RRONDO na wengine karibuni
  17. Ujenzi na ubomoaji wa hoja: Janga kubwa kwa viongozi wetu

    Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu. Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
  18. S

    Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

    Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega...
  19. fundi wa ujenzi maeneo ya kibaha tuchekiane nbox..na wa tiles8

    All d best
  20. Nchi zenye kupendeza, uzuri na mpangilio wa Ujenzi mzuri zaidi Duniani

    Nchi Zinazojulikana kwa Uzuri na mpangilio mzuri wa Muundo na Mazingira 1. Italy Inajulikana kwa mafanikio ya kipekee ya usanifu kama miundo ya Kirumi, Renaissance, Baroque, na Neoclassical. Mijini kama Rome, Florence, Venice ina majengo ya kihistoria kama Duomo ya Florence, Colosseum, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…