ujenzi

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Tabora awawashia moto watendaji, kisa vibarua wa ujenzi kutokulipwa, aagiza mkandarasi kukamatwa

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa majengo Kituo cha Afya cha Itetemia kilichopo Manispaa ya Tabora kutokana na tuhuma za kutowalipa...
  2. kijana wa leo

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega apendekeza Watu binafsi kutumia barabara za Mwendokasi kwa kulipia

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya Serikali kupitia barabara za mwendokasi huku akipendekeza zitumiwe na magari binafsi kwa kulipia. Akizungumza leo Alhamisi Februari 13, 2025 mkoani kwenye...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa: Ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere umefika asilimia 99.80, mvua zisiponyesha hata misimu miwili bado tutazalisha umeme

    Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha mikoa yote nchini inaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kwani kwa sasa, mikoa ya Katavi, Rukwa, Kagera, Lindi, na Mtwara ndio bado haijaunganishwa. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  6. aise

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Ngazi

    Karibu nikujengee ngazi nzuri 0624254690
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Chunya Kupangiwa Bajeti 2025/2026

    UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 maombi ya fedha kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya. Mhe...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Songwe: RC Chongolo aiagiza TANROADS kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Isongole-Isoko (km 52.419) kwa kiwango cha lami unaanza mara moja

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga, kuhakikisha mkandarasi wa barabara ya Isongole-Isoko anaanza ujenzi mara moja. Tayari serikali imetangaza zabuni kwa ajili ya ujenzi wa barabara...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TARURA Arusha Yaagizwa Kuharakisha Ujenzi Daraja la Oltukai - Monduli

    TARURA ARUSHA YAAGIZWA KUHARAKISHA UJENZI DARAJA LA OLTUKAI-MONDULI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemuelekeza Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha kusimamia kwa haraka hatua za manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa Daraja katika...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri kombo atembelea miradi ya ujenzi jijini Addis Ababa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) leo tarehe 14 Februari, 2025 ametembelea eneo la mradi wa ujenzi unaoendelea kwenye viwanja vya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na gharama ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma kwa Tshs.310 billioni

    Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni. Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde: Michakato ya kuanza ujenzi wa mpira Dodoma ilikuwa mingi hadi Rais Samia alipoingilia kati ndiyo ikawezekana

    Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake ilikuwa mingi ambayo haikufanikiwa hadi pale Rais Samia Suluhu Hassan alipoingilia ndipo likawezekana...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali TAMISEMI yaahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi Kilolo, Iringa

    Serikali kupitia ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa - TAMISEMI (Afya) imeahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 hadi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi kilichopo Kata ya Ukumbi Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Ahadi hii imetolewa na Naibu Waziri wa ofisi...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Aagiza Utekelezaji Miradi ya Ujenzi Kuzingatia Thamani ya Fedha

    ULEGA AAGIZA UTEKELEZAJI MIRADI SEKTA YA UJENZI KUZINGATIA THAMANI YA FEDHA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameelekeza Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuhakikisha wanazingatia thamani ya fedha wakati wa utekelezaji na usimamizi wa miradi mbalimbali nchini ikiwemo barabara, madaraja...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeanzisha Majaribio ya Ujenzi wa Barabara kwa Teknolojia ya Armarseal

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal. Teknolojia hii inalenga kuboresha uimara wa barabara na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara. Moja ya...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro

    Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro. Mradi huu ulikuwepo kwenye mipango ya maendeleo tangu Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961 ambapo utekelezaji wake umeanza. Ujenzi utatekelezwa kwa gharama ya Sh. bilioni 336 ambapo hadi sasa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PAC yabaini madudu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi wasiosajiliwa, ujenzi bila vibali, ongezeko la gharama, na ucheleweshaji wa malipo. Mwenyekiti wa PAC...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika ujenzi: Mafundi uchwara wanavyoharibu kazi

    Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye Ununuzi wa ardhi/kiwanja Mafundi wa kila idara Makisio ya vifaa, ufundi Muda sahihi wa kuanza ujenzi Nini cha kuanza kufanya nknk Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yaridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) uliofikia asilimia 99

    Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari 2025. Akizungumza wakati wa majumuisho mara baada ya ziara ya kukagua ujenzi wa maktaba hiyo...
Back
Top Bottom