ujenzi

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetenga Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele, Iringa

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele Kilichopo Manispaa ya Iringa lengo likiwa ni kusogeza huduma za afya kwa Wananchi hususani wakina Mama Wajawazito. Wakizungumza Wananchi wa Kijiji hicho wamesema Zahanat hiyo itakwenda kuwa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa, amtaka mkandarasi kuongeza kasi ujenzi wa Daraja la Mbambe Rufiji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza kasi ya ujenzi wa Daraja la Mbambe lenye urefu wa mita 81 ili likamilike kwa wakati na kuondoa adha inayowakabili wananchi wa Wilaya ya Rufiji. Mchengerwa akitoa maelekezo...
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi mwananchi kukamatwa/kulipa faini kwa kutohudhuria mikutano Serikali za mitaa,Kuchangia ujenzi madarasa?

    Nimegongewa mlango asubuhi ya leo, na watu waliojitambulisha kuwa ni balozi, mwenyekiti na askari mgambo, Wakieleza kwamba natakiwa kulipa faini jumla sh 12,500/= ambapo 10,000/= ni kwa kushindwa kuhudhuria mkutano walioutangaza hivyo nilipaswa niwepo au nitoe sababu za dharura ya...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi na Uanzishwaji wa "High School" za Sayansi, Musoma Vijijini

    UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI NA UANZISHWAJI WA "HIGH SCHOOLS" ZA SAYANSI Musoma Vijijini- kila Sekondari inapaswa kuwa na maabara tatu za masomo ya sayansi. Masomo hayo ni yale ya Fizikia, Kemia na Bailojia Jimbo letu linao mradi kabambe wa ujenzi wa maabara hizo tatu kwa kila...
  5. K

    JamiiForums Tanzania 🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA,

  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wamshukuru Rais Samia kutenga bilioni nne ujenzi shule ya wasichana

    Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua. ==== Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi anayekarabati Stendi ya Bukoba amerejea 'site' baada ya ujenzi kusimama mwaka mzima

    Nimefanikiwa kupita kwenye Stendi ya Bukoba ambayo iliezwa na Viongozi wetu wa Serikali kuwa inafanyiwa ukarabati mkubwa, nimekuta kwa sasa ujenzi unaendelea baada ya kusimama kwa zaidi mwaka mzima. Mnamo Januari 2025 nilileta hoja hapa Jukwaani nikaeleza kwamba ujenzi umesimama na mkandarasi...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Slaa awataka wananchi kushiriki ujenzi wa mnara

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewahamasisha wananchi wa Kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, mkoani Morogoro, kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa mnara wa mawasiliano ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano, hasa vijijini. Pia soma Pre GE2025 Miradi...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tabora: Kamati ya Bunge yaridhishwa ujenzi Bwawa la Kizengi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson Kiswaga, imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Kizengi, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora. Pia soma Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91

    Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa daraja la Pangani

    Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Moshi Kakoso amesema kazi iliyofanywa kwenye daraja hilo lenye urefu wa meta 525 ni kubwa hivyo Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), wahakikishe daraja hilo linakamilika kwa wakati ili kukuza fursa za uwekezaji katika ushoroba wa...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: serikali yafanya uboreshaji barabara ya Namanga – Sinonik – Mairouwa

    Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kufungua fursa za kiuchumi kwa kuboresha miundombinu na kuondoa vikwazo kupitia mradi wa RISE sehemu ya uondoaji vikwazo katika barabara wilayani Longido mkoani Arusha. Meneja wa TARURA wilaya ya Longido, Mhandisi Lawrence Msemo...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yaimiza Serikali kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani

    Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya Afrika Mashariki, kipande cha kilomita 34 kilichosalia cha Tanga-Pangani, ambacho kwa mujibu wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tunafanya ujenzi bora wa nyumba

    🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA, UBORA WA KUDUMU! 🔥🏗️ Unataka nyumba yako iwe ya kuvutia na ya kisasa? Tunakuletea huduma bora za ujenzi na ukamilishaji kwa viwango vya juu! 👌🏾🏠 🔨 Huduma Zetu: ✅ Finishing & Decorations – Tunamalizia kwa ustadi wa hali ya juu ✨ ✅ Plasta – Ukuta wako...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ashiriki kupandisha vifaa ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano Kijiji cha Idete (Morogoro)

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), leo Machi 14, 2025, ameshiriki zoezi la kupandisha vifaa vya ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano katika kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro. Mnara huu ni miongoni mwa minara 758 ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PIC Yataka Wakandarasi Kumaliza kwa Wakati Ujenzi Kiwanja cha Ndege Msalato

    PIC YATAKA WAKANDARASI KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KIWANJA CHA NDEGE MSALATO Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeuelekeza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhakikisha wanawasimamia Wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia

    Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano tena hakuna la maana. ======= Wananchi wa Kata ya Mtipa, mkoani Singida, wamefanya sherehe kubwa...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Siasa CCM Dodoma mjini waigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Nkuhungu

    WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wameigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Kata ya Nkuhungu mkoani Dodoma kwa kudai ina mapungufu kutokana na hali ya kusuasua kwa mradi huo na hivyo kuagiza kuandaliwa kwa taarifa mpya yenye majibu...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini: Twende kwa Kasi Kubwa

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA Kumbukumbu: Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Milion 600 kujenga kituo kipya cha afya Mahuninga, Iringa

    Kutokana na changamoto ya muda mrefu wanayopitia wananchi wa kata ya Mahuninga halmashauri ya wilaya ya Iringa Mkoani ya kufuata huduma za afya umbali mrefu uenda ikabaki historia mara baada ya kutengwa kiasi cha sh milion 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha afya. Kituo hicho kinajengwa...
Back
Top Bottom