ujenzi wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Jafari atangaza ujenzi wa barabara na Hospitali mpya Busanda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda kupitia chama cha CCM, DKT. Jafari Seif, amezindua rasmi kampeni zake akitangaza ajenda kuu ya kuimarisha miundombinu ya barabara na huduma za afya. Katika hotuba yake ya uzinduzi, DKT. Jafari ameeleza mpango wa kujenga barabara mpya itakayounganisha majimbo...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania KERO Mipangilio mibovu kwenye ujenzi wa barabara za vingunguti, airport na majumba 6 kunasababisha foleni barabarani

    Kama unaenda Ubungo au Buguruni kupitia barabara ya Mandela tafuta njia mbadala, si kwa hii foleni. Barabara mchepuko za vingunguti, airport na majumba 6 zimefungwa kwa wakati mmoja lazima foleni zitokee. Hakuna mipangilio kwenye ujenzi wa barabara na wanajua kuwa DSM ina msongamano mkubwa wa...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kujenga kituo kikubwa cha mabasi na soko la kisasa Igunga

    Akiwa Igunga Mkoani Tabora kwenye muendelezo wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Kituo kikuu cha Mabasi Igunga pamoja na soko kuu la Igunga ikiwa atachaguliwa kuongoza tena Tanzania kwa kipindi kingine cha...
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi Arusha

    Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC afika eneo la Mtemi Beda, asema ujenzi wa Barabara na Daraja ulikwama sababu ya mvua, Mkandarasi amerejea ‘site’

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda Kitongoji cha Milala Shongo Kijiji cha Milala, ufafanuzi umetolewa sababu ya kukwama kwa mradi huo...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia , Ilizuia mara Moja Ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Makao Makuu Wilaya Ngorongoro-Arusha ,iloanzwa kujengwa na Hayati Magufuli

    Kumbe Hayati Magufuli, Kwa kuhakikisha Anaunganisha Nchi Kwa Barabara zenye kiwango cha Lami Tanzia nzima. Alianzisha Ujenzi Wa Barabara Kwa Kiwango Cha Lami uliokua unaunganisha Makao Makuu ya Wilaya ya Ngorongoro Hadi Arusha . Aliyenipa Taarifa hiii, ambaye pia ni Kiongozi Mkubwa wa CCM na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara Jwangwani

    Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la zimamoto lakini wamepuuza Kwa kujenga barabara ya chini ambayo Kila mwaka inazidiwa na mafuriko. Au Kwa...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Trilioni 11.4 zatekelezwa kwa miradi ya maendeleo Kigoma, shilingi bilioni 731.5 zatumika kwenye ujenzi wa barabara

    Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Kigoma umepokea jumla ya shilingi trilioni 11.4 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 731.5 zimetumika kwenye ujenzi...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Mchengerwa Ataka Kukamilika kwa Ujenzi wa Barabara Jimbo la Ukonga kwa Wakati.

    Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati. Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Aguswa na Mtoto Mwenye Kipaji cha Ujenzi wa Barabara na Madaraja, Aahidi Kumsaidia

    WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa kwenye ujenzi wa barabara ni kubwa sana 10% ni lazima

    Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha 1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani 2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini 3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine 4. Hii inasabaisha kampuni nyingi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kusimama kwa ujenzi wa barabara ya Bukokwa kwenda Nyakarilo katika jimbo la Buchosa (Sengerema) yenye urefu wa Km 3

    Tangia mwaka jana mwezi wa 12 (12/2024) mradi umesimama na mkandarasi hayupo eneo la kazi mpka sasa ningependa kujua shida nini au ni mkandarasi mwenyewe ama mamlaka yaan Tanroads Mwanza. Mradi huu unaotekelezwa na mkandarasi D4N Company Limited tangu mwaka jana mwezi wa 12 umesimama na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dalilinya ufisadi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya: vituo vya mabasi ni vikubwa/virefu mno na viko karibukaribu

    Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kupitia TANROADS yasaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami mkoa wa Songwe

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika mkoa wa Songwe, hatua inayolenga kuboresha miundombinu, kurahisisha usafiri na kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Mikataba hiyo imesainiwa mbele ya Naibu Waziri wa...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Je, TARURA Morogoro wapo likizo au hakuna bajeti ya ujenzi wa barabara? Wakazi wa Manyuki tunapata shida

    Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA). Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara unaoendelea maeneo mengi ya Dar kwa wakati mmoja, Je, ilifanyika tathmini ya awali kubaini athari?

    Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na kilio cha foleni hasa kutokana na ujenzi unaondelea katika meneo mengi hususani njia za mwendokasi pamoja na utanuzi wa barabara za kawaida. Natumaini ni matamanio ya kila mmoja wetu humu kuona...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani aeleza Ujenzi wa barabara ya Nyakahanga – Nyabiyonza – Masheli unavyonufaisha wananchi Karagwe

    Wananchi wilayani Karagwe mkoani Kagera wameeleza kunufaika na ujenzi wa barabara ya Nyakahanga-Nyabiyonza -Masheli ambapo kero ya usafiri iliyokuwepo imeondolewa baada ya matengenezo ya maeneo korofi. Akiongea katika mahojiano maalum, Diwani wa Kata ya Nyakahanga, Charles Beichumila ameeleza...
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) wafikia zaidi ya asilimia 85

    Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesomewa taarifa hiyo alipotembelea ujenzi huo ili kuona maendeleo yake. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 112.3, ni miongoni mwa...
Back
Top Bottom