UJENZI WA BARABARA ZA LAMI KATA YA BIHARAMULO MJINI.
Kuna kazi ya kasi bado inaendelea kutekelezwa jimboni biharamulo kata ya biharamulo mjini kuakikisha barabara zote za mjini zinajengwa kwa kiwango cha lami tangu mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa awe mbunge wetu .
Barabara hii ni mfano...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohammed Omar Mchengerwa, akiwa ziarani mkoa wa Kilimanjaro ametangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa shilingi bilioni 7 kwa ajili ya ujenzi wa...
Kumekua na tabia ambayo imeota mizizi kwa makampuni ya ujenzi kuchimba udongo wa moramu kwa ajili ya ujenzi wa barabara na kuaacha mashimo ambayo ni hatari kwa maisha ya binadam na uharibifu wa mazingira.
Makampuni haya ya ujenzi baada ya kuchimba molamu kwa ajili ya ujenzi wa barabara mradi...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kiongozi akila rushwa katika shughuli za kiserikali, aliyepokea rushwa hana uthubutu wa kumchukulia hatua mtoa rushwa.
Wachina wanajulikana, na siyo siri, kutoa rushwa katika kupata miradi mingi ya ujenzi wa barabara.
Mfano mkubwa ni barabara za BRT mjini Dar es...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuifungua mikoa ya Kusini kiuchumi kwa kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kiuchumi yenye umbali wa...
Pamekuwa na ujenzi wa barabara ulioanza karibuni ambao umeleta usumbufu na hata kuhatarisha maisha ya Wananchi wa eneo husika katika Mtaa wa Mindu, Kata ya Upanga Magharibi, kwani haujazingatia usalama na hata Sheria kwasababu umeziba eneo la makazi ya Watu zaidi ya 4,000 na hata huduma za...
Wakuu Nina miaka sisikilizi bunge na Jana nikabahatika kusikiliza Sina uhakika kama lilikuwa live au ni marudio ya miaka ya nyuma huko.
Takribani dk 7 nikiwa mahali nasubiria kupata huduma zilitosha kabisa kujua kumbe tangu niache kusikiliza bunge Hadi Leo Bado vitu vilevile vinajadiliwa...
Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM?
Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho.
Kupata matukio na taarifa...
Wakuu
Hapa kama Nchi ndipo tumefikia yaani Chawa wa Rais Samia, Cassypool amesafiri kutoka Kenya kuja kutembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi.
🤣 Nchi ina Chawa wa Kimataifa, labda kuna pesa nyingi sana inamwagwa kumsemea mhusika ndio maana Chawa wameona ni wakati wa kula na kipofu gizani...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) leo Machi 18, 2025, imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara ya Kasulu - Kabingo yenye urefu wa Kilometa 260, inayotekelezwa kwa awamu nne (Lot 1 - Lot 4) kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni...
Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo yenye urefu wa kilomita 16, pamoja na ujenzi wa kalavati la Chikopelo, kumeleta faraja kwa wananchi wa vijiji vya Chikopelo na Zegele, wilayani Bahi, Dodoma. Mradi huu ni sehemu ya juhudi za Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya Afrika Mashariki, kipande cha kilomita 34 kilichosalia cha Tanga-Pangani, ambacho kwa mujibu wa...
Kwanza niipongeze WASAFI FM, nadhani ndio chombo cha habari huwa wanajadiligi ishu za msingi sana.
Ni ngumu sana kwenda nchi za watu kukuta maujenzi ya barabara kila mwaka hususani maeneo ya mjini. Na hata barabara zinazojengwa mjini ndani ya miezi 6 barabara zinakuwa zimeharibika.
Je tatizo...
Katika pitapita zangu mjini Mwanza, nimeona barabara kuu mbili zote zina wakandarasi zikiboreshwa kutoka njia mbili mpaka nne, na inasemekana wanaacha nafasi kubwa katikati Kwa ajili ya mwendo Kasi,
Sema sasa MAIGIZO ni mengi yaani ni kama mambo hayaendi!!
Nata to Igoma:- barabara mkandarasi...
Zaidi ya fedha Bilioni 2.4 zinatolewa kwa Kaya 435 za Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa Kilometa 112 kutoka Kijiji cha Kagwira hadi Bandari ya Karema.
Ujenzi wa barabara hiyo ya lami unatajwa kuwa kichochea cha...
4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana.
REFORM:
Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee.
Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami.
Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa...
Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.