Iran’s intelligence minister Esmail Khatib
Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran.
Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against...
Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti.
Mamlaka ya mji mkuu Baku...
Fikiri mfano huu: umeshika simu yako, ghafla tu unasikia imeita, kabla hata hujapokea inakatwa. Unaachana nayo. Hujabonyeza chochote.
Lakini!!
Simu yako ndio imeshadukuliwa hivyo!! Meseji zako zote za kawaida na za whatsapp, zinasomwa. E-mails zako zote zinasomwa! Simu zako zote zinasikilizwa...
Imefichuka kuwa Wafanyakazi wa Mossad walivamia mtandao wa kamera za trafiki za Tehran kwa miaka, wakifuatilia harakati za Ayatollah Ali Khamenei,walinzi wake, na maafisa wengine wakuu wa Iran kabla ya mauaji yake, kulingana na ripoti.
Israel ilipata ufikiaji wa karibu kamera zote za jiji...
https://youtu.be/OGPcWKBWiz0?si=LN83QgAZlt2Zufl6
Kama nilivyokuwa nahisi, kazi ya ujasusi dhidi ya Ayatollah ilifanywa na CIA ya USA.
CIA kumbe walikuwa wanamfuatilia kwa kipindi kirefu tu ili kuijua mienendo yake.
Na ni CIA hao hao ndo waliowapenyezea IDF taarifa za kwamba Bw. Ayatollah...
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎
Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui amepotelea wapi.
Wewe thread yako Bora ya Wakati wote hapa jeiefu ni Gani?
Nchi nyingi za Afrika zimejifunga kwenye dhana potofu kwamba ili mtu awe jasusi lazima awe na tabia njema, rekodi safi ya kisheria, asiwe na “makovu” ya maisha, na aonekane kama askari au mtumishi wa serikali wa mfano. Dhana hii si tu ya kizamani ni hatari kwa usalama wa taifa.
Ujasusi si...
Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." 🧠🚫
📍 1. VATICAN: THE WORLD'S OLDEST INTELLIGENCE AGENCY 🇻atican 🕵️♂️
Wakatoliki mnadhani mnaongozwa na "Mtakatifu," kumbe...
Program maalumu inayorekodi mazungumzo ya watu kwenye simu (yaani actual voice/content ya mazungumzo, sio tu metadata kama nani alipiga nani na muda gani) ni tofauti na PRISM na XKeyscore kulingana na maelezo yaliyotolewa na Edward Snowden na ripoti za baadaye.
Hii hapa ufafanuzi rahisi na wa...
Kwenye kituo kimoja cha treni ndani mji wa Rotterdam, alionekana mwanaume mmoja akiwa amevalia miwani nyeusi ya jua huku amekamata begi aina ya briefcase mikononi mwake. Bwana huyu kama ungebahatika kumuona siku hii alikuwa ni jamaa fulani hivi mwenye umri wa makamo kama miaka 40 hivi ambaye...
Kuna mada kuhusu mipango mibovu ambayo CCM na serikali yake wovu naona ujifunza na kutafuta mbinu za kukabiliana nalo palo wanapojiona wametumia akili kubwa.
Mfano hii picha
Usije shangaa hata hizo nyumba zinazoangalia hiyo sehemu inawezekana zikabadilishwa au kubadilishwa ili wapoteze mada...
Habari.
Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z.
Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu ambao watakuwa wanampa habari.
Pia, napendekeza au nasharu kuwe na viongozi wa Gen Z katika mikoa...
Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
Rais Cyril Ramaphosa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ujasusi, Imtiaz Fazel, baada ya malalamiko kuwasilishwa dhidi yake.
Katika taarifa iliyotolewa Jumatano jioni, msemaji wa Ikulu Vincent Magwenya alisema kuwa Fazel amesimamishwa kazi hadi uamuzi utakapofikiwa kuhusu uchunguzi wa...
Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi.
JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
Tujifunze kuhusu Umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Kutoka kwa Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ujerumani
Wanaojua historia miongoni mwenu watakuwa wanajua kwamba baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Ujerumani iligawanywa katika maeneo manne ya uvamizi chini ya Allies na USSR, na...
Mwaka jana na mwaka huu dunia imejifunza uwepo wa kikosi maalum kwenye Taasisi za Intelejensia za Israel kinachoitwa Unit 8200.
Umaarufu wa kikosi hiki haujaja kwa bahati mbaya bali ulianza kutikisa dunia baada ya shambulio la vifaa vya mawasiliano vya Kundi la Kigaidi za Hezbollah. Kikosi...
Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii.
Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani.
Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani.
Mimi naogopa sana watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.