uislamu

  1. JamiiForums Tanzania Kulingana na Uislamu, nchi ya Waisraeli/Wayahudi ni ipi?

    Wakuu. Kulingana na Uislamu, yaani Quran na Hadithi-nchi/eneo la Waisraeli/Wayahudi ni ipi?
  2. JamiiForums Tanzania Uislamu na kuchinja mifugo inayoliwa na watu

    Habari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu. Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na wanachuoni wabobevu nimeshawishika kuleta hili swali ili mimi pamoja na wadau wengine wasiofahamu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, unazijua dini nyingine zaidi ya Ukristo na Uislamu?

    Tuliozaliwa na kukulia bongo tukiambiwa kuhusu dini, akili yetu inakimbilia kufikiria kuhusu dini kuu mbili hapa nchi Ukristo na Uislam. Lakini, mbali na Ukristo na Uislamu, dunia ina dini nyingi. Uhindu Ubuddha Sikhism Uyahudi. Shinto Taoism Rastafarianism Dini za Kiafrika za asili E.t.c...
  4. JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini dhambi ya riba haipewei uzito mkubwa kwa washika dini ya Uislamu ?

    Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo? Ni mazingira gani ambayo yanaruhusu waumini kushiriki biashara za riba bila kupata dhambi?
  6. JamiiForums Tanzania Adel al Kalbani : Iran ndiyo inachelewesha Maendeleo ya Uislamu Duniani kwa ghilba zake

  7. JamiiForums Tanzania Ukiniona natembea, naongea au ukikaa nami saa moja tu utajua mi ni Uislamu upo damuni

    Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake. Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama kiongozi wangu rahma za aallah zimmulikie huko aliko. Masuala ya kupasuana kwa chupa, nondo, mawe...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

    Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia katika Uislamu kupitia mihadhara yake na mijadala yake anayokuwa anafanya...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Uislamu ni "local religion" ya jangwani iliyofaili mtihani wa dunia! (wenye akili tu)

    Wakuu Leo nataka tuweke pembeni hadithi za "Abunuwasi" na tutumie akili kidogo. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimegundua kuwa Uislamu haukuandikwa na Muumba wa Ulimwengu (Universe), bali uliandikwa na watu wa kijijini kule Uarabuni ambao walikuwa hawajui hata kilomita 2,000 mbele yao kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Uislamu na Amani, asema mtoto wa Hamas

  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

    My people, Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Padri Kitima Anachuki Na Serikali, Anachuki Na Rais Samia Au Chuki Na Uislamu?!

    Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu? Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima mbali na kuwa ni mlezi wa wengi pia ni Mwalimu wa Human rights alifundisha vijana chuo Kikuu na...
  13. JamiiForums Tanzania Muhamad Ali alidanganywa kuingia Uislamu (Wasomi wataelewa)

    Warning.! This thread is for people with ability to speak and understand English. As native speakers or second language. Those who cannot understand should just recite some lines from the Quran. But you are allowed to give your comments in Swahili if you have understood.
  14. JamiiForums Tanzania Uislamu sio tatizo ila tatizo umeingia na madhehebu kujifichia kwenye dini

    Ndugu zangu waislamu hawana kosa ila wanashindwa kuelewa kuwa dini yao ina madhehebu. Madhehebu ni kwamba watu watakuwa wakitumia imani moja ila sheria,katiba na ufikiri mkawa tofauti. Tumeona kwenye ukristo sasa mpaka wengine wanauza maji na udongo kwa kisingizio ni wakristo wakijiita dhehebu...
  15. JamiiForums Tanzania Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  16. JamiiForums Tanzania Show ya CARD B huko Saudi Arabia lilipo chimbuko la Uislamu yazua Gumzo

    Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu...
  17. JamiiForums Tanzania Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani

    Naituma kama nilivyoipokea kutoka jukwaa la masheikh. Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia njia ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  19. JamiiForums Tanzania Masheikh wote ni kama wanaona Maandamano ni dhidi ya Uislamu na si dhidi ya utawala mbovu

    https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg== https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ== ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa wajinga wanaukosea sana uislamu, wanataka tuonekane wote ni wajinga

    Je! Baada ya kuua maelfu ya Watanzania, Wauaji wanacheza karata ya udini kwa kuwatumia wapumbavu wanaojiita Waislamu? Je! Baada ya kutengeneza utawala wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji wa CCM, sasa wanaongeza na kueneza chuki za kidini? Uislamu ni dini ya HAKI. Uislamu ni dini ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…