uingereza

  1. Uingereza yawawekea vikwazo Mawaziri wawili wa Israel Bezalel Smotrich na Mwenzake Ben-Gvir

    Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya Wayahudi huko Yudea na Samaria. Ben-Gvir na mwenzake akawajibu wa Ingę reza: "Tulimshinda Farao na tuka...
  2. Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka. Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
  3. Serikali ya Uingereza yatishia kumshtaki Roman Abramovich

    Serikali ya Uingereza imeingia katika mzozo na aliyekuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich kuhusiana na matumizi ya fedha Pauni Bilioni 2.5 ambazo zimezuiwa katika akaunti ya benki nchini Uingereza. Kiwango hicho cha fedha ni malipo ya kuuzwa kwa Chelsea Mwaka 2022, ambapo...
  4. Jeshi la Uingereza liko kwenye hali ya tahadhali ya kivita

    Jeshi la Uingereza liko kwenye "utayari wa kupigana vita" na linasema kuwa liko chini ya tishio moja kwa moja na vikosi vya uhasama/Maadui.
  5. Spare Hadimu za magari ya Uingereza, Sweden na Germany

    Ningependa tu discuss. Ni spare ya brand ya gari ya Uingereza, Ujerumani na Sweden inakusumbua kuipata na umechukua hatua gani ikashindikana.
  6. Ligi ya Hispania ni mbovu kulinganisha ya Uingereza

    Kila nikiangalia la liga nachoka sana. Yani flop za uingereza ndio zinasumbua Spain yaani Raphinha na Antony Hii ligi wanapeana nafasi sana yani mtu anapewa nafasi mpaka unashangaa sekunde 10 mtu anajifikiria cha kufanya yupo kwenye box la timu pinzani. Huo muda hupati uingereza yani weekend...
  7. Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  8. Mawaziri Wakuu wa Israel na Uingereza wabwatukiana!

    Uingereza kusitisha mazungumzo ya biashara huria na Israel; Wizara ya Mambo ya Nje yasema hatua hiyo 'haitaizuia' Israel katika 'pambano lake na Magaidi' Kufuatia tangazo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy mapema leo la kusimamisha kwa Uingereza mazungumzo ya makubaliano ya...
  9. W

    Tanzania kushiriki Jukwaa la Uongezaji thamani madini Uingereza

    Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la Uwekezaji kwa Sekta ya Madini lililobeba agenda ya Uongezaji Thamani Madini (Minerals...
  10. Kikundi cha wanamgambo wa Ukraine walioalikwa Uingereza wametorokea mitaani huko London

    Kikundi cha Wanamgambo wa Ukraine waliokwenda kushiriki graride la Victory in Europe Day huko London wametorokea na kuingia mitaani hawataki kurudi Ukraine kusulibiwa na Vikosi vya Wachechinyia 🇷🇺 A group of Ukrainian servicemen who were invited to take part in the ceremonial parade in honor of...
  11. "Magharibi Wamechoka: Uingereza Hoi, Marekani Analia, China Anacheka – Mchezo wa Dunia Unabadilika"

    Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu: Myahudi si mtu wa kuchezewa – ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa. Lakini yote haya hayawezi kueleweka vizuri bila kumuangalia mlinzi wake mkuu – Marekani. 1. Kwa Nini Marekani Anamlinda...
  12. Je kuna haja ya kuwaomba Msaada Marekani na Uingereza kuja kutulinda Raia wa Tanzania tunaodai haki zetu?

    Mwaka 1964 wakati wa maasi ya Jeshi la Tanzania ( King's Ruffles Army) aliyekuwa Rais wa Tanzania aliomba msaada kwa Jeshi la Uingereza kuja kumuokoa ambapo Jeshi la Uingereza lilituma vikosi vyake vikaingia Dar es Salaam na kumlinda Nyerere na Wananchi. Miaka zaidi ya 60 tangu kutokea kwa...
  13. Uingereza yapata meya wa kwanza huko Brighton asiyejua Kiingereza!

    Anaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingereza.
  14. Uingereza: Wanaosikiliza Muziki na kutazama Video kwenye Usafiri wa Umma bila 'Headphones' kupigwa faini ya takriban Tsh. 3,589,596

    Chama cha Liberal Democrats kimependekeza mpango wa kutoza faini ya hadi pauni 1,000 kwa watu wanaocheza muziki au video kwa sauti kubwa katika usafiri wa umma nchini Uingereza. Lengo ni kukabiliana na tabia zisizo za kiungwana na kulinda haki ya wengi wanaotamani safari tulivu. Serikali imesema...
  15. Leeds Utd pamoja na Burnley zapanda Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

    Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26. Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini...
  16. Aviator yampotezea Dismas Tsh Milioni 57 za kwenda kusoma Scholarship Uingereza

    Raia mmoja Mkenya amepoteza zaidi ya KSh2.8 milioni sawa Tsh Milioni 57 kwenye jukwaa la kamari la Aviator, pesa ambazo zilikusudiwa kufadhili masomo yake nchini Uingereza. Dismas Mutai, ambaye alikuwa amejiandikisha katika Chuo Kikuu cha Anglia Ruskin huko **London Uingereza**kwa kozi ya mwaka...
  17. Aliye Juu Msubirie Chini, Cha Msingi Mijeledi Usiizoee: Jinsi Uingereza Inavyoelekea Kuwa Nchi Maskini

    Katika taswira ya ulimwengu wa kisasa, Uingereza bado inajulikana kama taifa lenye historia tajiri ya mafanikio ya kiuchumi. Hata hivyo, chini ya uso wa fahari hiyo, kuna ukweli mchungu: taifa hili lipo katika mchakato wa kudhoofika kiuchumi kwa kasi inayotisha. Kupitia historia yake ya kisiasa...
  18. Kulikoni Mkuu mpya wa Idara ya ubora wa elimu Uingereza kuzua mjadala?

    Kwa nini huyu mkuu mpya wa idara ya ubora na udhibiti wa elimu wa Uingereza, Sir Hamid Patel amezua mjadala mkubwa sana?
  19. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  20. B

    Marekani na Uingereza wakutana kuonesha uhusiano wao wa kijeshi unatakiwa kuimarishwa hasa kipindi hiki kigumu

    Kufuatia hali iliyopo ya mitizamo inayowekwa wazi kipindi hiki kuliko nyakati zozote, mawaziri wa ulinzi wa Marekani na Uingereza wakiongozana na viongozi wakuu wa kijeshi wakutana ili kuondoa wasiwasi kama uhusiano wao bado upo imara. Na pia hali ya kumaliza vita ya Ukraine na Russia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…