Video ya Ngono ya Walimu Uingereza Yawaletea Balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video ya Ngono ya Walimu Uingereza Yawaletea Balaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 28, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,277
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Video ya Ngono ya Walimu Uingereza Yawaletea Balaa
  [​IMG]
  Mwalimu Jane MoyleThursday, May 28, 2009 3:48 AM
  Walimu wawili nchini Uingereza wako kwenye hatari ya kupoteza kazi zao baada ya video yao waliyoitengeneza wakati wakiepeana uroda nyumbani kwao kuonekana kwenye mitandao ya ngono.Kasheshe iliwakumba walimu hao wakazi wa Bargoed kusini mwa Wales baada ya mzazi mmoja wa mwanafunzi katika shule wanayofundisha walimu hao kuiona video ya ngono ya walimu hao na kuwaripoti kwa uongozi wa shule.

  Mwalimu wa shule ya msingi Jane Moyle, 44, inasemekana alijiuzulu kufundisha baada ya wadaku kusambaza habari za kuwepo kwa video ya ngono ya mwalimu huyo kwenye internet.

  Mume wake Colin, 49, mwalimu wa sheria katika sekondari moja mjini humo alikuwa amechukua likizo ya miezi kadhaa kwa kuwa mgonjwa wakati walipotengeneza video hiyo.

  Walimu hao wako kwenye ndoa kwa miaka 20 sasa na watoto watatu.

  Video yao hiyo inaaminika kuwa waliichukua kwenye nyumba yao iliyopo Merthyr Tydfil, kusini mwa Wales.

  Inaaminika pia baadhi ya wazazi na wanafunzi wa walimu hao waliiangalia video hiyo kwenye internet kabla haijaondolewa baada ya taarifa kuzagaa.

  Haijajulikana wazi kama walimu hao waliiweka wenyewe video hiyo kwenye internet au kama kuna mtu aliiiba na kuiweka huko.

  Maafisa wa elimu wanachunguza kujua ni jinsi gani video ya ngono ya walimu hao iliwekwa kwenye internet.

  Walimu hao wako kwenye hatari ya kupigwa marufuku kufundisha.
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hii nayo habari ya kisiasa au ume kosea jukwa mkuu? Maana siku za karibuni naona thread zikijaa jukwaa la siasa wakati hazina uhusiano wowote na siasa. Au ndiyo njia ya kufanya post ionekne na wengi kabla ya kuhamishwa kwa maana hili jukwa lina wasomaji wengi zaidi?
   
Loading...