uingereza

  1. Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha

    Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha ,kwa kukimbia muda (2:12:29) nyuma ya Mganda Victor Kiplagat (2:10:55) na Mkenya wa Tatu Kwa Muda (2:13:16), kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika Jijini Birmingham, Uingereza Leo Tarehe 30...
  2. Nafasi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ni Liz Truss vs Rishi Sunak. Unapenda nani awe PM?

    Bila kupoteza mda twende kwenye mada. Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo.. Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo.. 1. Amekuwa bega kwa bega na Boris Johnson kama Foreign Minister kuwanyoonya Russia ndio maana...
  3. Wanariadha 9 kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola - Uingereza.

    Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Birmingham Uingereza (28 July to 8 August 2022)
  4. Joto Uingereza kufikia nyuzi joto 43C Julai 19, 2022

    Uingereza inatarajiwa kuwa na Nyuzi Joto 43C, kesho Jumanne Julai 19, 2022 ikiwa ni hali ya joto kali kuwahi kutokea katika historia ya Nchi hiyo. Mamlaka za hali ya hewa za Uingereza (MET) zimeeleza kuwa leo Jumatatu Julai 18, 2022 hali ya joto inatarajiwa kuwa Nyuzi Joto 40C. Source...
  5. Je, Uingereza iko responsible na Wahindi wa Tanzania?

    Nauliza hivi kwa maana wao (Waingereza) ndiyo waliowaleta Wahindi Tanzania kutokea India/Pakistani, nakumbuka pia wakati wa Amini Uganda wengi wa Wahindi walikimbilia Uingereza, Kanada au Australia (English commonwealth). Sasa je, Uingereza inawajibika na maisha ya Wahindi hapa Tanzania? Kwa...
  6. Uingereza yatangaza hali ya hatari kwa ongezeko la viwango vya joto nchini humo

    Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
  7. M

    Hivi Logically tu inaingia Akili utoke Kucheza Uingereza tena Newcastle United uje Machafuko Mafurilo FC ya Tanzania?

    Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo. Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022. Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili...
  8. Waliougua COVID-19 Uingereza wafikia watu milioni 2.7

    Maambukizi ya Ugonjwa wa UVIKO-19 yanaendelea kushika kasi ungereza ambapo Ofisi ya Takwimu (ONS) imesema kuwa takribani watu milioni 2.7 wamepata maambukizi. Maambukizi hayo yameongezeka kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Omicron vinavyotambulika kitaalamu kwa majina ya BA.4 na BA.5. Source...
  9. Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea. Boris Johnson amesema kuwa inamuuma kupoteza kazi bora kabisa katika Dunia Boris Johnson...
  10. Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

    Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha. === Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake...
  11. Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  12. Kipindi cha Industrialisation Uingereza. Butcher man alipita na mkokoteni nje ya nyumba

    Kipindi hiki watu walihama kufuata kazi, miji ilifanyika na biashara zilishamiri. Ni katika kipinndi hiki walianza ustaarabu wa kusukuma maji na yalifika majumbani. Maji tiririka yalipunguza magonjwa kama cholera kwani yalikuwa treated kabla hayajafika kwa mtumiaji.
  13. Maambukizi ya COVID-19 yaongezeka kwa 30% Uingereza

    Maambukizi ya Virusi vya Corona yameongezeka kwa 30% Nchini Uingereza ndani ya wiki moja iliyopita Takwimu zilizotolewa na Ofisi ya Takwimu ya Taifa ya Uingereza imeonesha zaidi ya watu milioni 3 walipata maambukizi ya vizuri hivyo vinavyosababisha COVID-19 huku idadi ya vifo ikipungua...
  14. Uingereza yatangaza vikwazo vipya vya Kibiashara dhidi ya Urusi

    Serikali imetangaza awamu mpya ya Vikwazo vya kibiashara dhidi ya #Russia ikiwa ni mwendelezo wa Vikwazo kutoka nchi nyingi Duniani kutokana na kuendelea kwa #RussiaUkraineWar Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya kusafirisha bidhaa na teknolojia mbalimbali nchini humo, usafirishaji wa mafuta...
  15. Uingereza yaidhinisha kurudishwa Nchini Marekani kwa mwandishi na mwanzilishi wa mtandao wa WikiLeaks

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo ameidhinisha kurejeshwa kwa Julian Assange nchini Marekani ambapo mamlaka nchini humo zinamtafuta kuhusiana na nyaraka zilizofichuliwa na mtandao huo mwaka wa 2010 na 2011. Mnamo 2019 Marekani iliwasilisha mashtaka 17 dhidi yake kwa kukiuka Sheria ya Ujasusi...
  16. Uingereza yasitisha safari za waomba hifadhi kupelekwa Rwanda

    Serikali ya Uingereza imesitisha mpango wa safari ya ndege iliyotakiwa kuwabeba waomba hifadhi kwenda Rwanda baada ya Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya kusema mpango huo unaakisi athari zisizoweza kurekebishwa. Awali ilielezwa ndege hiyo ingeanza safari Juni 14, 2022 bila kujua idadi ya...
  17. Uingereza: Boris Johnson ashinda jaribio la kumuondoa madarakani

    Boris Johnson wins a confidence vote by Tory MPs 211 to 148. It means he will stay in his job as prime minister. The result was announced by chairman of the 1922 Committee Sir Graham Brady ----- After febrile speculation about the number of Conservative MPs who would vote against Johnson, the...
  18. Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson matatani, kupigiwa kura ya kutokuwa na imani

    Leo jioni wabunge wa chama cha wahafidhina watapiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi wa chama hicho na waziri mkuu bwana Boris Johnson. Hatua hiyo yafuatia barua za wabunge wa chama hicho kwa kamati maalum iitwayo 1922 committee ambazo zilipaswa kufikia asilimia 15 yaani sawa na barua 54...
  19. Uingereza yakosolewa kwa kuitenga Afrika katika Sheria mpya za Viza ya kazi nchini humo

    Uingereza imetangaza visa vya kazi kwa wahitimu kutoka vyuo vikuu bora zaidi duniani katika upanuzi wa mfumo wake wa uhamiaji, ambao umeundwa kuvutia wafanyakazi lakini hakuna vyuo vikuu vya Kiafrika vilivyojumuishwa katika orodha ya taasisi zinazostahiki. Chini ya mpango uliotangazwa Mei 30...
  20. L

    Wasanii wa Uingereza waleta uhai kwa vifaa barabarani

    Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…