Ripoti: Iran Yajaribu Kushambulia Kambi ya Marekani katika Bahari ya Hindi
Iran ilirusha makombora mawili ya balestiki kuelekea kambi ya Marekani huko Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Maafisa kadhaa wa Marekani waliambia The Wall Street Journal kwamba makombora hayo hayakugonga kambi hiyo...
Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japani zimesema zitachukua hatua za kuimarisha utulivu wa masoko ya nishati, na ziko tayari kushiriki katika “juhudi stahiki” ili kuhakikisha usalama wa upitishaji katika Mlango wa Hormuz.
Chama cha Scottish National Party (SNP) kimepitisha azimio linalounga mkono uhuru wa Scotland, likiitaka Serikali ya United Kingdom kuanza maandalizi ya kujitoa kwa Scotland katika Muungano wa Uingereza.
Chama cha SNP kimepitisha azimio linalotaka Serikali ya Uingereza ianze maandalizi ya...
"Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)... "Japokuwa niliamini kwa imani kwamba zitafika. Sasa Mungu yeye amefanya kwa vitendo," Ndivyo alivyosema...
Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na...
Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza.
Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia.
Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
Wakuu,
Mkataba wa Rudd ulikuwa makubaliano muhimu ya haki za madini yaliyosainiwa mnamo Oktoba 30, 1888, kati ya Mfalme Lobengula wa Matabeleland na mawakala waliomwakilisha mfalme wa kikoloni wa Uingereza, Cecil Rhodes. Hati hii ilikua msingi wa kisheria wa ukoloni wa Uingereza katika eneo...
Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United
Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw
Sijui ile Tume ya mchongo chini ya Jaji Othumani Chande inatafuta nini tu wakati ushahidi wa ushiriki wa vyombo vya dola (Polisi, TISS, magereza, KMKM na UVCCM waliovikwa magwanda ya polisi pamoja na Mercenaries kutoka nchi za Uganda, DRC, Zambia...
Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania.
Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia mlishindwa, vita vya pili vya dunia mlishindwa.
Kitima umeshazeeka waachieni vijana waiongoze...
Baada ya Uingereza kuru huku wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na Asia kuingia nchini na kuwapa hifadhi kwa kisingizio kuwa kwao wananyanyaswa sasa wahamiaji hao wamebadirisha MFUMO mzima wa maisha huko Uingereza sasa hivi kuna mambo ya hovyo kabisa yanafanyika kinyume kabisa na desturi za watu...
Wakuu,
Nimeshangaa sana kukutana na list hii.
Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni.
Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na...
Mfalme kuwa na mamlaka ya kuongoza serikali
Mamlaka ya kuendesha serikali yako mikononi mwa Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri. Mfalme hawezi kuamua sera za nchi wala kutoa maagizo kwa serikali.
Mfalme kuwa na sauti katika Bunge
Mfalme hawezi kuingia kwenye mijadala ya Bunge wala kupiga kura...
Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema:
"Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.