Wamarekani bado wametukalia kooni, hawapoi wala hawaboi.
Jeanne Shaheen a senior US senator from New Hampshire.
=============
The violent suppression of opposition voices before & after Tanzania’s election was unprecedented in its history.
Tanzania’s democratic backsliding is a red flag for...
DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo inayomilikiwa na Falme za Kiarabu (UAE), imemwondoa Sultan Ahmed bin Sulayem katika nafasi ya mwenyekiti na mtendaji mkuu kufuatia uchunguzi mkali kuhusu urafiki wake na marehemu Jeffrey Epstein.
Kampuni hiyo Ijumaa ilimteua...
Algeria imeanza mchakato wa kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambayo yalisainiwa mwaka 2013.
Uamuzi huu unaweza kuathiri sekta za kiuchumi kama usafiri wa anga, utalii, na usafirishaji wa mizigo kati ya mataifa hayo mawili.
Mvutano katika uhusiano wa...
Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya juhudi za kurekebisha uhusiano wa Uingereza na China, nchi yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani...
Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya China na Afrika yaliyoanzishwa katika miaka ya hivi karibuni.
Wakati mwaka 2026 ni wa mawasiliano...
Tangu kuja kwa Serikali ya Samia inaonekana kana kwamba kuna juhudi za makusudi za kuharibu uhusiano wetu na Kenya na Wakenya.
Machafuko yaliyotokea Tanzania tangu Oktoba 29 mwaka jana, yamezidisha 'chachu' ya majaribio hayo ya makusudi ya kuharibu uhusiano uliojengwa kwa juhudi kubwa. Kisa ni...
Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026.
Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha?
Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
1️⃣ Majoho yamekuwepo katika historia ya binadamu kama alama ya mpito wa hadhi—kutoka mtu wa kawaida kwenda mtu mwenye dhamana maalumu mbele ya jamii.
2️⃣ Kiimani, joho humaanisha kujitoa: mtu anaacha nafsi binafsi na kuingia kwenye wito, kiapo au agano linalomzidi yeye binafsi.
3️⃣ Ndiyo maana...
Licha ya umbo lake dogo, Peter Murigi mwenye umri wa miaka minane aliwavutia watazamaji huko Kiambu, katikati mwa Kenya, alipopanda jukwaani kuonesha weledi wake wa Kungfu.
Murigi alikuwa miongoni mwa washiriki mashuhuri katika Mashindano ya nne ya Kitaifa ya Wushu ya Kenya, ambayo...
Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia.
Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
INAMAANISHA NINI KUSEMA MWANAFUNZI HAWI MKUU KULIKO MWALIMU WAKE?
Kauli ya “mwanafunzi hawi mkuu kuliko mwalimu wake” ina asili ya Biblia (Mathayo 10:24; Luka 6:40) na ina maana pana katika muktadha wa elimu, maadili, na uongozi. Hapa chini kuna hoja 6 nilizoona kwamba zinazoeleza maana na...
Mwambieni Samia, Marekan inaposema Ukandamizaji wa KIDINI , Huwa inazungumzia UKRISTO.
Na Kwa Nchi yetu, Mkristo pekee anayesumbuliwa na Serikali Kila Kukicha ni CATHOLIC .
Sambamba na Kanisa la Ufufuo na Uzima, ila CATHOLIC Hawa ndio wamefanya Marekani àzungumzie hivo.
Marekani na Ulaya...
Miaka kumi iliyopita, katika Mkutano wa kilele wa FOCAC uliofanyika Johannesburg, uhusiano kati ya China na Afrika ulipandishwa ngazi na kuwa “wenzi wa ushirikiano wa kimkakati” Leo, mkakati huu umegeuka kuwa reli, umeme, mawasiliano ya simu na vifaa vya afya barani Afrika—ukithibitisha...
Uhusiano kati ya Somalia na China ulioanza tangu enzi na dahari sasa unaendelea kukita mizizi yake zaidi kwenye nchi hizi mbili. Kupitia maonesho ya picha yaliyozinduliwa hivi karibuni na balozi wa Somalia nchini China Hodan Osman Abdi ambayo yamepewa jina la "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu...
Baada ya miaka nane ya nembo ya Visit Rwanda kupamba bega la jezi za Arsenal, klabu hiyo litangaza kuwa itasitisha mkataba wa udhamini na Visit Rwanda ifikapo mwezi Juni 2026.
Hata hivyo, ushirikiano huu haukupita bila changamoto. Makundi ya haki za binadamu yalieleza wasiwasi kuhusu kuhusishwa...
Wakuu
Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa?
Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Chanxo; Risch, Shaheen...
Kama ambavyo tunafahamu, China nan chi za Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano unaogusa pande nyingi, ikiwemo elimu, kilimo, sayansi na teknolojia, biashara na uchumi, pamoja na masuala ya kitamaduni. Kupitia Taasisi za Confucius zilizoko nchi mbalimbali za Afrika, elimu ya lugha na...
Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
Tafakuri ya jumapili: Kuna mtu humu alisema alifanya ngono na shemeji yake kwa sababu alikua na harufu flani ya jasho la kwapa ikamuamsha hisia za kimapenzi.
Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu wanasema huwa wanapenda kaharufu ka asili na wengine kauvundo ka papuchi.
Tuambizane:
Je harufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.