uhuru

  1. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru, vyombo vya habari vilifanya maandalizi ya kurusha matangazo mubashara?Watangazaji walijiandaa?

    Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti: Rais akiamua kuzifuta kabisa sherehe za uhuru tutamfanya nini?

    Ndiyo! Hakuna la kumfanya, kwasabb katiba imesema rais hashitakiwi kwa jambo lolote. Na ushauri yeye ndiye anaamua aupokee ama aukatae. Kwa katiba hii atakuja kutokea rais ambaye ataamua:- 1. Kuzipiga marufuku na kuzifuta kabisa sherehe za Uhuru. 2. Kuulipua kwa mabomu na kuusabaza kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Uhuru Day Special: Tathmini Fupi Awamu Sita za Uongozi

    Abuu Kauthar Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, awamu sita za uongozi kuanzia mwaka Desemba 9, 1961 hadi leo Desemba 9, 2021. Kila awamu ilikuwa na mambo yake kutokana na mazingira ya wakati huo. Julius Nyerere Awamu ya kwanza chini ya Rais Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kujenga...
  4. JamiiForums Tanzania Darasa: Maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika!

    Wanabodi! leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hatusheherekei kwa shamrashamra siku ya Uhuru?

    Tanzania leo ni siku yetu adhimu ya kufurahi na kujisikia furaha kwa siku ya uhuru wa nchi yetu ni mfano wa siku ya kuzaliwa lakini kwa baadhi ya watu na sehemu tofauti imekuwa tu ni siku ya kupumzika bila shamlashamla zozote hivi birthday yako uwa inapita hivyo kimya kimya. Niliwahi kuwa Dubai...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tuambieni Tanzania ilipata uhuru tarehe, mwezi na mwaka gani?

    Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili...
  7. JamiiForums Tanzania Wakulima hawapaswi kusherekea sherehe za Uhuru Desemba 9

    Wakulima wanahali mbaya kuzidi hata enzi za mkoloni. Uhuru wao bado kufika. 1. Wakati wa mkoloni kulikuwa na bodi za mazao, lengo lake ilikuwa ni kupanga bei na kumnyonya mkulima. Tulipopata uhuru zikaendelea na kuwekwa kitu kingine kinaitwa vyama vya ushirika. Hivi vinanunua mazoa kwa bei ya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Uhuru

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za TRA katika kufungua Shule Mpya

    Habarini Wakuu, Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022. Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia. kabla ya kwenda ofisi husika za TRA vingunguti, Mwenye shule anataka kujua taratibu za TRA Zikoje...
  10. JamiiForums Tanzania Picha ya Mpigania Uhuru Bi. Zarula Bint Abdulrahman imepatikana baada ya miaka 60 ya uhuru na yeye kufahamika

    "Mimi Bi. Zarula ni shangazi yangu aliyezaliwa tumbo moja na baba yangu. Amenilea toka nimeacha ziwa mpaka nakuwa na akili najua yeye ndio mama yangu. Pia nilikuwa ninafahamu wapi alikuwa akificha kadi, akija mtu wanafunga milango yote ndio anamuandikia na zilizobaki anazificha uvunguni mwa...
  11. JamiiForums Tanzania Uhuru uliojaa mashaka, usiojali utu - je, wafaa kwa lipi?

    Naam, malengo ya kujitawala yalikuwa kujenga taifa moja, taifa lenye nguvu na lililo na usawa kwa wote. Miaka 60 ya uhuru bado hakuna haki, tabaka masikini linanyanyasika, hakuna usawa wa kimaamuzi na keki ya taifa inaliwa na wachache. Mabadiliko mengi ya kimfumo yanahitajika ili kila moja...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Zarula Bint Abdulrahman wa Tabora

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: BI. ZARULA BINT ABDULRAHMAN WA TABORA Nimekuwa kwa miaka mingi nikitafuta picha ya Bi. Zarula bint Abdulrahman wa Tabora mwanamama ambae alikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Kama nisingemtaja jina lake katika kitabu cha Abdul Sykes...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanzania: Ni uhuru bila mjeredi wa mkoloni lakini ni utumwa wa maisha katika ukombozi wa fikra

    Takribani miaka 60 tangu Tanganyika tupate uhuru wetu na ni takribani miaka 57 tangu Tanganyika iungane na Zanzibar tukawa TANZANIA ya leo, kwa miaka yote hiyo 60 kuna namna ambayo mtu mmoja mmoja, familia na serikali kwa ujumla ilitakiwa kichangua njia sahihi ya kuendesha maisha ya watu wake na...
  14. JamiiForums Tanzania Kusherehekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika bila ya kuwajua waliopigania Uhuru huo

    KUSHEREHEKEA MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA BILA YA KUWAJUA MASHUJAA WALIOPIGANIA UHURU HUO Kwa takriban siku 30 zilizopita kuanzia mwezi November mwanzoni nimekuwa nikweka hapa makala ambazo mimi nimeziona ni muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Makala hizi jumla yake ni 27 na...
  15. JamiiForums Tanzania UTV: Mjadala miaka 60 ya uhuru wa Tanzania

    MJADALA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA,UTV "Namuona Rais John Magufuli kama Mwalimu Julius Nyerere wa pili,kwa nini nasema hivi kwa sababu alikuwa na kila kitu alichokuwa nacho Mwalimu Julius Nyerere,alikuwa na uthubutu,Mimi mbele yangu nimeona akikataa hela za wenye hela zao akiwaambia sina...
  16. B

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda awafunda vijana jinsi miaka 60 ya uhuru uchumi wa Tanzania ulivyobadilika

    DC MWENDA AWAFUNDA VIJANA JINSI MIAKA 60 YA UHURU UCHUMI WA TANZANIA ULIVYOBADIRIKA Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Singida vijana wamefanya Kongamano Vijana na wametakiwa kuenzi miaka 60 ya uhuru wa Tanzania bara na miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanziba kwa kuangalia mabadiliko katika...
  17. JamiiForums Tanzania Huku tukiikaribisha miaka 60 ya 'Uhuru' Watanzania tumetakiwa Kusalimiana 'Kijapan' kwa Kukunja Ngumi na Kuinama tu

    Nilidhani Viongozi wetu huku kuelekea Kutimiza Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wangskuwa wanahimiza zaidi 'Utanzania' wetu ila cha Kushangaza sasa Watanzania tunatakiwa Kuiga 'Tamaduni' za Wengine ambazo sina uhakika kama zitaeleweka vyema. Kuna Mtanzania Mmoja jana akiwa pande za Morocco...
  18. JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiwa unapenda kufanya utotoni lakini ulikosa uhuru kwa wazazi?

    Hello! Nadhani kila mtu anakitu ambacho kinampa furaha akikifanya Mimi binafsi kungalia movie ndio hobby yangu kubwa Sana ,na enjoy Sana kuangalia. wakati nipo mdogo nilikuwa naangalia Sana muvi hadi nasahau muda kula yaani nilikuwa nikienda asubuh basi kurudi jioni ,nikirudi home nachezea...
  19. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika1961: "Uamuzi wa busara" kitabu kuadhimisha miaka 50 ya kura tatu 1958

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: "UAMUZI WA BUSARA" KITABU KUADHIMISHA MIAKA 50 YA KURA TATU 1958 Utangulizi Kitabu hicho hapo chini, "Uamuzi wa Busara," mwaka nilikiandika mwaka wa 2008 kwa shinikizo kutoka Abantu Publishers, Nairobi wakitaka pawepo kitabu kitakachokuwa kama rejea la...
  20. S

    JamiiForums Tanzania CCM tufanye nini Ili Watanzania mnene ya kwamba sasa kweli matunda ya Uhuru tunayaona?

    Inawezekana kila tunalolifanya, hamtuelewi au mnapotoshwa na hivi vyama uchwara na baadhi ya wasaka tonge,mbali ya ilani zetu kedekede ambazo zinazidi kufurika hadi hatuna pa kuziweka, bado tunaona Watanzania wamejawa na shauku ya kama kuna jambo wanalihitajia ili waone tumefikia kule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…