Maktaba ni sehemu ya watu kuongeza maarifa, mwana saikolojia Maslow katika mahitaji ya binadamu ameweka knowledge kama hitaji la tatu kuu muhimu kwa mwanadamu ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku na kujipatia maendeleo kutoka hapo alipo.
Ni nadra sana kusikia kijana anasema atakua...
Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika:
Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Ali Msham amefanya mengi ambayo...
Kila mwaka Juni 16 huwa ni siku ya kukumbuka watoto waliouawa katika Kitongoji cha Soweto, Nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendeshwa na utawala wa wakati huo wa Makaburu.
Mauaji yalifanyika mwaka 1976 wakati watoto hao waliokuwa wakidai haki ya...
Vita vya Russia na Ukraine vimenifumbua macho yangu. Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi ni vyombo ambavyo havitoi habari kuhusu kile kinachoendelea kwenye vita, havisimami katikati, vimeegemea upande. Iko siku vyombo hivi vitatumika kurudisha ukoloni Afrika.
Je, vyombo vya habari vya...
Mmekuwa mkiililia serikali hususan awamu ya tano, iliyopita.
Kwamba ilikandamiza na kuuminya Uhuru wa kuongea na kutoa maoni nchini. Ikiwemo kuminya Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania. Sasa ni awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan. Ameifungua nchi kimataifa.
Pia amewapa Uhuru wenu...
Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa iliyosemwa kuwa haikuwepo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Uhuru wa kusema na kufanya siasa...
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amekutana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) na kufanya mazungumzo mafupi juu ya mwenendo wa vyombo vya habari Nchini.
"Uingereza imeridhishwa na uimarikaji wa hali ya uhuru wa vyombo vya habari Nchini Tanzania...
"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
Tanzania bado ina shida kubwa sana katika kipengele cha siasa. Matatizo ya siasa za Tanzania yanasababishwa na Mambo makuu yafuatayo;
1) Katiba yetu imepitwa na wakati
2) Katiba za vyama vya siasa vyote Ni kandamizi kuliko hata Katiba ya nchi
3) Unafiki na ubinafsi
4) Mihemko na uelewa mdogo...
Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar.
Sababu za kimsingi za hayo kutokea ni kukosekana kwa uvumilivu wa kidini kwa baadhi ya wakazi wa Zanzibar dhidi ya imani zingine, jambo...
Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa.
Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
RIZIKI SHAHARI: WANAWAKE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1950s
Ilikuwa wakati Julius Nyerere yuko Musoma ndipo John Hatch kutoka Chama cha Labour cha Uingereza alipokuja Tanganyika kama mgeni wa TANU.
Chama kilifanya mkutano mkubwa sana Mnazi Mmoja na Hatch akawahutubia wananchi...
Kitendo Rais Samia Suluhu kukutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe huenda kikafungua ukurasa mpya katika siasa za Tanzania.
Inasemwa kuwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu.
Tukubali katika eneo la Afrika Mashariki na Kati kisiasa Kenya...
NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE MIKINDANI INAKARABATIWA
Mwaka ulikuwa ni 1955 na katika mkutano mkuu wa kwanza wa TANU ulifanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam Lindi iliwakilishwa na Salum Mpunga na Ali Ibahim Mnjawale.
Baada ya mkutano wawili hawa walibakia kwa ajili ya...
Wakati viongozi wakitazamia kusimika mabavu yao, kwa kawaida huwa wanashambulia haki zetu za uhuru wa kujieleza kwanza. Tumeona mchezo huu mara nyingi. Kwanza wanashambulia vyombo vya habari, kisha taasisi za kidemokrasia, na kisha, taratibu, wanachukua uhuru wetu.
Namna ambayo serikali...
Sasa imekuwa kawaida kila wanapokaa na kuketi kwenye vikao utawasikia wakisema wanataka mamlaka kamili ya nchi yao,hata washereheshaji huwaga wanaimba tunataka nchi yetu sasa tumechoka ,na mitaani ndio usije ukabishana nao wanaweza kukutoa roho.
Huwa najiuliza wanataka mamlaka kamili kutoka...
Kwanini......?
1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi.
2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba...
Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.