uhuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Itawezekana kufika nchi ya ahadi bila uhuru?

    Wengi sana wamekua wakitazama nadharia ya uhuru katika sura ya kawaida tofauti kidogo na mimi,Mimi nautazama Uhuru kwa njia ya kifalsafa zaidi. Ili taifa liitwe taifa huru Kuna mambo makuu manne yanatakiwa kuzingatiwa ninaweza kusema pia ndio msingi wa maendeleo na jamii imara 1- Taifa...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Sheria za Vyombo vya Habari, Madhumuni na Athari zake katika Uwajibikaji na Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini Tanzania

    Utangulizi Habari ni taarifa au maelezo kuhusu tukio, jambo au matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii, taifa, au dunia kwa ujumla. Halikadhalika, vyombo vya habari ni njia au nyenzo mbalimbali ambazo hutumiwa kuwasilisha habari kwa umma, kama vile Magazeti, Runinga, Redio na nyinginezo...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Hakuna haki bila uwajibikaji, Hakuna uwajibikaji bila uamuzi, Hakuna uamuzi bila uhuru

    HAKUNA HAKI BILA UWAJIBIKAJI, HAKUNA UWAJIBIKAJI BILA UAMUZI, HAKUNA UAMUZI BILA UHURU. Uhusiano kati ya Haki, Uwajibikaji, Uhuru na Uamuzi: Kuelewa umuhimu wake katika Maendeleo ya Jamii Na: MwlRCT I. UTANGULIZI Haki, uwajibikaji, uhuru na uamuzi ni mambo ambayo yanashirikiana kwa karibu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru Umulike Bandari zetu: Historia yetu itulinde

    MAANA YA MBIO ZA MWENGE za Mwenge nchini Tanzania ni tamasha na sherehe za kila mwaka zinazofanyika kuanzia mwezi Aprili hadi Oktoba. Mbio hizo zina lengo la kuadhimisha na kuenzi uhuru wa Tanzania, kukuza umoja na mshikamano wa kitaifa, na kuelimisha umma kuhusu maendeleo na rasilimali za...
  5. JamiiForums Tanzania January Makamba awavaa wanaosema Mwenge wa Uhuru umepitwa na wakati

    Waziri wa Nishati, January Makamba amelaani tabia za baadhi ya wanasiasa wanaodai kwamba Mwenge wa Uhuru umepitwa na wakati na ni mzigo kwa Taifa. Makamba akipinga hoja hiyo amesema Mwenge ni tunu na nembo ya Taifa ambayo inapaswa kuheshimiwa hivyo, kusema kuwa unasumbua wananchi ni kuitusi...
  6. JamiiForums Tanzania Marekebisho Sheria ya Huduma za Habari: Serikali kuwa na uhuru wa kuchagua chombo cha habari itakachokitumia kwa ajili ya matangazo

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ikiwemo Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 Akiwasilisha hotuba yake bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Eliezer Feleshi amesema kifungu cha 5 cha Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 kinapendekeza kufanya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wawili wenye nguvu wanavyouza Uhuru wa nchi kwa Kasi

    Upande mmoja kuna Rais, Upande wa pili kuna Spika. Hawa ni watu wenye nguvu nyingi sana katika nchi yetu. Kifupi wameshikilia mihimili mikuu miwili ya hatma ya nchi yetu. Mwanzo tulidhani kwa kuwa tumepata viongozi wanawake, watakuwa ni watu cool, wasio na ego , wenye huruma na kuweka masilahi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kaeni neutral kipindi cha uchaguzi ili wananchi wachague viongozi wao kwa uwazi na uhuru 2025 ili haya ya bandari yasitokee

    Kumekuwa na matukio mengi yanatokea kipindi cha hivi sasa. Mara punde taarifa ya kuhusu Bandari na DP world nk. Wananchi wamekuwa wanajilaumu kuwa japo uchaguzi ungekuwa wa haki basi wabunge wa upinzani wangekuwa bungeni na wangepambana na mambo haya yanayoendelea nchini kwetu. Lakini hivi...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Afrika na uhuru bandia

    Mwandishi:Safari Afrika Mfu Afrika na uhuru Bandia, Nasikia huna raha maana machungu umezoa, umechoka kulia na kushoto unaelekea, jua limekuchwa na kivuli chako katu hakikusogea. Afrika uliye mfu maana umeliwa na siasa, Nusu mfu wanao kujenga ni vijana na wamezimia kwenye anasa, Mama afrika...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Naipenda siku ya uhuru wa taifa langu

    Habari ndugu msomaji karibu katika makala hii Hii ni hadithi iliyokuwa nzuri na ya kusisimua ambayo mzee mwangosi alitushrikisha siku moja tukiwa kundi la vijana watano katika kijiwe cha kahawa ambaye alikuwa mzee mwenye umri wa miaka 89, mzee mwangosi alikuwa akizingumzia namna alivyoshiriki...
  11. JamiiForums Tanzania Tulioalikwa nyumbani kwa balozi wa Italy kushehererekae uhuru wa 🇮🇹 kesho tukutane hapa.

    Nadhani tukikutana mapema jukwaani tutaweza kufanya maandalizi ya pamoja, tukae meza moja kama JamiiForums, tubadilishane mawazo, uzoefu nk. Niko hapa
  12. JamiiForums Tanzania Ingelikuwaje Kama Tanganyika Ingelipata Uhuru Wake Kwa Kuchelewa Kuliko Majirani Zake, Tuseme 2005?

    Ukiacha Msumbiji ambayo ilipata uhuru wake mwaka 1975, nchi zingine zote zinazoizunguka "Tanganyika" zilipewa uhuru miaka ya 1960's. Sasa chukulia Tanganyika ingeendelea kutawaliwa na Wakoloni hadi mwaka 2005, hali ingekuwaje? Kwamba, labda Ujerumani ingeitawala tokea mwaka 1891 hadi 1975, na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumepata Uhuru au Tumerithi?

    Tanzania na nchi nyingi za Afrika, tumepata Uhuru au tumepata Urithi? Nasema tumerithi, kwasababu hatujarudi katika njia nzetu kabla ya kutawaliwa. Tumeendelea na mifumo yote alioiweka mnyonyaji. Tumerithi kwanzia utamaduni hadi mifumo ya utawala. Viongozi wetu wamekuwa wanyonyaji, kama mfumo...
  14. JamiiForums Tanzania Watakupa Uhuru wa kuzungumza, lakini je watakuhakikishia Uhuru baada ya kuzungumza?

    Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali. Uhuru wa kuzungumza ni moja ya vipengele muhimu vya demokrasia, kwani unawezesha wananchi kutoa maoni...
  15. JamiiForums Tanzania Tangu nchi imepata uhuru, Jenerali Abdallah Twalipo ndio CDF pekee kutokea upande ule, shida nini?

    Jenerali Abdallah Twalipo aliteuliwa kushika madaraka ya u- CDF february 13, 1974 mpaka Novemba 8, 1980. Chini ya uongozi wake alishuhudia na kushiriki vita ya Kagera bara baada ya uvamizi wa Nduli Idd Amin Dada. Jenerali Twalipo alipostaafu, kuna kambi moja Dar es Salaam inayotumika kuaga...
  16. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wasitake kutumia uhuru waliopewa vibaya, walipe kodi

    Kamwe kama Taifa tusijaribu kuentartain upuuzi wa kukwepa au kutolipa kodi. Mhe. Rais Samia amelegeza masharti ya ufuatiliaji wa ulipaji kodi kwa kundi hili ili kuondoa manung'uniko yaliyotokea katika awamu ya Magufuli. Wengi wa wafanyabiashara walilalamikia mfumo wa ukusanyaji wa kodi kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ni Wananchi: Kuunga mkono Haki na Uhuru wa Wananchi

    NCHI NI WANANCHI: KUUNGA MKONO HAKI NA UHURU WA WANANCHI Imeandikwa na: MwlRCT Mfumo wa Nchi Ni Wananchi unasisitiza umuhimu wa haki na uhuru wa wananchi katika nchi. Unalenga kuwawezesha wananchi kutoa maoni yao, kuwasilisha wasiwasi wao, na malalamiko yao kwa uhuru. Makala hii inajadili...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Turuhusu uhuru wa habari utuwajibishe

    Utangulizi Binadamu tumeumbwa na tabia ya “kushangaa”. Tunayoyaona au kuyasikia kwa mara ya kwanza yanatushangaza. Tunaposikia au kuona jambo ambalo hatuna taarifa zinazolihusu, ni kawaida “kushangaa”. Baada ya kuwa na ujuzi juu ya jambo hilo, halitushangazi tena. “Tutakushangaa”...
  19. JamiiForums Tanzania Nikumbushen: Show ya Wanamuziki wa Dansi wa DRC na Tanzania kusherehekea uhuru wao ni lini na wapi Dar?

    nawasalimia kwa jina la Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo. Nisiwachoshe. maana tayar mna uchovu wa mpambano wa kitaifa kati ya serkali na kanuni ngumu za kodi vs wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuuzia mizigo stoo bila risit. Niliona kwenye tv maandalizi ya show kubwa ya dansi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru wazindua kituo cha redio Chalinze FM 97.5

    Wiki hii Mwenge wa Uhuru ulifika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani kumulika na kukagua miradi ya maendeleo ambapo ilizindia Kituo cha Redio cha Chalinze FM 97.5 chini ya kauli mbiu yake ya 'Sauti ya Jamii'. Chalinze FM iko katika Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Chalinze na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…