uhuru

  1. S

    Atwoli lectures Uhuru Kenyatta

  2. Uwanja wa uhuru haufai kwa Simba kuufanya uwanja wa nyumbani. Tafuteni uwanja mwingine hata mkoani

    Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi. Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
  3. Jukwaa la Wahariri (TEF): Uhuru wa Vyombo vya Habari Umeongezeka Nchini

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo. Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru...
  4. Mfano Uwanja wa Uhuru usipojaa Simba Day, tumeshaandaa cha Kuwajibu ambao Watatucheka na Kutucharura kwa Misifa yetu ya Kijinga?

    Yaani Timu iliyobeba Ubingwa na kufika Fainali ya CAFCC katika Siku yao ya Wananchi pamoja na baadae Kuruhusu Fungulia Ng'ang'a ( Mbwa ) Uwanja wa Mkapa haukujaa na hata kule Shamba la Bibi ( Uhuru Stadium ) haukujaa. Halafu leo anatokea Pimbi Mmoja ( tena ametumika sana Kutuumiza Simba SC )...
  5. Utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru?

    Hili swali linamuhusu Mtanganyika Mzalendo tu. Na Mtanganyika Mzalendo, kwa mujibu wa huu uzi, ni Mtanganyika yeyote anayeipenda nchi yake ya Tanganyika bila kujali anakoishi. Ikiwa wewe ni Mtanganyika Mzalendo, utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru? Uhuru upo karibu. Dalili zinaonesha kuwa...
  6. R

    Miaka 60+ ya Uhuru Tanzania haina makampuni ya kizawa ya kujenga majengo; Tunategemea Wachina!

    Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka kutafuta wageni kama engineer iwe ruksa ila tenda wapewe kampuni za ndani. Kweli tunakwenda kukopa nje...
  7. Uhuru Kenyatta: Mapinduzi ya Jubilee Party yalipangwa na Serikali

    Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta sasa anadai kuwa matatizo yanayowasumbua Chama cha Jubilee yalipangwa na serikali ya Kenya Kwanza na kutekelezwa kwa msaada wake. Uhuru alifichua kwamba, ingawa ilikuwa mpango wake wa awali kumkabidhi uongozi mpya wa chama baada ya kustaafu urais, jaribio lililodaiwa...
  8. Nyumba ya Mtoto wa Uhuru Kenyatta yadaiwa kuvamiwa na Polisi

    Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious individuals who identified themselves as police officers. Addressing the media on Friday night...
  9. R

    Madaraka matamu ukiwa nayo; Uhuru Kenyatta na Familia yake wana pesa ila hawana amani. Wanapitishwa pagumu

    Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka. Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake. Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
  10. Mama yake Uhuru Kenyatta aondolewa ulinzi

    Serikali imeondoa walinzi wa aliyekuwa Mke wa Rais Mama Ngina Kenyatta katika nyumba yake ya Gatundu na Muthaiga. Kulingana na maafisa, Mama Ngina, ambaye pia ni mamake Rais wa zamani Uhuru Kenyatta, maafisa wake wa ulinzi waliondolewa jioni ya leo muda wa saa kumi na moja jioni huku maafisa wa...
  11. Ipo Siku DP World watadahi uhuru wao

    Kama kile kipengele cha uhuru wa kumiliki ardhi ndani ya Tanzania kwa katika kitabaki vile ile😥😥😥. Naona hatari ya hawa waarabu kudahi uhuru wao maana wana haki ya ardhi, na wataongozwa na sheria zao nini kimebaki hapo Tukumbuke Dubai ni mdogo hivyo wanatumia akili kuipanua imaya yao, na kama...
  12. President Ruto To Uhuru: Stop Funding Raila, Ama tutakusafirisha na yeye

    President William Ruto has now fired a direct warning shot to his predecessor Uhuru Kenyatta over his alleged continuous association with opposition chief Raila Odinga. President Ruto, speaking in Nakuru County’s Mai Mahiu town on Friday, alleged that Uhuru has secretly been funding Odinga’s...
  13. SoC03 Kufikia Haki, Uhuru, na Amani ya Kweli: Vita Dhidi ya Ukandamizaji na Unyonyaji

    KUFIKIA HAKI, UHURU, NA AMANI YA KWELI: VITA DHIDI YA UKANDAMIZAJI NA UNYONYAJI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Haki, uhuru, na amani ya kweli ni mambo muhimu katika maisha ya kila mtu. Haki inahusu haki za msingi za binadamu, kama vile haki ya kuishi, haki ya kujieleza, na haki ya usawa...
  14. SoC03 Hapa Kazi 2, App ya Kizalendo na Kimaadili maalum kujenga Uhuru wa Fikra kwa jamii

    Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra. Tanzania imepata bahati nyingine ya...
  15. Msemaji Mkuu wa Serikali: Rais ametoa UHURU wa KUJIELEZA lakini hajaruhusu watu walete mtafaruku na mgongano kwenye nchini

    Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya... Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi...
  16. P

    Video ya Masauni ikitoa onyo juu ya uhuru wa kutoa maoni yaondolewa mtandaoni

    Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao. Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
  17. S

    Hivi bado Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Rorya mkoani Mara yuko ofisini baada ya kuudharau Mwenge wa Uhuru?

    Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
  18. Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  19. Toka tupate uhuru, Dubai ama falme za kiarabu (UAE) imewahi kuisaidia nini Tanzania?

    Nimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo. Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo hata choo cha shule ambacho tumewahi kujengewa na waarabu wa Dubai nimekosa. Kwenye ulimwengu huu...
  20. N

    SoC03 Asante Magharibi, karibu Mashariki

    Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba niseme asante sana kwa Mataifa ya Magharibi kwani mmeweza kulisaidia Bara la Afrika katika nyanja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…