uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Tusahihishe Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/9u_ZRa69IGs?si=Ea99wpBTzkTEHVwt
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta awaambia Gen Z "Msikubali haki yenu ipotee, ipambanieni sio mnakaakaa tu mnaogopa"

    https://www.youtube.com/watch?v=J8egAFLzxsA Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto amemtuhumu mtangulizi wake huyo kuwachochea vijana nchini Kenya kufanya fujo. Usemi huo wa Rais...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kwa Majina Makamu Wenyeviti Tangia Kuasisiwa Kwa CCM 1977. Ujue Kwanini Ameteuliwa Mzee Stephen Wasira na wote wamezaliwa kabla ya Uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5. Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu. Ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kipato huongeza uhuru na kujiamini kwa mwanaume

    Ni content but in reality inachoma kama pasi. Poleni wanaume wote mnaopitia khali hii ama zaidi ya hii. Mwenyezi Mungu awaone na kubariki hustles zenu. Happy Friday.
  5. JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Ntobi ni moja ya ishara kwamba Lissu na kundi lake ni madikteta kama alivyokuwa JPM, hawataki uhuru wa mawazo

    Mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Shinyanga ameondolewa kwenye nafasi hiyo kwa sababu ameonyesha kumuunga mkono Mbowe. Kimsingi alitumia uhuru wake wa mawazo kumuunga mkono Mbowe. Kundi la Lissu, kwa formula ile ile ya JPM ya udikteta. Likaitisha kikao haraka haraka, bila hata kumsikiliza, wakamfukuza...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.

    Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu. Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa Zanzibar na tabaka la watawala wa Kiarabu. Sultan wa Zanzibar alitokea Oman,Sultan wa kwanza wa...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Mpigania Uhuru, Wafanyabiashara wawili, DJ na Mmiliki Bar walivyofanikisha mwaliko wa Bob Marley nchini Zimbabwe kwenye Hafla ya Uhuru 1980

    Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley. Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata uhuru wa katiba na demokrasia bila kuwa radical. Upole umetushinda

    Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
  9. JamiiForums Tanzania Tangu Taifa la Tanzania lipate uhuru hajawahi kutokea mwanasiasa bora na mzalendo kama Lissu. Kila atakayeshindana naye ataanguka

    Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili. Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi. Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa. Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
  10. JamiiForums Tanzania Mafundisho ya Uislamu kuhusu uhuru wa dini

    Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani: - Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah): Aya hii inaonyesha kuwa Uislamu unaheshimu haki ya mtu binafsi kuchagua dini yake, na hakuna mtu anapaswa...
  11. JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonyesha kabla ya Uhuru mwaka 1961 asilimia 80 ya wasomi kwa ngazi ya PhD na Professor walikuwa wachagga

    Kheri ya mwaka mpya WanaJF
  12. B

    JamiiForums Tanzania ASKOFU BAGONZA - TUSIITAKE SERIKALI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU, LABDA PAWEPO JINAI

    WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi? https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE Baba Askofu Bagonza amesema kuna...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyang'homango Usagara Mwanza hakuna maji safi ya bomba tangu uhuru

    Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo. Watu...
  14. JamiiForums Tanzania Historia ya Omari Suleiman Nyumba Yake Ndiyo Akifikia na Kulala Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru

    HISTORIA YA FUNDI CHEREHANI OMARI SULEIMAN RAFIKI KIPENZI WA JULIUS NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mwaka 1955 wakati wimbi la utaifa wa Tanganyika lilipokuwa limepanda sana nchini Tanganyika Omari Suleiman alikuwa na umri wa miaka 43. Omari Suleiman alikuwa fundi cherahani...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Raia aliyeanza kuomba kabla ya uhuru

    Unaweza kumwita kwa majina utakayo: rais wa ombaomba, nguli wa kuomba, mtoto wa mjini na mengineye. Hata hivyo, unaweza kumwita mwamba aliyefikia hatua yakutunishiana misuli na mamlaka unamkumbuka ombaomba huyu maarufu nchini? Alijulikana kwa jina moja la Matonya. Jina lake likawa kiwakilishi...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka 63 ya uhuru wenye ukoloni wa mtu mweusi.

    Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu. Tuwe na mwisho mwema. Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza. Kama haitoshi...
  17. JamiiForums Tanzania Simba ikifungiwa itaujaza uwanja wa Uhuru na shangwe zitasikika

    Kuna watu waliokatia tamaa maisha, wikendi hii wakavalisha wenzao Sanda ili kuichafua image ya Simba iliyojengwa kwa muda mrefu kwa machozi, jasho na damu. Sasa hivi hao watu wanapiga kelele kutaka Simba ifungiwe kuingiza mashabiki, wanadhani CAF ni shangazi zao. Watu wanachukulia mambo...
  18. JamiiForums Tanzania Lini tutaona mwisho wa kusherehekea uhuru ?

    Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
  19. G

    JamiiForums Tanzania Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded DAWASA shughulikieni hii chemba ya maji taka inayomwaga maji ya kinyesi ILALA sokoni, Mtaa wa TABORA na UHURU mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla. Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…