Rais William Ruto jana, Agosti 6, 2026, aliwakutana na maafisa wa usalama binafsi zaidi ya 5,000 State House, ambapo aliahidi kubadilisha matumizi ya majina “watchman” na “guard” na kuwatambua rasmi kama Private Security Officers (PSOs).
Ruto pia alizungumzia kuboresha mishahara, heshima na...