Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amesema Mahakama haiwezi kuendeshwa kwa utaratibu wa kusubiri maelekezo, bali inapaswa kuongozwa na uwajibikaji na kujituma kwa kila kiongozi mwenye dhamana.
Akizungumza Februari 25, 2026 jijini Dodoma katika Kikao cha Mwaka cha Majaji...
Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
afrika
afrika kusini
chama cha mapinduzi
demokrasia ya kiafrika
hadithi
haki za kiraia
jamii za asili
katiba
katiba pendekezo
katiba ya tanzania
kusini
maendeleo ya afrika
mageuzi ya kitaasisi
mapinduzi ya kiutawala
mazingira na maendeleo
mfumo wa kisheria
polepole
rais samia
serikali na wananchi
siasa za afrika
siasa za tanzania
tume ya katiba
uchambuzi wa kisiasa
uhuruwamahakama
usawa wa kijamii
utawala wa sheria
viongozi wa afrika
vyama vya upinzani
wapinzani tanzania
watanzania
Rais Samia alisisitiza kwa nguvu kuwa Serikali haijawahi, na haitawahi, kuingilia uhuru wa Mahakama. Alisema kuwa Mahakama ni mhimili huru unaofanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.
"Serikali haijawahi kuingilia uhuru wa Mahakama. Uhuru wa Mahakama ni jambo tunaloliheshimu na...
Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema ufuatiliaji wa masuala ya Mahakama unaofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan haumaanishi kuingilia uhuru wa mhimili huo, bali unaonesha dhamira ya kushirikiana kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa haki nchini.
Pia, Soma: Spika Dkt. Tulia...
Kwa tu misaada yao kwetu ambayo ni kiduchu sana kisichofikia hata TSH trillion moja kwa mwaka, hizi nchi za EU zinatuhesabu sisi bado ni koloni lao na maamuzi ya mahakama zetu zinapaswa kufuata maelekezo yao. Hawatambui sovereign yetu.
Rais wetu alishawakemea kuhusu jambo hilo. Hata rais wa...
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 amesema kuwa mahakama inabidi ijitafakari iwe huru na ya kutenda haki ili hata kama mkulima ataenda mahakamani kulalamika kuhusu...
Aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Kiambu, Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela ama kulipa faini ya kiasi cha Sh1.08 bilioni (Ksh53.8 milioni) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya ufisadi na utoaji zabuni ya barabara yenye thamani ya zaidi ya Sh11 bilioni (Ksh588 milioni).
Akisoma...
UHURU WA MAHAKAMA
Kwako Ibrahim Juma , CJ.
MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
Wakuu,
Jaji Mkuu Martha Koome ameituhumu serikali, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kuondoa walinzi wake, hatua ambayo ameielezea kama shambulio dhidi ya Mahakama na ofisi ya Jaji Mkuu.
Koome alitoa madai hayo katika barua aliyoiandika Alhamisi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba...
Pigo jingine kwa Rais Ruto baada ya Mahakama Kuu kutangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na katiba. Sheria hii ilikuja baada ya NHIF kuondolewa, bima ambayo Wakenya wengi wamekuwa wakiitaka irejeshwe.
Walianza zamani kuonesha wao wako mbele kisiasa walipoitoa KANU madarakani na KANU ikakubaliana na matokeo.
Sisi mpaka sasa CCM Bado inasema yenyewe ikitoka madarakani nchi itaingia vitani.
Wakaja wakabadili Katiba yao na wakabadili kabisa mfumo wao wa Serikali. Tukawasifia.
Sisi hapa bado...
Tafiti mbalimbali za Kimataifa zinaonesha Mahakama ni moja ya Taasisi zinazoongoza kwa vitendo vya Rushwa katika nchi za Afrika na Amerika ya Kusini.
Ingawa dhana hii inaweza kubadilika, haipaswi kupuuzwa kwani Rushwa Mahakamani hupelekea kukosekana kwa Haki na hivyo kuharibu Imani ya Umma...
Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
UTANGULIZI
Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 109, majaji wote wanateuliwa na Rais ambaye ni kiongozi mkuu wa Serikali na kiongozi mkuu wa chama dola, serikali na Mahakama ni miongoni mwa mihimili mitatu ya serikali bila kulisaghau Bunge, mihimili hii kila mmoja...
Ndiritu Muriithi, Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia anaweza kupata adhabu ya kifungo cha hadi miezi 6 jela pamoja na wenzake 13 waliokuwa wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa kaunti hiyo kwa kukiuka amri ya mahakama iliyowataka kuwarejesha kazini madaktari 33 waliokuwa wameondolewa miezi 40...
Kama wote tutakuwa sawa chini ya sheria na hakuna hata mmoja atakayekuwa juu ya sheria hiyo ndiyo itakapokuwa nchi yenye misingi ya kisheria.
Sheria inatakiwa imuhusishe kila mtu ndani yake ukiingiza na serikali ndani yake kwani serikali pia imebeba watu inaowatumikia katika kufanya kazi katika...
Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii .
Hoja hiyo iliwasilishwa mbele ya Rais na Shehe Mkuu (BAKWATA) Mufti Aboubakar Zuberi
=======
VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE
Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya...
Salaam Wakuu,
Nimeshangaa na sikuamini Kusikikia Stephen Kagaigai kabadilika kawa mbabe kiasi kwamba sasa hivi anawekwa kundi moja na Wakina Sabaya, Mnyeti. Huyu Mzee kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa, alikuwa Katibu wa Bunge akifanya kazi na Ndugai. Au ni Msongo wa Mawazo baada ya Kutolewa Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.