Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023.
Tulia Ackson anazungumza:
Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
Serikali kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imesema, inakusudia kuvifanya vyombo vya habari nchini kufanya kazi kwa uhuru na kwamba, haitaviingilia kwenye uhuru wao.
Waziri Nape amesema, Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari yaliowasilishwa bungeni...
Jinsi tunavyoiona dunia na kuitendea inategemea sana taarifa tulizo nazo. Hii ndiyo sababu uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari ni haki za kimsingi, na mtiririko huru wa mawazo ni kichocheo kikuu cha maendeleo jamii na ustawi wa binadamu.
Hata hivyo, uhuru wa mawazo na...
Uhuru wa kujieleza na kutoa Maoni Mtandaoni unapokosena huathiri jamii nzima kwa kuzuia upatikanaji na usambazwaji wa Taarifa Muhimu.
Ni kikwazo kikubwa katika kujenga jamii inayoendana na kasi ya ukuaji wa Teknolojia Habari na Mawasiliano Duniani.
Uhuru huu unapaswa kutambuliwa na kulindwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeipongeza serikali kwa kuanza kuboresha mazingira ya haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Hayo yalisemwa na Chama hiko wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu kupitia Tamko la kimataifa la Haki za kibinadamu (UDHR)...
Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake.
Pia, Sheria hiyo iliyopewa jina la Sheria ya Uzalendo, imeharamisha raia wasioidhinishwa kufanya...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka...
Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu.
Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha...
Kampuni ya Twitter imeishtaki Serikali ya India kupinga baadhi ya maagizo ya kuzuia 'Tweets' na Akaunti mbalimbali zikiwemo za Vyama vya Siasa, ikisema kuzizuia ni ukiukwaji wa Uhuru wa Kujieleza.
Mashtaka hayo yanakuja baada ya mwaka mmoja na nusu uliotajwa kuwa mgumu kwa Twitter Nchini humo...
Mamlaka zimeamuru Tovuti huyo ya Habari za Kiuchunguzi kufungwa kwa madai ya kukiuka Sheria za Umiliki wa Vyombo vya Habari
Rappler ni miongoni mwa Vyombo vichache vya Habari vilivyokosoa mwenendo wa Serikali ya Rodrigo Duterte ambaye ataachia Madaraka siku chache zijazo baada ya Ferdinand...
Miaka ya nyuma sana nchi yetu ilikuwa na vitu vya thamani sana kama madini ambavyo vilikuwa vinapatikana kwa Urahisi sana bila kutumia nguvu sana kama ilivyo sasa.
Inasemekana watu wa Mataifa ya nje walikuwa wakija wanashangaa kuona watu wanachezea dhahabu huku wenyewe wanaitafuta sana, hivyo...
Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa.
Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
Wakati viongozi wakitazamia kusimika mabavu yao, kwa kawaida huwa wanashambulia haki zetu za uhuru wa kujieleza kwanza. Tumeona mchezo huu mara nyingi. Kwanza wanashambulia vyombo vya habari, kisha taasisi za kidemokrasia, na kisha, taratibu, wanachukua uhuru wetu.
Namna ambayo serikali...
UPINZANI, WANAHARAKATI; HAMJAHODHI UJUAJI NA UHURU WA KUJIELEZA
Katika maisha ya binadamu, moja ya haki ya msingi kabisa ya kiasili "natural right" ni kumpa binadamu uhuru wa kusema mbele ya mwenzake. Uhuru huu huitwa Uhuru wa Kujieleza, na huwa sio msaada bali kila mtu anastahili kuupata kwa...
Mtandao wa Donald Trump "Truth Social" unaweza kutengeneza mamilioni au kughafilika!
Umejikita kupeperusha masuala ya kisiasa yenye mashiko moto moto na kumpa rais wa zamani nafasi mpya ya uonevu
Ukweli wa mtandao huu wa Kijamii umejikita kutengeneza pesa. Ajabu, pia unapiga marufuku "matumizi...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, bado Tanzania inakabiliwa na ukiukwaji wa haki za binadamu hapa nchini hasa katika maeneo ya uhuru wa habari na vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza.
Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam Oktoba 5, 2021 na Mratibu wa THRDC...
Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi?
Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na mashirika ya umma. Lakini tumebana sana na kwa kiwango cha kutisha Uhuru na Demokrasia ya mawazo kisiasa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene, ameelekeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini kuwatafuta watu wote wanaowachafua wenzao mitandaoni hasa wanaomdhihaki Rais wa Tanzania na Serikali na hatua kali zifuatwe na kuwafikisha mahakamani kwa haraka.
Waziri Simbachawene...
Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu HakiBinadamu.
Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru Wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja na...
Uhuru wa kujieleza ni haki inayompa kila mtu uhuru wa kutoa na kupokea maoni, kupokea na kutoa taarifa na mawazo bila kuingiliwa.
Uhuru wa kujieleza humfanya kila Mwananchi kuwa sehemu ya Serikali na kumfanya awe na uzalendo na Nchi yake.
Uhuru wa kujieleza unalinda haki ya mawazo na taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.