uhuru wa kujieleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Uhuru wa kujieleza

    Huwa ni msingi wa haki nyingine za kibinadamu.Ikiwa watu wana uhuru wa kujieleza wanaweza kusema pale haki zao nyingine zinapovunjwa na kuwawajibisha wavunja haki Uhuru wa kujieleza husaidia vyombo vya habari kuupa Umma taarifa muhimu kuhusu mambo yanayoendelea kwenye jamii yao Huwapa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania lini tuliwahi kuwa matajiri hadi tuanze kulalamika tunarudi kwenye umaskini?

    Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya. Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa wapi? Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini? Kwamba...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kujieleza sio kukosoa kila jambo na kupotosha Umma juu kinachoendelea nchini

    Naona kila mtu anashadidia juu ya kuwepo kwa kile kinachodaiwa uhuru wa kujieleza ambao wengi wanao shadiia ni wale wanaodai kuwa sasa uhuru wa kujieleza na kuropoka kama mtu anahara sasa umerudi. Lakini ukweli ni kuwa uwe uhuru wa kisiasa au uhuru wa kujieleza usiwe uhuru ambao aunatumiwa...
  4. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ambayo ccm na spika wao wanaikana na hawaijui: Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana

    Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana 07 Septemba 2017 Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania. Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
  5. Informer

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma. Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...
Back
Top Bottom