uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

    Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine. Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
  2. JamiiForums Tanzania Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
  3. JamiiForums Tanzania Majina ya Uhamisho wa walimu yanatoka lini ?

    Wajumbe Nataka kufahamu ni lini huwa majina ya uhamisho wa walimu huwa yanatolewa na Tamisemi. Msaada
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  5. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Uhamisho kwa Mwanafunzi upoje?

    Habari za jioni wandugu? Nina kijana amesoma kuanzia nursery hadi darasa la saba English medium schools. Matokeo yake masomo yote amepata alama A. Amechaguliwa kwenda kusoma shule ya sekondari ya kutwa(sio za kata) Ila mwanangu anapenda sana kwenda kusoma shule ya bweni ya serikali. Naomba...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa. Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho. Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
  7. JamiiForums Tanzania Barua za uhamisho kutoka mkoani kwenda wizarani huchukua muda gani?

    Wanajamii wenzangu, barua yangu ya uhamisho katika ngazi za wilaya ilikamika kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine baada ya kusota kwa muda mrefu na nilishapeleka mkoani. Nashindwa kuelewa process ya mkoani kwenda wizara itachukua muda gani isije ikawa zinawekwa kapuni mana mpaka naifikisha mkoani...
  8. JamiiForums Tanzania Stendi ya Mbagala Rangi Tatu kuhamishiwa Kijichi, sababu ni nini?

    Leo asubuhi nimepishana na mabasi mengi sana ya mikoa ya Kusini pamoja na basi ndogo za Mkuranga na Kibiti yakielekea stendi ya Kijichi. Nikamuuliza mtu mmoja imekuwaje leo haya magari yanaenda Kijichi badala ya Mbagala rangi 3? akajibu magari yote ya mikoani yanayoanzia Mbagala Sasa hivi stendi...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI na upendeleo uhamisho wa walimu Karagwe

    Naam! Nadhani inajulikana kuwa Innocent Bashungwa ni Waziri wa TAMISEMI. TAMISEMI iliweka utaratibu wa uhamisho wa watumishi wa umma, mfano walimu wanapotaka kuhama vituo vyao vya kazi, sharti wapate walimu wenzao wa kubadilishana nao. Sasa ni hivi, inakuwaje mmeruhusu watumishi hasa walimu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa kubadilishana

    Habari wana JF. Mimi ni mtumishi wa umma Mteknolojia maabara msaidizi niliepo Mtwara DC naomba kubadilishana na mtumishi alieko tayari kutoka halmashauri ya Chalinze. 0656797325 Naomba ushirikiano wenu wakuu
  12. JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa asema wahitimu wa kidato cha 4 wanaohitaji uhamisho waripoti kwanza kwenye vituo walivyopangiwa

    Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa wanafunzi kubadili kutoka vyuo kuelekea kidato cha tano kwa sababu mbalimbali Bungeni amesema, wahitimu hao wanapaswa kuripoti katika vyuo au shule walizopangwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Natamani kuomba uhamisho nikafanyie kazi kijijini kwa wazazi wangu

    Salaam wakuu, Nimefanya kazi huku mjini kwa miaka10 saivi. Bado sina ndoa japo umri unaruhusu kufanya hivyo. Huku mjini sijafanya uwekezaji wamaana kutokani na changamoto za gharama za maisha kuwa juu. Nahisi nalipa kodi kubwa kuliko watanzania wenzangu wakijijini kwani huku mjini kila ikianza...
  15. JamiiForums Tanzania Ni zipi stahiki (malipo) za mtumishi wa serikali anapohamishwa kikazi toka kituo kimoja kwenda kingine ndani ya halmashauri moja

    Habari za masiku wanajukwaa. Nina rafiki yangu amepokea barua ya uhamisho kwenda kituo kingine ndani ya halmashauri umbali wa kilomita 90+ Katika kufatilia stahiki za uhamisho ameambiwa aandike barua ya kuomba malipo. Bahati mbaya ni uhamisho wake wa Kwanza hivyo hawafamu ni vitu gani na...
  16. JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufuata kwa mtumishi anayetaka kuhama wilaya ndani ya mkoa huohuo?

    Mtumishi akitaka kuhamia wilaya yoyoye ndani ya mkoa husika anafanyaje?
  17. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi waliopata vibali vya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi kuanzia Novemba 2021 – Januari 2022

    ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA NOVEMBA,2021 – JANUARI,2022 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa watumishi 1544 wa kubadilishana vituo vya kazi kwenye Mamlaka za Serikali za MItaa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa mtoto wa Darasa la Nne

    Habari zetu wanajamii Forum Samahani sana ndugu naomba kwa mwenye kufahamu utaratibu wa kumhamisho mtoto wa darasa tatu kwenda darasa la nne kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Na je kuna uwezekano wa kumkaririsha mtoto darasa yaan kama alikuwa darasa la tatu mwaka jana basi aendelee kusoma...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uhamisho na TAMISEMI unatoka lini?

    Imezoeleka kila ikifika mwezi wa 10 mwanzoni majina yanatoka naona tamisemi mpo kimya au tumerudi enzi zile hakuna kuhama wala nini?! Ndoa yangu ipo matatani. Jamani toeni majina haraka. Naaachwa mie
  20. W

    JamiiForums Tanzania Uhamisho Taasisi za serikali

    Habari zenu wanajukwaa, Kama kichwa cha habari kinavyosema, natafuta nafasi ya kuhamia kwenye taasisi Kama Tari, Tpri, Nimri au Taasisi yoyote inayohusiana na Research au Afya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…