Itakuwa poa sana.Sijui nitakuwemo?Tulia wewe tarehe 10 majina hadharani
Hahh we jamaa unakula wakati umeomba kuhama,inabidi uwaambie wasubiri subiri kukufungashia data sheet mpaka mshahara utokeItakuwa poa sana.Sijui nitakuwemo?
Halafu nilivyo na bahati mbaya sasa;ile pesa niliyokuwa nimeandaa kwa ajili ya kusafiri kuelekea makao mapya ikiwa mkeka ungetoka,nimeshaitumia yote, na sasa jina langu likiappear itabidi niihamishe familia kwa kutumia lori la mkaa linaloelekea mjini.
Hoja yako Ni Nini?Uhamisho mwingi ni Watumishi kutoka mikoa mingine kurudi Mikoa waliozaliwa na Mijini. Unajiuliza huyu Msomi wetu kazaliwa Mbeya analalamika kufanyakazi Kibondo - Kigoma! Mchina kazaliwa Chengshang yupo zake Kakonko ndani ndani huko kaweka makao yake na Mamashine yake ya kamali wala hana time wala wasiwasi wowote lkn huyu Mtanzania mwenzangu toka Mbeya mpaka Kakonko kutwa kucha kulalamika yuko mbali na nyumbani! Na aliyetoka Chengshanga asemeje??
Umaskini wetu na Ufinyu wetu wa kufikiri unaanzia hapa! Mtumishi kwa miaka 10 kahamia Vituo 4 tofauti!
Poor you
Jisemee wewe usijifanye mjuaji kuliko mtu aliesomeshwa na wazazi wake au kajisomesha sio kila anaehama anakwenda kwao.Uhamisho mwingi ni Watumishi kutoka mikoa mingine kurudi Mikoa waliozaliwa na Mijini. Unajiuliza huyu Msomi wetu kazaliwa Mbeya analalamika kufanyakazi Kibondo - Kigoma! Mchina kazaliwa Chengshang yupo zake Kakonko ndani ndani huko kaweka makao yake na Mamashine yake ya kamali wala hana time wala wasiwasi wowote lkn huyu Mtanzania mwenzangu toka Mbeya mpaka Kakonko kutwa kucha kulalamika yuko mbali na nyumbani! Na aliyetoka Chengshanga asemeje??
Umaskini wetu na Ufinyu wetu wa kufikiri unaanzia hapa! Mtumishi kwa miaka 10 kahamia Vituo 4 tofauti!
Poor you
Fuatilieni barua zenu maofisini uhamisho tayari
Pdf iko wapi?Fuatilieni barua zenu maofisini uhamisho tayari
Majina bado ila barua zilishatangulia toka tarehe 06 mwezi huu,kafuatilie ofisini.Weka majina hapa tuone
Pdf bado hawaja weka ila barua zimetanguliaPdf iko wapi?
OkPdf bado hawaja weka ila barua zimetangulia
Immediately baada ya kusaini kitabu cha mahudhurio kazini,huyoooo mbio hadi kwenye Masjala ya Mwajiri.Thanks Diba.Majina bado ila barua zilishatangulia toka tarehe 06 mwezi huu,kafuatilie ofisini.