uhalisia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

    Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao. Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao. Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji? Kwanini Polisi waliiua watu?
  2. Wale mliokuwa mnampigia chapuo Gamondi yanga aje yanga mnazidi kuona uhalisia wake

    I salute you Wakuu Kama nakumbuka hapa kati wakati wa kocha Folz pale yanga watu wengi walikuwa wanashauri kuwa Gamondi arudi yanga tu haina haja ya kuzunguka Lakini shida ya Gamondi ile ile ndio iliwakwamisha yanga kumrudisha.. Tatizo la Gamondi ni hana subira hata kidogo yeye anajali pesa...
  3. K

    Tuangalie uhalisia wa kura alizopata Mama Samia

    Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98, Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa...
  4. KWELI Video hii ya bodaboda wanaotoa ushuhuda kuhusu barabara imetengnezwa kwa Akili Unde

  5. Uhalisia jinsi ulivyo

  6. Wito wa kususia nyuzi zisizo na uhalisia kisiasa kuelekea hatma ya Taifa hili

    Comrades, Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo 1. Kusifia nyomi 2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo madarakani 3. Kusifia misafara ya mvombea wa ccm 4. Kuaminisha watu ccm kina nguvu ya hoja 5...
  7. Sometimes unaongeaga points zenye uhalisiamtaani, ila hii nayo ni bonge la point

    Asubui NJEMA , Mzee ...ngoja tupambane .
  8. GE2025 Uhalisia ndani ya harambee ya CCM

    Habari za muda huu. Niende kwenye mada Moja kwa moja. Chama Cha Mapinduzi hakijakosa hela kiasi cha kuandaa harambee ya watu kukichangia pesa za kuendesha shughuli za uchaguzi. Miaka yote chama kimekuwa kikishiriki uchaguzi pasi na kuhitaji watu kukichangia. Lengo kuu la harambee ile ilikuwa...
  9. KWELI Picha hii ilipigwa katikakituo cha Zabriskie, Hifadhi ya Taifa ya Bonde la Kifo, California, Marekani

    Je, unaweza kutumia nyenzo mbalimbali za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha? Mdau, huku ukieleza nyenzo uliyoitumia, bainisha eneo halisi ambapo picha hii ilipigwa.
  10. Ni dhahiri kuwa CCM haiwezi kuzijibu hoja za Humphrey Polepole

    Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho. Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi...
  11. B

    GE2025 Inachosha sana kutanguliwa na mtu mwenye kasi ndogo wakati wewe una kasi kubwa; Uhalisia katika uongozi wetu tulio nao

    Wajumbe amani iwe kwenu. Katika maisha ya kawaida, huenda ulishawahi kutokewa na hii hali hasa katika hali ya msongamano wa watu au magali. Mtu anakuwa mbele yako, anatembea kwa kujivuta, au anaendesha chombo taratibu sana ilhali wewe una haraka zako na hataki umpite! Binafsi huwa nachukia sana...
  12. T

    Njoo tupate elimu juu ya uhalisia wa hatua za mchakato wa upatikanaji wa mgombea ubunge na udiwani ndani ya CCM

    Salaam Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani. Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
  13. Binti! Jioneshe kwa uhalisia wako! Be natural! Don't fake life! Utaishia kwa fake guys!

    Leo kama zilivyo siku nyingi natumiaga pia usafiri wa umma. Leo nikapanda daladala za mlandizi wakati mimi natelemkia katikati kabla ya kufika mpaka wa Dar na Kibaha. Si unajua kwa mtu anayejielewa kubana matumizi?😏 Pale nilipopanda Mbezi mwisho, alipanda mdada mmoja umri wake yuko chini ya 20...
  14. R

    Tumsikilize mchambuzi kuhusu ustawi wa watu ,taifa, na Uongozi/viongozi wetu na matumizi ya fedha zetu na uhalisia wa mipango yetu ya maendeleo 2050

    Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
  15. R

    Video Rais Ruto wakati wa kampeni akiahidi kutoa Ajira kwa vijana Vs Uhalisia kwa sasa

    Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya. Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana. Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye. Source: TRT AFRIKA
  16. Jibu ni mani, jawabu ni uhalisia. Uchaguzi ni wako

    Niwaslimu ndugu zangu na tuendelee kuuipa akili kazi. Kuna TOFAUTI kati ya jibu na jawabu ,jibu ni maoni ya MTU kwa KADRI ya taarifa alizonazo na JAWABU ni uhalisia wa mambo bila kujali hali au mapokeo ya MTU husika (it's a fact based) Sasa!!! Watu wengi tunatamani majawabu Moyoni lakini...
  17. Juni 19 ni Siku ya Selimundu (Sickle Cell) Duniani, ni dhana gani umewahi kusikia kuhusu ugonjwa huu ili tukusaidie kufahamu Uhalisia wake?

    Juni 19 ni Siku ya Selimundu (Sickle Cell) Duniani, ikilenga kuongeza uelewa kuhusu ugonjwa huu wa damu, changamoto za waathirika, na umuhimu wa elimu, upimaji wa vinasaba na huduma sahihi za afya. Hata hivyo, kuna Taarifa Potofu nyingi kuhusu Seli mundu zinazosababisha hofu na unyanyapaa, na...
  18. Uhalisia ni kwamba,humiliki chochote hapo ulipo,ile gari Yako uliyonunua hivi karibuni siyo Yako,nyumba nzuri uliyojenga siyo yakwako humiliki kitu

    Umiliki na Usajili wa Mali Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili" limekuwa na maana pana, na linaweza kuhusishwa na masuala mengi, ikiwemo usajili wa magari, nyumba, na hata...
  19. Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza: “Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?” Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…