uhalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

    Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Huku Sabaya kule Mdude, wote ni wanashitakiwa kwa uhalifu. Mungu awape wepesi

    Habari wadau! Leo nimevaa viatu vya baba yake Sabaya nikaona havinitoshi nikajaribu vya mdudu ndio kabisa. Kama una mtoto unajua vipi mtoto anavyouma, tuwaombee vijana wenzetu wapate haki wanayostahiri. Najua wengi wata comment ujinga kutokana na mlengo wao wa kisiasa. Bado tunawaitaji hawa...
  3. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Uhalifu utabaki Historia Dar. Amwambia Rais Samia kama shughuli imepata Mwenyeji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya. Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama mkuu wa Moka wa Dar na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kwamba Mkoa uko Salama na kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Uhalifu ni sawa na mti wenye matawi na mizizi

    Kwanini uhalifu hauwezi kuisha Uhalifu ni koo kubwa ambayo kuna sehemu unafikia hata unayekemea au kuzibiti mfano Polisi, Jeshi, TAKUKURU, TISS, Selikali, viongozi, jirani, ndugu na n.k bado itajikuta nao wanausika kwenye uhalifu! Uhalifu unaweza kugusa hata mkubwa yoyote na mdogo yoyote kama...
  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa manufaa ya jamii nzima

    Kwa kipindi hiki ambapo uhalifu umeongezeka Mtaani waelimishe yafuatayo wanaoshinda nyumbani. 1. Wasiwaamini wasiwaruhusu kuingia ndani wauza urembo.waokota makopo,watembeza nguo na wanaosajili line za simu. 2. Tusiwaamini/tusiwakaribishe ndani warembaji wa kucha na wasugua miguu...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Polisi wa Hai alishirikiana na Ole Sabaya kwenye Uhalifu, naye akamatwe haraka sana

    Iko wazi kwamba OCD wa Hai alinyamazia unyama wote ulioambatana na uchafu wa kutia aibu wa Mhalifu Ole Sabaya, kwa vyovyote vile Mtu mwenye mamlaka ya kuzuia Uhalifu anapounyamazia ili uendelee kutendwa huyu naye ni kwamba anashiriki uhalifu huo, anapaswa kukamatwa na kuunganishwa kwenye kesi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bunge/Waziri Mkuu: Limulikwe genge la kifisadi, rushwa linalojiita ni kamatakamata ya magari jijini Dar kwa visingizio vya kudhibiti uhalifu barabara

    Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi inayosababishwa na genge la kamatakamata ya magari barabara za mitaa ya jiji. Hili genge huibuka na kupotea...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Matapeli wanapoingia Jeshini kufanya uhalifu, wakapigwa doso (drill) raia msihemke

    Kijana aliyekamata Dar es Salaam Ni jirani yetu. Taarifa za ndugu zinasema alikamatwa kwa kujifanya afisa usalama Takukuru. Kwa stori walizopewa na jamaa zake baada ya video kuonekana mitandaoni ni kuwa. Jana alipata abiria ampelekea uhamiaji kupata huduma ya passport. Akiwa njia kama kawaida...
  10. JamiiForums Tanzania Tupeane updates za matukio ya wizi mitaani

    Heshima kwenu wanabodi, Wakubwa shikamooni, Ninaleta Uzi huu lengo tuweke wazi matukio ya wizi ambayo yamerudi kwa kasi nchini. Naombeni tuonyeshe jinsi gani wajanja wa mjini wanatuumiza. Imefika kipindi mpaka watu wameuawa kisoosoo. Watu wanaibiwa maduka sio poa. Okay, kwa kuanza binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Kinondoni inaongoza kwa uhalifu hapa nchini

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka...
  12. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo. Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
  13. JamiiForums Tanzania Uhalifu wa chuki za kisiasa waongezeka Nchini Ujerumani

    Takwimu rasmi kuhusu uhalifu unaotokana na siasa nchini Ujerumani zinaonesha kuwa ghasia na uhalifu wa kibaguzi vimeongezeka nchini humu. Waziri wa Mambo ya ndani wa Ujerumani. Horst Seehofer leo amewasilisha takwimu za uhalifu uliotokana na siasa uliofanyika mwaka 2020. Seehofer ameelezea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…