uhalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ni polisi tu ndio wanaruhusiwa kusema uhalifu unaongezeka

    Polisi wakitaja ongezeko la uhalifu,wanatoa takwimu. Mpaka sasa polisi hawajafanya hivyo. Kwa vile zimetokea spectacular murders, watu wameingia wasiwasi. Na huyu rais always anatafuta nafasi ya kuwaweka wanawake kwenye uongozi. Kamanda Sirro anaweza kushughulikia haya matatizo. Watu kuuana...
  2. The Bleiz

    JamiiForums Tanzania Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

  3. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Takwimu za uhalifu Tanzania: Mauaji ya watu yanaongoza tangu 2016 hadi 2020

    Rais SSH na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Kwa mujibu wa utafiti wa Kitengo cha takwimu cha Taifa wa mwaka 2020, yaani NBS, takwimu za uhalifu nchini Tanzania zinaonyesha kuwa katika makosa ya jinai dhidi ya bnadamu, uhalifu wa mauaji unaongoza tangu 2016 hadi 2020. Takwimu hizo ni kama...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Magenge ya uhalifu kutambulika kama makundi ya kigaidi

    Serikali itayatambua Magenge ya Kihalifu ambayo yamekuwa yakihusishwa na utekaji nyara wa Wanafunzi kama Makundi ya Kigaidi, hatua inayotazamiwa kuimarisha Hali ya Usalama Ghasia zimekuwa zinaongezeka Nchini humo na kuweka shinikizo kwa Serikali ambayo tayari imekuwa ikipambana na Boko Haram...
  5. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kuhusu hili? Polisi kasambaza picha za Mtuhumiwa wa Uhalifu mitandaoni

    Huyu Dada ame trend sana mitandaoni kwa kitendo alichokifanya siku kadhaa zilizopita!! Baada ya hilo tukio, taarifa zilisema anapaswa kukamatwa ama aende.mwenyewe kuripoti kituo cha Polisi. Kafika huko nako kapigwa picha na zimesambaa tena mitandaoni. Je hii kisheria haiwez kumsaidia kufungua...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Gazeti la New York Times lafichua uhalifu wa kivita wa jeshi la Marekani katika nchi za nje

    Gazeti la New York Times la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti inayoema, katika miaka ya hivi karibuni, operesheni za kijeshi za nchi hiyo katika Mashariki ya Kati zimesababisha idadi kubwa ya vifo vya raia wasio na hatia. Serikali ya Marekani imekuwa ikipuuza hasara za raia zinazosababishwa...
  7. kupe

    JamiiForums Tanzania Maabara ya Taifa (COVID-19), wateja wakiulizia majibu au kuomba msaada sio uhalifu

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kwanza niwapongeze hapo maabara kwa kuweka namba za simu yaani customer care au kwa kizungu call center. Ili mwenye malalamiko au maswali apate Majibu. Sasa basi hapa ndio kuna tatizo. Hawa watu wa kupokea simu kutuona sisi wateja kama wahalifu au tunapoteza...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msitake kupata huruma kwa kulihusisha JWTZ na uhalifu wa watuhumiwa walioachishwa kazi huko nyuma. Pambaneni mahakamani ili kupata haki

    Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa. Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai...
  9. 2019

    JamiiForums Tanzania Asante serikali kwa kuwapanga wamachinga, lakini je umejipanga kukabiliana na uhalifu mpya mtaani?

    Kwanza nampongeza serikali kwa uamuzi iliofanya wa kuweka miji safi na kuona mbele. Ni jambo jema sana ila kwenye kuondoa vibanda pia nimeona hakuna fair kabisa. Baada ya mpango huo je wale watakaorudi mtaani serikali itachukua hatua gani kama uhalifu ukiongezeka? Je imejipanga kukabiliana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

    Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete. Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
  11. A

    JamiiForums Tanzania CP Hamduni Salum imulike Tanga inanuka rushwa,TAKUKURU wamekuwa mawakala wa wahalifu

    Kamanda wa kupambana na rushwa Hamduni Salum wasaidie sana watu wa Tanga. Ofisi za TAKUKURU jiji la Tanga wamekua watu wasiotenda haki kwa kutofuata miiko ya kazi. Wanakua watoa siri hata ukiwaeleza juu ya viongozi wala rushwa wao wanakua washanunuliwa na hao viongozi. Ukitokatu ofisi za...
  12. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Hatukujua uhalifu wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha, tuwe na utulivu yajayo yanafurahisha

    IJUMAA KAREEM Wengi wao nami ni mmojawapo hatukujua upande wa pili wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha vitendo vyake vya kihalifu alivyovifanya, hapa somo linakuja tusikauke mate wala kukaza shingo kutetea watu tusiowajua upande wao wa pili wala tusioishi nao na kujua nyendo zao za siri...
  13. dour

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ongezeko la uhalifu wa kihisia (Crime of Passion)

    Muhtasari kulingana na kukua kwa takwimu za vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi, Andiko hii imeangazia kwa undani juu ya asili ya wivu, uhusiano uliopo kati ya wivu na mapenzi, namna wivu unaleta uhalifu, na nini chakufanya kutatuta uhalifu huu wa hisia. UTANGULIZI Mnamo tarehe 16 ya mwezi wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, bado unawahitaji Hawa watu au uhalifu wao umekoma?

    Je, IGP bado anamtafuta Kigogo2014 ? Je, IGP bado anamtafuta Mange Kimambi? Je IGP bado ana kesi na Manji? Tunaamini Polisi ya Tanzania inapambana na wahalifu au inapambana na watu wenye mtizamo tofauti na CCM na viongozi wake? Kama wanapambana na mitizamo hasi dhidi ya CCM ni lina tutapata...
  15. Christopher Cyrilo

    JamiiForums Tanzania Istilahi za uhalifu na usalama

    Mei 1998, Andrew Chenge, akiwa mwanasheria mkuu alihalalisha (Authorized) malipo ya dola 600,000 kwenda kwenye akaunti ya kampuni iliyoitwa Langley Investments Limited, kampuni iliyomilikiwa na aliyekuwa gavana wa benki kuu ya Tanzania, Dr. Idrissa Rashidi. Gavana Dr. Rashidi ndiye alikuwa na...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Baba yake Mbowe kusaidia kudai Uhuru sio defence ya Mbowe kutofanya uhalifu, tutumie busara kujenga hoja

    Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Paul Makonda angekuwa RC Dar matukio ya ajabu yasingetokea, maana alidhibiti uhalifu. Wauza shisha walipotea kama barafu iliyoyeyuka

    Msingi wa jeshi la polisi imara ni operation ili kudhibidi uhalifu. Ndio maana Makonda kama mkuu wa masuala ya usalama aliamini kwenye operation. Makonda alimsimamia vyema Igp Sirro wakati huo ni kamanda wa kanda maalumu kuhakikisha uhalifu wa kila aina unatoweka Dar. Vibaka, wahuni, majambazi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuipende nchi yetu, tupinge uhalifu kwa kila namna

    Kutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania. Kulipenda taifa letu kwa moyo wote. Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi. Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Sabaya kaiaibisha Ikulu kwa kuihusisha na uhalifu alioshitakiwa nao

    Hizi tuhuma ambazo zinatolewa na Sabaya kuwa mamlaka ya uteuzi ilihusika kumpa kazi maalumu kisha tuhuma za uhalifu zikatokea ni aibu kwa taifa letu. Ikulu ambayo ndio mahala pa kuonyesha mamka ya wananchi kuwageuka wananchi na kumtuma Sabaya kufanya uhalifu ni aibu kubwa na fedheha kwa taifa...
Back
Top Bottom