uhalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa cheti kutoka Marriage Conciliation Board ni upi?

    Wakuu habari, Inatambulika kuwa inapotokea shida ya kutoelewana kwa wanandoa wawili na kutaka kusuluhisha migogoro yao, hushauriwa kuendea mabaraza ya usuluhishi ya ndoa; BAKWATA (kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria za kiislamu) na Taasisi za kikristo au kanisani ( kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria...
  2. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kumuuliza Mwenzi kuhusu uhalali wa watoto wako?

    Hivi karibuni na labda tokea zamani kumekuwapo na wimbi la wazazi wa kike kubainika kuwa waliwabambikizia wazazi wakiume watoto wasio wao. Jambo hilo limekuwa likileta mtafaruku katika ndoa na familia nyingi pale inapobainika kuwa mtoto si wa baba mwenyenyumba. Hii ni kwa sababu hakika ni...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania FBI yataifisha fedha za watu kutoka banki ila waliothibitisha uhalali wake mahakama imeamuru warudishiwe haraka sana

    After the FBI seized Joseph Ruiz's life savings during a raid on a safe deposit box business in Beverly Hills, the unemployed chef went to court to retrieve his $57,000. A judge ordered the government to tell Ruiz why it was trying to confiscate the money. It came from drug trafficking, an FBI...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

    Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu. Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wezi, hatuna uhalali wa kuihoji Serikali

    kwakweli huu ndio ukweli mchungu, asilimia kubwa sisi ni wezi na kila mmoja huiba kwa nafasi yake, mimi nimefanya hata kazi kwenye mashirika ya kimataifa wenye vyeo vya juu kule ni watu wa kenya, uganda, zimbabwe na nchi zingine vyeo vya chini wamewapa watanzania wanaogopa kuwapa vyeo vya...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa hakuhoji uhalali wa tume ya uchaguzi kwenye kitabu chake. Wanaomnukuu hivyo wanapotosha

    An objective and fair electoral commission, which is acceptable to all parties is an essential pillar in the evolving democratic culture on the African continent. The composition of the electoral commission is often disputed in African countries, yet someone must appoint them. Then you must have...
  7. Matojo Cosatta

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga uliofanywa na Rais

    UHALALI WA UTEUZI WA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA ULIOFANYWA NA RAIS. 1. SWALI Mwana JF anayetumia Username ya Hand Hand aliuliza swali hapa JF kuhuu uhalali wa kisheria wa Uteuzi uliofanywa na Rais Samia wa kumteua Bi Mtumwa Khatibu Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa...
  8. Bams

    JamiiForums Tanzania CCM inapata wapi uhalali wa kuwafundisha watu ustaarabu?

    Kiongozi Mkuu wa CCM aliwahi kuwaambia wananchi waliokuwa wakilalamikia ukubwa wa tozo ya huduma ya choo kuwa, kama hawataki kulipia hiyo tozo, wabakie na mavi yao. Waziri wa Serikali ya CCM aliwahi kuwaambia wananchi waliokuwa wakilalamikia ukubwa wa tozo ya huduma za kivuko Kigamboni kuwa...
Back
Top Bottom