uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majimbo mawili ambayo washindi wapili ni uhakika watarudi kuwa ndio wapeperusha bendera ya ccm

    Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya...
  2. JamiiForums Tanzania Alie kuja na mada kuhusu uhakika wa uwepo wa gari nzima kabisa kwa bei ya million2 majibu yake yapo chini hapo

    ndugu mwanachama ulie kuja namaada yako inayo sisitiza juu yawewe kupata uhakika wa uwepo wa magari yanayo tangazwa mitandaoni kama ulivyo sema tena kwabei ya hadi m2. majibu hapo chini. 1=gari la namna hiyo halipo labda iwe nikwamaana ya banda lakufugia panya na mende au kwamaana nyingine...
  3. JamiiForums Tanzania Unahitaji mjenzi wa uhakika kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi, Karibu tukuhudumie

    4BEDROOMS SIMPLE STOREY PLOT SIZE 600SQM CALL US +255624004650
  4. JamiiForums Tanzania Mna uhakika Press Ipo leo?

    Ikiwepo tafadhali mtanijuza Updates zake.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
  6. JamiiForums Tanzania Una uhakika kabisa Lissu akishika nchi itanyooka?

    UPO NA Imani kabisa kua LISU AKISHIKA NCHI itanyooka Toa evidence kupitia sera zake hapo chini👇👇👇
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Maharagande: Miaka 64 ya uhuru hatuna umeme wa uhakika

    Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu Chama cha ACT Wazalendo. Mbarara Maharagande, amewataka Watanzania kukipuuza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwakuwa kimeshindwa kutatua changamoto zao hasa kwenye upatikanaji wa huduma ya umeme wa uhakika. Maharagande ameyasema hayo wilayani Tunduru kwenye mkutano...
  8. JamiiForums Tanzania Huduma ya maji itakuwa ya uhakika na bei nafuu

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka ni uhakika

    Biashara ya nafaka ni biashara nzuri sana. Nimefanya tafiti toka mwaka 2021 nemegundua kuwa mahindi Huwa yanashuka sana mwezi wa 7 Hadi 9 bei hufika Hadi tsh 6000 kwa debe moja(Lita 20) kwa maeneo ya vijijini (utafiti wangu nilifanyia njombe). Ila ikifika mwezi wa 2 Hadi 6 mahindi huuzwa tsh...
  10. JamiiForums Tanzania Wafugaji: Jua Chakula cha Kuku Kitatosha Mpaka Lini Na Zuia Wizi wa Chakula Kwa Uhakika (Bila Kubahatisha!)

    Sasa unaweza kujua chakula cha kuku kitakutosha kwa muda gani bila kubahatisha. Feed Tracker hukusaidia kufuatilia matumizi ya chakula kila siku kulingana na idadi na aina ya kuku. ✅ Hakuna tena kukosa chakula ghafla ✅ Panga ununuzi mapema ✅ Punguza upotevu na gharama ✅ Kuku wako wawe na afya...
  11. JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo ambayo yamepigwa kwa uhakika na Iran

    Wanaukumbi. ⚡️🇮🇷JUST IN: Infographic of Iran’s strikes and targets during the 12 day war with Israel: Strategic assets Iran targeted: • Al-Jalil Base; Military base in the north • Haifa Port • Haifa Power Plant • Haifa Oil Refinery • Tel Nof Airbase • Mossad HQ • Kiryah Base, Military command...
  12. JamiiForums Tanzania Simba wana sababu za msingi na zisizo za msingi kutoleta timu June 25

    Nina uhakika 💯 Simba hataleta timu Vikao vya ndani vya Simba vimeshaamua kutokucheza Kwa sababu zifuatazo. 1. Kuonyesha msimamo wao. Simba washataarifu umma kuwa hawatacheza tarehe ikibadilisha kutoka 15 June. Kucheza itaonyesha hawana msimamo 2. Simba wakikubali kucheza itaonyesha wamefuata...
  13. JamiiForums Tanzania Ukitaka uchumi wako ukue kwa kasi hapa Tanzania jifunze kusifu na kuabudu

    Wewe jitoe ufahamu na kuimba sifa utaona kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wako. Vyombo vyote vya dola vitakushabikia nawe utakula mema ya nchi.
  14. JamiiForums Tanzania Mhandisi Leo Magomba: Wanaotumia internet ya uhakika Afrika ni asilimia 38 ya watumiaji wote, hili ni pengo kubwa

    Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni asilimia 38 kati ya watumiaji wote, ambapo amedai kuwa zinahitajika juhudi za pamoja kuchochea...
  15. JamiiForums Tanzania GOOD MORNING KUTOKA SITE ...SISI NI WATAALAMU WA UJENZI UKIHITAJI KUJENGEWA KWA VIWANGO VYA UHAKIKA CALL US 0624004650

    TUNAMALIZIA KAZI YA UJENZI WA MSINGI KATIKA MOJA YA SITE YETU KARIBU TUKUHUDUMIE OFISI ZETU ZINAPATIKANA SINZA DAR ES SALAM CALL/WHATSAP +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders
  16. JamiiForums Tanzania Utabiri wa uhakika: hawa ndio watakuwa mabingwa mbalimbali wa ulaya kuanzia uefa,europa comfarance league ikiwa mechi zimesalia chini ya nne had moja

    Uefa champions league PSG vs intermillan Bingwa PSG Europa uefa league Totenham hotsper vs manchester united Bingwa tottenham hotspers Ecl Real bets vs chelsea Bingwa: real bets Bingwa wa laliga :real madrid Bingwa wa seriA :intermillan Ikumbukwe kwa epl tayari liverpool...
  17. JamiiForums Tanzania Mna uhakika Vatican hawawezi kutupa Mkopo?

    Pamoja na pongezi kwa Baba Mtakatifu Leo XIV. Narudia tena kuuliza. Mna uhakika hawa Vatican hawawezi kutukopesha?
  18. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Simba ndiyo timu pekee iliyo na uhakika wa kucheza Klabu Bingwa ya CAF msimu ujao

    Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje. Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao. Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
  19. JamiiForums Tanzania Enyi Watanzania Mna uhakika Mwaka Huu 2025 Kuna Uchaguzi?

    GT Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana. Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi utakuwa ni mgumu na wenye sintofahamu kubwa in case utakuwepo. Hapa ndo naikumbuka kauli ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: CHADEMA imeua ndoto za waliotaka kugombea, mpaka 2030 sina uhakika kama tutakuwepo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi kufikia mwaka 2030 "Jambo la pili ni chama chetu kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…