uhaba wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kukosekana kwa huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja kwa miaka minne sasa

    Habari JamiiForums, Ni miaka minne sasa tangu DAWASA Kibaha walivyositisha huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja. Mara ya mwisho maji yalitoka November 2020 hadi leo maji hayatoki na hakuna taarifa zozote Tunaomba mtupazie hili kwa wahusika ====== Tujikumbushe hii habari ya Mwaka 2023...
  2. Mzee Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kafulila: 2008 SYNOVATE walisema tatizo namba moja la Watanzania ni maji

    Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa tatizo namba moja la Watanzania ni maji Safi na Salama. Kafulila amesema kuwa Rais Samia katika...
  3. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto ya Maji Itamalizwa Kwa "Desalination", Teknolojia Ya Kisasa Kwa Nchi Kubwa

    TATIZO LA MAJI LITAISHA KWA NAMNA HII Chanzo Cha Picha: Freepik Tatizo la maji katika nchi yetu hii ya Tanzania ni changamoto kubwa inayokabili nchi, Mijini na vijijini. miundombinu ya maji safi na salama isiyo na ubora ni moja ya sababu kuu. Maeneo mengi hayana mabomba ya maji ya kutosha au...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Juma Aweso atoke hadharani na kusema kwanini Ubungo mpaka Kimara maji ni shida

    Dar ndo jiji kubwa Tanzania ukifanya research utagundua availability ya maji Dar Ina range 60%--70% mfano Ubungo na Kimara maji yanatoka mara mbili Kwa wiki tena Kwa mda mchache yanakata mwezi wa pili huu. Ukicheki Leo 2024 Bado maji ni shida Ila Waziri yupo naibu wake yupo wanachofanya ni...
  5. Heparin

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakazi wa Bomani, Tarime Mjini walia na tatizo la Mabomba ya Maji ya Kunywa kutoa maji Meusi (Machafu)

    Inadaiwa kuwa wakazi wa Bomani, Tarime mjini wamekuwa hawapati maji safi na salama kwa zaidi ya wiki moja sasa. Pia, inadaiwa kuwa wananchi hao hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mamlaka husika. Maji yanayotoka ni machafu sana ambayo pia ni hatari kwa afya zao. Mamlaka zitazame suala hili.
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tabata Kisukuru kero yetu kubwa ni kukosa gari la kuzoa taka na uhaba wa maji

    Mimi kero yangu au naweza kusema kero ya watu wengi huku mtaani kwetu Tabata Kisukuru ni kuwa gari la Taka halijaonekana muda mrefu na taka zimejaa kwenye nyumba nyingi mpaka zinanuka na kutengeneza wadudu. Kero nyingine ni kuwa maji ni ya shida sana yaani tunataabika kwelikweli, tupazieni...
  7. mtungu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Kigwase Tanga kuna umasikini wa kutisha, hakuna maji wala umeme

    Ni kweli unatoa kalibu madini yote yanayochimbwa duniani; kwanini kule kuna umasikini wa kutisha hakuna maji wala umeme. Kuna mto umba ndo mtetezi wao kwa maji japo yana magadi ukibandika maharage siku mbili hayaivi. Tabu ni nyingi sana kule hakuna mawasiliano mitandao ya simu haikamati mpka...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yaelezea undani wa tatizo la umeme wa mgao, yataja uhaba wa maji na matengezo ya mitambo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amezungumia kinachoendelea kuhusu mgao wa umeme Nchini akitaja sababu na mipango yao ya wanachokifanya ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza. Amesema kuna upungufu wa Megawats 300 hadi 350 kwa siku kutokana na...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

    1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye...
  10. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Je, sababu ya uhaba wa maji kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo jijini Mwanza, nayo ni ukame wa ziwa Victoria?

    Kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo, jiji la Mwanza limekuwa na uhaba mkubwa wa maji unao ongezaka kila kukicha. Chanzo chake cha maji ni Ziwa Victoria. Sababu zinazotolewa ni pamoja na ukame ulioikumba nchi nzima kuanzia kipindi cha kiangazi. Ni kweli kwamba Ziwa Victoria nalo zamu hii...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Ng'ombe wamesababisha uhaba wa maji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema mto Ruvu umacha kutiririsha maji kutokana na wananchi wa Mvuha, Dutumi na Kisaki Mkoani Morogoro kiwa na ng'ombe wengi. Makalla na timu yake waliufuatilia mto Ruvu ili kujua sababu ya kutopitisha maji ambapo wamegundua shughuli za kibanadamu...
  12. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Ina maana DAWASA hawasafishi na kuzibua visima hadi kutokee uhaba wa maji?

    Jamani hivi mmegundua kuwa tangu itangazwe kuwa kuna upungufu wa Maji unaosababisha mgawo, DAWASA wameanza kuzibua Visima 161 mitaani huko ambavyo havikuwa vikifanya kazi. Kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kabisa kuwa hawa jamaa DAWASA hawana kawaida ya kuchukua tahadhari yoyote kuhusu dharula ya...
  13. OLS

    JamiiForums Tanzania Kauli ya RC Makalla kuhusu uhaba wa maji ni sawa na kusema hatutaki Maendeleo

    Imenishangaza sana kusema suala la maji ni 'Kudra za Mungu'. Nimefikiria kama tuko serious na maendeleo. Labda nianze kwa kuwapa tafsiri ya maendeleo tofauti na ulizoea kuzisikia awali. Maendeleo ni uwezo wa mtu kuyadhibiti mazingira yake (Ability to command the environment). Hii inaenda sawa na...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Pwani wanakata sana miti na kusababisha uhaba wa maji

    Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti. Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji. Rais...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rasmi Dar yakumbwa na uhaba wa Maji, RC Makalla athibitisha uwepo wa Mgao

    Akizungumza baada ya kutembelea vyanzo vya Ruvu Chini na Juu, Mkuu wa Mkoa Amos Makalla amesema mgao wa Maji umesababishwa na kupungua kwa uzalishaji kunakotokana na ukame. Makalla amesema hali ya Maji sio nzuri kwenye kina cha maji cha vyanzo hivyo huku uzalishaji ukipungua kutoka lita za...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Ulongoni A yakabiliwa na uhaba wa maji vyoo vya wanafunzi

    Shule ya Sekondari Ulongoni A iliyopo Kata ya Gongolamboto inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo uzio, miundombinu chakavu kwa baadhi ya madarasa na maabara. Imeelezwa kuwa hali hiyo inachangia utoro kwa wanafunzi wengi pindi wanapohitaji haja binafsi na nidhamu ya ufaulu kushuka. Mkuu wa...
  17. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa maji Dar es Salaam kuwa historia, ujenzi wa Bwawa la Kidunda kuanza

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya mipango na ahadi nyingi za kumaliza changamoto ya Uhaba wa maji jijini Dar na Pwani toka Uhuru kushindikana sasa mh.Rais SSH ameamua kufanya kwa vitendo. Serikali ya mama imeazimia kufuta kabisa shida ya Maji jijini kwa kuanza ujenzi wa Bwawa kubwa...
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Taifa kutimiza miaka 60 ya uhuru wake, linahangaika kuwatafutia wananchi umeme na maji

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kama Taifa tunakwamia wapi? Hivi Tanzania ya leo, ndiyo ihangaike kuwatafutia wananchi wake umeme na maji, baada ya kujitawala toka kwa mkoloni miaka 60 iliyopita? Nchi iliyojaa rasilimali tele, kama vile mito inayotiririka maji mwaka mzima, maziwa matatu makubwa...
  19. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Maji Dar es Salaam: Harufu zimeanza kuwa kali maofisini na Majumbani

    Watu wa Dar es Salaam, Mambo yamekuwa sio mambo, ni harufu kali na uchafuzi wa mazingira unatokana na uhaba wa maji Familia zenye watu wengi ni shida na balaa, Watu wana nawa uso tu, nguo hazifuliwi zinanuka jasho Je, CCM ni ile ile au hii nyingine Na joto kali sio Dar es Salaam tu bali...
Back
Top Bottom