Nini madhara ya matumizi ya ugoro?

mdalla 1

Senior Member
Aug 11, 2014
120
20
Ndugu wataalamu wa afya, husika na kichwa tajwa hapo juu.

Kutokana na zuio la Serikali juu ya uuzaji na utumiaji wa pombe aina ya viroba hapa nchini, vijana wengi wa Kitanzania sasa wamejikita na matumizi ya ugoro.

Je, nini athari na faida zake kwa ujumla?
 
Aaaargh ugoro sio starehe yani nilionaga madhara tu ya wale watumiaji wanachimbika kule ndani ya fizi na kusababisha saratani.

Nimesema ile sio starehe sababu nakumbuka niliweka yan dk 2 tu nikaona dunia kama imeniangukia , mvua imeninyeshea , joto la nguvu, baridi kali, mavi yanataka kutoka, yani ni majuto ya hali ya juu.
 
aaaargh ugoro sio starehe yani nilionaga madhara tu ya wale watumiaji wanachimbika kule ndani ya fizi na kusababisha saratani.
Nimesema ile sio starehe sababu nakumbuka niliweka yan dk 2 tu nikaona dunia kama imeniangukia, mvua imeninyeshea, joto la nguvu, baridi kali , mavi yanataka kutoka, yani ni majuto ya hali ya juu
Ukirudiaa tena huachii
 
aaaargh ugoro sio starehe yani nilionaga madhara tu ya wale watumiaji wanachimbika kule ndani ya fizi na kusababisha saratani..
Nimesema ile sio starehe sababu nakumbuka niliweka yan dk 2 tu nikaona dunia kama imeniangukia , mvua imeninyeshea , joto la nguvu, baridi kali , mavi yanataka kutoka, yani ni majuto ya hali ya juu
Mkuu mav tena..pole
 
Hahahahah
 
aaaargh ugoro sio starehe yani nilionaga madhara tu ya wale watumiaji wanachimbika kule ndani ya fizi na kusababisha saratani.
Nimesema ile sio starehe sababu nakumbuka niliweka yan dk 2 tu nikaona dunia kama imeniangukia, mvua imeninyeshea , joto la nguvu, baridi kali , mavi yanataka kutoka, yani ni majuto ya hali ya juu.
Ukiwa form one kwenye hyoo maneno lazimaa ujiskie hivyoo ilaa kwa wazoefuu hainaa neno.
 
Ukiwa form one kwenye hyoo maneno lazimaa ujiskie hivyoo ilaa kwa wazoefuu hainaa nenoo
Itakuwa ni kweli maana hata jamaa aliyenipa alisema kama tena kesho ningeweka na kesho yake tena aaargh ningekua safi tu. Ila ile hofu ya mateso yale ilinizidi bwana. Mi nimewaacha bhana muendeleee.
 
itakuwa ni kweli maana hata jamaa aliyenipa alisema kama tena kesho ningeweka na kesho yake tena aaargh ningekua safi tuu.. Ila ile hofu ya mateso yale ilinizidi bwana. mi nimewaacha bhana muendeleee
Haaaahaaaa umetuachaa nanani
 
aaaargh ugoro sio starehe yani nilionaga madhara tu ya wale watumiaji wanachimbika kule ndani ya fizi na kusababisha saratani..
Nimesema ile sio starehe sababu nakumbuka niliweka yan dk 2 tu nikaona dunia kama imeniangukia , mvua imeninyeshea , joto la nguvu, baridi kali , mavi yanataka kutoka, yani ni majuto ya hali ya juu
Hahaha ww uli test kiama sio ugoro
 
Ugoro una madhara mara 100 zaidi kuliko madhara inayoweza kupata pale unaponyonya kinyeo cha mpenzi wako
 
Habari zenu wakuu
Naomba kupewa madhara ya matumiZi ya ugoro.
Mimi nimtumiaji mzuri sn
A.k.a mzee wa kuseti
Nilikuwa mtumiaji wa kuberi zilipopigwa stop nikahamia kwenye ugoro, nakumbuka nikiwa 1st yr chuo jamaa angu wa Tanga alinifundisha kutumia ugoro. Stim lake Ni balaa, nikazoea had tukajuana watumiaji hostel mzima, mtu anakuja kukugongea mlango saa7 usiku. Tulifahamiana karibia wote.

Nilikuwa addicted had naanza kazi sikuweza kuacha, nilipooa nilikuwa nauficha bafuni au popote pale ambapo naweza kuingia na kuutumia bila wife kujua, lakini alinikamata nao. Ugoro ni utumwa. Mikono ilikuwa inatetemeka Sana na mdomon kuwa na vidonda.

Sasa Nina zaidi ya miaka 7 sijatumia, ila rafiki angu aliyenifundisha hajaweza kuacha, me nakunywa mvinyo yeye Bado anakula ugoro alafu Ni Headmaster Sasa na amekiri kushindwa kuacha.

Ugoro Ni hatari, Bora beeeer na konyagi aisee.
 
Back
Top Bottom