ugomvi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usiingilie ugomvi wa Wakubwa! Ndicho kinachoenda kuliza wengi

    Hallelujah! Bado nakusanya ripoti. Bado najifunza na nitaendelea kuwafundisha. Kuna msemo maarufu usemao, usiingilie ugomvi wa wazazi, msemo huo upo kwenye level ya kifamilia. Watoto wengi wanaoingilia ugomvi wa Baba na Mama hujikuta katika maisha magumu hapo baadaye kwa namna waijuayo au...
  2. JamiiForums Tanzania Ugomvi wa marafiki ulioniacha mdomo wazi!

    Haya haya wambea wenzangu njooni..!! 😹 Juzi kati nilishikwa na homa. Sasa kuna mtoto wa sis angu alikuja kunisalimia ni mwanachuo wa chuo kimoja hapa jijini..!! Tukaanza kupiga story na kupeana pole. Mara nyingi nimezoea kumuona na bff wake Rose (sio jina halisi) ikabidi nimuulize rafiki yako...
  3. JamiiForums Tanzania Kifungo cha Diddy Chapunguzwa Tena Licha ya Ugomvi

    Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028. Diddy Awali Alitarajia Kuachiwa Huru - June 2028 Ikaja April 2028, Kisha Februari 2028 Na Sasa Ataachiwa Huru...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana wa kidato cha pili Kenya apigwa mpaka kufa kwenye ugomvi wa kuongoza maombi.

    Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
  5. JamiiForums Tanzania Hawa wanatupanga, hakuna ugomvi wala nini

    He's prepared to be there, kuna imani inajengwa kwa raia dhidi yake. Na mmesha jaa. Wana akili sana wale. Soon mtasahau agenda katiba mpya, kiki itaamia kwa first one vs second one, nimekaa pale. 2030 inaandaliwa taratibu.🫵
  6. JamiiForums Tanzania Nasubiri mwenye mkoa wake atuambie bwana jumbe alikuwa na ugomvi kwenye bar na watekaji

    NI kawaida lazima mwenye mkoa wake wa DSM aje atuambie hadharani au safari anaona aibu maana siyo kwa aibu hii . Atakuja tu msubiri anajiandaa kupangilia uwongo wa kutukuka Mnamjua au niwatajie ...... mission paralyzed
  7. JamiiForums Tanzania Naleta Ugomvi: Kati ya Pengo Makeke na Mr. Dude nani alifanya utapeli ulioakisi uhalisia?

    Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude. Ili kumjua Dude inabidi uwe umezaliwa miaka sio chini 1999 na kwenu kulikuwa na TV ili kuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Yesu na Muhammad walikuwapo, kwanini wanazua ugomvi na utata?

    Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa...
  9. JamiiForums Tanzania Nina ugomvi mkubwa na dada Yangu..nitumie njia Gani kuleta amani?

    Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake. Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi TU ya nguoni.. Mama hana la kusema kwasababu ameshasema sana juu ya hili lakini naona ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  11. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Ugomvi wa Marekani Vs Venezuela

    Hiko hivi Sababu kuu nyuma ya ugomvi wa U.S. na Venezuela ni Mafuta. Venezuela ina akiba kubwa ya mafuta duniani. Malighafi hii ni nyingi sana kwa uzalishaji wa bidhaa za wese (hasa kwa ukanda wa Americas). Kwa nini hili wese linaleta shida: Kwanza mafuta = economic power, Mafuta =...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Swali la Ugomvi: Kwani Mmepaniki nini Wenzetu?

    Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na kama haitoshi mkatetea na kutuelezea kuwa libido muue, make na kulawiti ili msije kuondolewa kwa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hawa Wanaolazimisha Ugomvi wa Kidini, Wanatarajia kunufaika na Nini?

    Waliokuwa karibu na Hayati Mwalimu Nyerere wanasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kumsamehe kiongpzi yeyote akifanya makosa mengine, lakini siyo makosa matatu. Ilikuwa ukifanya moja ya makosa haya matatu, hata ungekuwa nani, atakufurusha. Makosa hayo ilikuwa ni: 1. Kupalilia chuki za kidini. 2...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Unakotupeleka Utalaaniwa na Vizazi Vyote Vya Tanzania Na Dunia. Nchi Hii Haijawahi Kuwa na Ugomvi wa Kidini, Wewe Unauanzisha kwa Nguvu

    Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Zungu: Sisi kama Bunge tunapaswa kuangalia maslahi ya wananchi kwanza na sio ya sisi wabunge

    Mgombea Uspika, Musa Azzan Zungu amesema hakuna ugomvi kati ya bunge na serikali au mahakama, isipokuwa lengo ni kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi akijibu swali kuhusu Bunge kutetea wananchi. Ameyasema hayo awali leo Bungeni Novemba 11, 2025.
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29, Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja. Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
  18. JamiiForums Tanzania Ufahamu wa kuhusu Bima uko chini au Diva ameamua kununua ugomvi?

    Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha tangu 2 Machi 2025. It seems kwamba Diva alienda hospitali baada ya bima kuisha na alipokosa...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Ugomvi wa Zitto na Magufuli ulianzia kwenye Kukata Mirija ya Ulaji kwa Zitto

    Zitto hakutoka siku wenzie wanatoka kumkataa Magufuli. Why? Aliamini Magufuli ataendeleza kama alivyokuwa anafanya kikwete. Kumpatia fungu, pesa za kujikimu. Magufuli alikuwa anajua Zitto anatumika na Kikwete akamlia bati na hakumtaka maana siku zote Magufuli alikuwa akimdharau sana Zitto. Hapo...
  20. N

    JamiiForums Tanzania KERO Kamali, matusi kelele na ugomvi

    Kata ya Buyuni – Mtaa wa Nyeburu, Barabara ya Mchimbo (Maarufu Kwa Baba Esther) Sisi wananchi wa Kata ya Buyuni, Mtaa wa Nyeburu, tunapenda kuwasilisha taarifa ya kero inayotusumbua kwa muda mrefu katika eneo letu, hususan barabara ya Mchimbo maarufu kwa jina la Kwa Baba Esther. Eneo hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…