ugenini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Yanga anakwenda kutwaa kombe ugenini kwa kupindua meza kama alivyofanya Tunisia

    Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia. Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ukienda ugenini usiende mikono mitupu!

    UKIENDA UGENINI USIENDE MIKONO MITUPU! Anaandika, Robert Heriel Kama mtu unayejielewa, heshima sio kitu cha bure ingawaje huwezi inunua. Moja ya malezi bora ambayo kijana wa kike au Wakiume unapaswa kuwa nayo ni pamoja na mafunzo kuhusu kwenda na kuishi ugenini. Ukienda ugenini usiende Mikono...
  3. JamiiForums Tanzania Ulipokua ugenini kwa wakwe au ndugu kumbukumbu gani ya kushare choo ilikupa ugumu

    Unakuta nyumba ina watu si chini ya saba choo kimoja basi asubuhi ni nani anaanza nani anamaliza... Au choo kipo eneo la barazani na ndugu na jamaa barazani ndo kijiwe Wakati hali iko hivyo mkojo wa asubuhi hakuonei huruma... Au tumbo linaamua tu kukuharibia... hahahah
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sababu Fainali za CAF Kuchezwa nyumbani na ugenini

    📝Watu wengi Sana wamekua wakijiuliza ni kwanini falinali za kilabu bingwa afrika na zile za shirikisho zinapigwa home and away mpaka Leo na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mfumo huoo ni wa hovyo sana Bora mechi iwe inapigwa moja tu kwenye neutral ground. 📝 Majib ya swali hili na lawama...
  5. JamiiForums Tanzania Tunakumbushana: Marumo Gallants walishafungwa Ugenini 4-1 na USM Algers, 2-0 na Al Akhdar ila kwao wakashinda 4-1 na 2-0 na kuvuka

    Tuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu. Wenye akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Mjumbe wa Urusi achapwa ngumi na wa Ukraine kwenye kikao Uturuki

    Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
  7. JamiiForums Tanzania Simulizi fupi: Mtoto wa miaka 8 alifanya nikajuta kuishi ugenini

    Habari za asubuhi wakuu Nina story fupi ya mtoto wa miaka 8 alifanya nijute kukaa UGENINI lengo la story hii tujifunze na tukemee vitendo visivyofaa kwenye jamii ili kudhibiti matukio ya ubakaji na wazazi tujitahidi kwa malezi Bora. Asanteni Mwaka 2018 wakati nipo chuo hapa jijini baada...
  8. JamiiForums Tanzania Pesa ya goli la ugenini walau iwe Dola za Marekani 5000.

    Huwezi ukalinganisha goli la ugenini na la home stadium. Ukweli ni huo lazima mamlaka iliangalie hili. 1. Mathematics haiwezi kuwa sawa na Language. 2. Visa ya USA haiwezi kuwa sawa na ya Rwanda. Sasa Kwa kuliona hilo naishia hapa. Muwe na usiku mwema wakuu.
  9. JamiiForums Tanzania FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

    Huyu Vipers anaweza akawa ndio kibonde wa kundi la Simba. Anacheza na Raja Casablanca tayari kashalambwa 2-0 na game ndio kwanza mbichi.. ======== Updates Raja 5 - 0 Vipers Wafungaji: Hamza Khabba 5', Jamal Harkass 11', Mohamed Zrida 38' , Yousri Bouzok 59' , Raja Aholou 71'
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

    Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga wamedhoofu, ni kama wao ndio wapo ugenini wanakatisha tamaa!

    Wanavyocheza yanga nikama tayari wameshapata goli nne, kama wasiposhinda goli 3 leo ndio basi tena!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona Yanga inaanzia tena nyumbani na kumalizia ugenini

    Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia. Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko. Eleweni wako watu...
  13. JamiiForums Tanzania Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

    Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
  14. JamiiForums Tanzania CAF inashindwa nini kufuta goli la ugenini?

    Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇 Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

    Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA. Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii. Kuna watu tena...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga watashinda mbili kwa moja nyumbani, na kutoa sare ugenini, hivyo kufuzu kwa hatua ya makundi

    Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini. Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini. Msisime sikuwaambia.
  17. JamiiForums Tanzania Uraibu na nguvu ya kujua anapokuwa ugenini

    Nakumbuka kwenye mtaa wetu palikuwa na chimbo la dawa lakini jambo la kushangaza ni kuwa licha ya kukaa hapo kwa takribani miaka 5 sikuwahi kunotice chochote mpaka pale jamaa yangu ambaye ni complete stranger alipokuja kunisanua, kuwa dawa zinapatikana location fulani nilibaki nashangaa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

    Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua Weka na wewe cha...
  19. JamiiForums Tanzania Simba; sawa tunajua mnapenda uchawi, ila ndio muufanye bila kificho hata ugenini? ni aibu sasa hii

    Ni nini huu upuuzi?
  20. S

    JamiiForums Tanzania Simle anaylsis: Matokeo ya mechi za nyumbani na ugenini za USGN ndio yataamua timu mbili za kufuzu kundi "D"

    Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika soka kama tulivyo Tanzania. Kwahiyo, timu zitazoifunga hii timu ya USGN nyumbani na ugenini, ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…