Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia hazikucheza preliminary stage.
Katika timu hizo Simba Sc imefunika zote ikifuatiwa na Raja...
Manara kwa kusambaza clip aliyokuwa akimshutumu Babra, alijifunga own goal na kuondoka Simba Sc wanamichezo na mashabiki walimlaumu na wengine walisema ni tabia yake mbovu. Hajji akaanza mikakati ya kushambulia na kusawazisha goli kuanzia na ile press yake japo hata hiyo press bado alionekana...
Inafahamika kuwa Marais huwa na wasaidizi wao, kwa hapa kwetu msaidizi wa Rais ndio huwa karibu na Rais na huteuliwa kwa uyakinifu.
Nini hiki kinachotokea Kenya kuona Rais wetu anamsaidizi mwengine tena nahisi si kutoka katika taifa letu. Kiusalama ni nini hii?
Je, ulinzi wa Rais wetu upo...
Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe...
Huu ni uzi maalum kwajili ya kukumbushana baadhi ya vitu vidogo vidogo ambavyo huwa tunavipuuza lakini kuna muda vinaweza kutucost sana na kutusababishia matatizo. Inaweza ikawa iliwahi kukutokea wewe au jirani yako.
Binafsi naanza kwa kuwapa mbinu mbili:-
1. Ukiwa ugenini au sehemu yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.