ugeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

    Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza. Alikuwa ananipa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Muda Mfupi Kabla Ya Kupokea Ugeni Kutoka Kwa Rais wa Singapore

    Ndugu zangu Watanzania, Kiufupi Ni Kuwa Rais Samia Anakesha anafanya kazi , anashinda kutwa nzima anafanya kazi, anasafiri na kufanya kazi hadi akiwa angani ndani ya ndege . Rais Samia anafanya kazi akiwa ndani ya Nchi na hata nje ya Nchi. Muda na wakati wote Rais Samia yupo kazini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Njombe Mjini ni mbovu, inawekewa viraka kwa kuwa kuna ugeni wa Mei Mosi

    Kila maeneo ukipita kwenye hiyo Barabara lazima utakuta kuna maeneo ni pabovu au kuna viraka kama vyote. Serikali imekaa kimya, ajabu imeleta Mei Mosi ifanyike Njombe, hata hivi viraka vinazibwa kwa kuwa kuna ongezeko la wageni.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchangisha pesa Wafanyabiashara kila kunapokuwa na ugeni wa kitaifa (siasa) katika Mkoa

    Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia. Sasa kwanini...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tuna ugeni wa kimya kimya

    Sioni shamrashamra tulizozizoea. Kimya ila wingi wa wale kila mahali
  6. JamiiForums Tanzania Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

    Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka? Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi Mipasho ya kipwani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Suala la kufunga shule kupisha ugeni lilitakiwa kupangwa mapema

    Mimi huwa nalia na watendaji na washauri wa mamlaka za juu. Imagine ziara ya Marais kuja mkutanoni Tz ilifahamika miezi kadhaa nyuma. Halafu taarifa ya kufunga shule na vyuo Jijini Dar imetolewa Usiku huu. Kiutaratibu taarifa inatolewa na serikali then taasisi, shule na vyuo husika ndipo nao...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa ugeni huu wa siku mbili kuhusu mkutano wa nishati, serikali ingetoa mapumziko

    Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
  9. JamiiForums Tanzania RC Chalamila ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China

    RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF...
  10. JamiiForums Tanzania Ugeni wa TBC Safari Channel Maktaba

    UGENI WA TBC SAFARI CHANNEL MAKTABA Leo asubuhi Maktaba ilibahatika kupokea ugeni kutoka TBC Safari Channel watayarishaji na Warushaji wa vipindi vya historia. Walinifahamisha kuwa wapo katika kutafiti historia ya Abushiri bin Salim Al Harith ambae wao wamepita ulipokanyaga mguu wake Pangani na...
  11. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  12. JamiiForums Tanzania Ni sawa Waziri Chana kukutana na Balozi wa Urusi leo wakati tunapokea ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani?

    Ni kweli uliowazi kuwa mataifa makubwa haya matatu ya Marekani ,Urusi na China yanakimbizana na kupishana Afrika kijaribu kuongeza ushawishi wao kisiasa na kuongeza ushirikiano pamoja na kukuza biashara. Ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani ni hauko mbali na malengo hayo. Kila mtu atakuja kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Takriban miaka miwili iliyopita Dunia ilipokea ugeni hatari bila hodi . Mgeni huyu alitembelea maeneo mbalimbali kuanzia bara la Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Australia pamoja na bara letu la Afrika. Kwa nchi yetu, mgeni alibisha hodi kupitia mkoa wa Arusha na Kisha kusambaa...
  15. JamiiForums Tanzania Uzoefu na ugeni katika mapenzi ulivyosababisha kula kitumbua kwa shida au kutokula kabisa

    Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Faraja iliyoje kupokea ugeni Mzito

    Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani: Kwa hakika mtenda mema hajifichi. Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu. Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu. Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Posta Tanzania yapokea ugeni kutoka Posta Kenya, lengo ni kukuza mahusiano na ushirikiano wa kibiashara

    POSTA TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA POSTA KENYA Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amepokea ujumbe kutoka Shirika la Posta Kenya. Ujumbe wa Posta ya Kenya umeongozwa na Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Bw. Daniel Kagwe akiambatana na Maafisa waandamizi...
  18. JamiiForums Tanzania Ugeni wenye Faida

    Naitwa best , nipo Dar ni ni mgeni kwenye jamii forum na fursa nazozitoa kushirikisha vijana mawzo wenzangu kwenye jarida langu liitwalo online magazine tanzania Dhumini la jarida Hilo ni kumsikikiza mawazo tofauti tofauti ya vijana wenye vipaji hili kuhamasisha jamii juu ya malezo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo ya kufanya ukiwa ugenini

    Huu ni uzi maalum kwajili ya kukumbushana baadhi ya vitu vidogo vidogo ambavyo huwa tunavipuuza lakini kuna muda vinaweza kutucost sana na kutusababishia matatizo. Inaweza ikawa iliwahi kukutokea wewe au jirani yako. Binafsi naanza kwa kuwapa mbinu mbili:- 1. Ukiwa ugenini au sehemu yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…