uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

    Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu. The University of Nairobi has been ranked the top...
  2. Uganda: Askofu avuliwa nafasi za kuhudumia Kanisa kutokana na kashfa ya kutoka kimapenzi na mke wa mtu

    Kanisa la Kianglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji wa majukumu ya uaskofu pamoja na kuzuiwa kuwakilisha kanisa hilo kabisa kwasababu ya madai ya uzinzi. Bwana Ntagali alistaafu mwaka jana Machi baada ya kuhudumu kwa...
  3. N

    Hackers hatari duniani waidukua serikali ya Uganda

    ukitaka kujipakulia ujionee mambo ingia. hapa ni hatari sana. info.csv - AnonFiles
  4. Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
  5. Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
  6. M

    Funzo toka Uganda

    Miaka ya nyuma adui mkuu wa Museveni alikuwa Daktari Kiiza Besigye, mpiganaji mwenzie wa mstuni na mshirika wa Museveni wakati wa mapambano. Museveni alitumia kila njia kumdhibiti msomi hii ikiwa pamoja na kukamatwa sana, kufungiwa nyumbani na mengi mengineyo. Besigye alifikia mahali akaamua...
  7. Marekani yalalamika baada ya Uganda kuwanyima idhini wakaguzi wake wa uchaguzi

    Balozi wa Marekani nchini Uganda ameeleza kukatishwa tamaa na hatua ya serikali ya kukataa kuwapatia wasimamizi wao idhini ya kusimamia uchaguzi. Balozi Natalie Brown amesema kuwa zaidi ya asilimia 75 ya maombi ya idhini za ujumbe wa wakaguzi wa Marekani yalikataliwa. Ni watu 15 pekee ndio...
  8. Kwa kichapo wanachochezea wapinzani wa Uganda, ni dhahiri wapinzani wa Tanzania waliona mbali

    Siasa za haya mataifa yanayotuzunguka zinatia aibu na huruma sana, napitia pitia taarifa za Uganda na kusoma kuhusu namna wapinzani wanachezea kichapo cha mbwa, tena wanapigwa na jeshi ambalo jukumu lake ni kulinda dhidi ya uvamizi wa kutoka nje ya nchi, halafu dunia chali, hamna anayesema kitu...
  9. Facebook yafungia akaunti za viongozi wa serikali ya Uganda

    Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi mkuu nchini Uganda, mtandao wa Facebook umefungia akaunti za viongozi wa serikali kwa tuhuma za kushawishi maamuzi ya umma, mtandao wa AFP umeripoti. Mkuu wa Mawasiliano wa Facebook wa Ukanda wa Nchi za Kusini mwa Sahara, Kezia Anim-Addo amesema...
  10. K

    Tumejiandaaje kuwapokea wakimbizi kutoka Uganda?

    Kulingana na hali ilivyo huko Uganda kwa sasa ni wazi kuwa yataibuka machafuko ya kutisha Mara baada ya uchaguzi kutokana na namna rais wao wa maisha Museven kuonesha kutokuwa tayari kabisa kuachia madaraka kwa njia za amani. Sasa swali ni je tumejiandaa kuwapokea mamia kama si maelfu ya...
  11. Uganda airline is ready to compete with other airline

    The Uganda flag carrier has received her first Air bus A330 Neo manufactured by French Airbus company. The plane was official received by His excellency Yoweri Museveni the President of Uganda on December 22. The airline will compete with other regional airlines like ATCl, KQ, Rwandair and ET
  12. M

    Uchaguzi Uganda, kuna la kujifunza!

    Watanzania tumetoka katika uchaguzi siku chache zilizopita lakini jirani zetu wa Uganda wanaelekea katika uchaguzi siku chache zijazo. Mlio na nafasi jaribuni kufuatilia katika TV za Uganda hasa wale wachambuzi wa siasa kama mimi, kuna la kujifunza! Zingatieni usemi huu,"Nitajie rafiki yako...
  13. Kenya sasa ina kila sababu za kukamilisha kipande cha SGR kilichosalia maana Uganda wameamua kujenga SGR 2,700km

    Kenya ilikua imesitisha kukamilisha kipande kidogo kilichokua kimesalia cha kuunga hadi Uganda baada ya hao Waganda kutoonyesha "seriousness" kwenye hili la SGR, ila sasa wao wamesaka mkopo wenyewe na tayari wameanza mipango na mikakati ya ujenzi, kwa vile tulikua tumekamilisha asilimia kubwa...
  14. The SGR War: Wakati Kenya wakisuasua, Uganda wameamua kujenga SGR. Hii ni fursa kwa SGR ya Tanzania. Is it viable? Tuichangamkie?

    Wanadodi, Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu. Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida...
  15. Hivi kwanini hatuwawezi Uganda kwenye soka?

    Tangu niliposikia tumeingia fainali ya under 17 na Uganda nilijua tuna nafasi ya asilimia 30 tu za kushinda, na kweli tumebamizwa 3 na hii ni baada ya juzi juzi tena kupoteza fainali nyingine kwa hawa hawa Waganda. Hata ile fainali ya kufuzu Afcon ni wazi tulipewa tu na Uganda kwa ujirani mwema...
  16. Tanzania na Uganda zatajwa kushiriki majaribio ya chanjo ya HIV

    Tanzania na Uganda zimetajwa kuwa kati ya nchi nne za Afrika kushiriki kwenye majaribio ya chanjo ya virusi ya UKIMWI, ikiwa ni sehemu ya jaribio la kwanza barani Afrika kujaribu chanjo mbili mpya dhidi ya VVU. Imearifiwa kuwa tayari majaribio yameanza wiki hii nchini Uganda na Afrika Kusini...
  17. J

    Nimeamini Tanzania tuna utawala wa sheria, kule Uganda Rais Museveni amesema ataongea na Jaji Mkuu dhamana kwa waandamanaji ifutwe!

    Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria. Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali. Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
  18. T

    Uganda katika kiza kinene cha siasa

    Uganda ipo katika Giza nene la siasa. Kinachoendelea Uganda kinamtisha Rwanda japo kinacho endelea Uganda kitazuwa Jambo nchi majirani. Pray for East Africa.
  19. Uganda: Google yakataa kufunga channel ya YouTube kwa maombi ya Serikali

    Tume ya Mawasiliano ya #Uganda (UCC) iliitaka Google ifunge YouTube Channels 17 ikiwemo Ghetto TV inayomilikiwa na Bobi Wine kwa madai kuwa zilitumika kueneza machafuko yaliyotokea hivi karibuni Google wamesema huwa wanafuata sheria za nchi lakini ni lazima iwe amri ya mahakama. Maombi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…