ugali

UGALI
Ugali, also known as ugali bogobe pap, n'sima oshifima oruhere and nshima, is a type of maize or cassava flour porridge made in Africa.

It is also known as
ngima, obusuma, obuchima, kimnyet, nshima, mieliepap, phutu, sadza, kuon, gauli, gima, isitshwala, ubugali, umutsima, and other names.

Nsima is sometimes made from other flours, such as millet or sorghum flour, and is sometimes mixed with cassava flour. It is cooked in boiling water or milk until it reaches a stiff or firm dough-like consistency.

In 2017, the dish was added to the UNESCO Representative List of the Intangible Cultural Heritage of Humanity, one of a few foods in the list.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya dagaa na mlenda, Mboga gani unapendelea kula na ugali?

    Ili ugali upande na unoge unahitaji visindikizaji yaani mboga, kwa upande wangu mie napenda sana ugali na dagaa ukiwepo na mlenda naweza kula ugali kwa raha sana. Kama kuna mlenda napenda dagaa wakavu au wapikwe rosti changanya nyanya chungu na bamia yaani wee acha tu. Wakuu, wewe ugali...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugali wa machine! Kebirigo Boys Watengeneza Mashine ya Kupika Ugali

    Wakati mijadala mingi kuhusu elimu huzunguka KCSE, grades na ajira, Shule ya Sekondari ya Kebirigo Boys High School huko kaunti ya Nyamira imeonyesha upande mwingine wa elimu, yaani, kutumia maarifa kutatua tatizo la kila siku. Ripoti zinasema Wanafunzi wa Shule hiyo wameunda mashine...
  3. JamiiForums Tanzania Je ni chakula gani cha kustaajabisha umeshawahi kula? Nilikula ugali wa maembe.

  4. JamiiForums Tanzania Mgomo hatusitishi… tutalisha ugali familia? Watoa huduma za daladala mnadani Dodoma

    Watoa huduma za usafiri wa daladala katika eneo la Mnadani jijini Dodoma leo Septemba 16, 2026, wamegoma kutoa huduma, wakilalamikia umbali wa stendi iliyotengwa kwa ajili yao kutoka barabarani. Watoa huduma hao wamesema umbali huo unawalazimu abiria kutembea hadi stendi, huku wao wakiwa stendi...
  5. JamiiForums Tanzania Mimi sili ugali

    Wazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie hapa wapi
  6. JamiiForums Tanzania Huyu Peter Shalulile ni kiporo cha ugali, usajili wake ni wa mhemko tu, hamna mchezaji hapo

    Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza. Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli. Kazi yake...
  7. JamiiForums Tanzania Madhara ya kula ugali kwa wingi

    Madhara ya kula ugali kupita kiasi: Ongezeko la uzito – ugali una wanga mwingi (calories nyingi), hivyo kula kwa wingi bila mazoezi kunaweza kusababisha unene. Sukari kwenye damu – ugali una glycemic index ya juu, hivyo unaweza kuongeza sukari haraka mwilini, hatari kwa wagonjwa wa kisukari...
  8. JamiiForums Tanzania Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. Sembe haiwafahai wanawake!

    Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. SEMBE HAIWAFAI WANAWAKE.
  9. JamiiForums Tanzania Kama Kuna ofisi au taasisi inahitaji mpishi mzuri wa ugali Niko hapa

    Mimi ni mpishi mzuri Sana wa Ugali! Ugali aina zote. Dona, Sembe, Ugali wa mhogo, Ugali wa mtama. Ugali mlaini kabisa au lile Dona la kisukuma. Mtu seriously nicheki DM
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kupika vizuri wali kwa kutumia jiko la gesi

    Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika wali wa kuchambuka kwa kutumia jiko la gesi. Mara nyingi ninapopika, wali wangu unatoka mzito na kushikana kama ugali. Naomba maelezo ya hatua kwa hatua, ikiwemo uwiano sahihi wa maji na mchele, kiwango cha moto, na muda wa kupika ili nipate wali...
  11. JamiiForums Tanzania UHALISIA: Wanga ni Rafiki au Adui wa afya yako?

    Katika ulimwengu wa kisasa wa lishe, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu ulaji wa wanga. Watu wengi, hasa watoa mada za mtandaoni na watu wenye ushawishi kwa kiasi kikubwa hutoa elimu inayopinga matumizi ya aina hii ya chakula, wengine wakienda mbali zaidi kwa kuiita takataka. Hii imefanya watu...
  12. JamiiForums Tanzania UVCCM fwendeni tukamzonge Warioba anatuharibia ugali wetu

    Tutoke kwa umoja wetu kusifia Chama chetu. Maana huyu mzee anazidi kutuzonga na yaliyotokea 29 Oktoba na tume.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

    Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hali ikiendelea hivi, hata vyombo vya usalama vitachoka kumlindia ugali wake

    Haya mambo yakiendelea angalau mara tano ,sita , nawakikishieni hata vyombo vya usalama vitachoka kumlinda. Leo watu wameandaa maandamano hewa jamaa wamejaa kwenye mfumo , wamepoteza pesa kizembe na wameishia kujichosha. Hata hivyo vyombo vya usalama wanachoka kuzurula na hayo magari, siku kuu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania imeniuma kula kitoweo bila kaugali pembeni

    Halafu ni wale wa kienyeji
  18. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu umeheshimu madhehebu ya kikristu umefanyika katikati ya wiki

    Mojawapo ya manunguniko ya muda mrefu ni madhehebu ya dini ya kikristu kukosa fursa pale ambapo uchaguzi ulikuwa ukifanyika siku za Ibada hususani jumapili. Niwapongeze INEC kuchukua maoni ya viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali na kutenga siku ya katikati ya wiki.
  19. JamiiForums Tanzania Tupike ugali samaki na mchicha

    Hell Kwanza osha mchicha wako vizuri mimi nime tumia mchicha wa kungo’a kule kwetu tuna uita ivyo una kuwa na michanga mingi so uoshe vizuri kisha ukate au una weza usiukate kisha weka pembeni ujichuje maji ili ukipika mchicha usiwe na maji kabisa Baada ya hapo kataka kitunguu chakoa na...
  20. JamiiForums Tanzania Pishi la ugali na dagaa

    Wazima wa afya? Natumain mmekula na kushiba Leo nawaletea pish ya dagaa na ugal chakula pendwa Cha waafrica Hivi ni viungo vyangu dagaa ambao ni wale wasio na mchanga wa kavu nimewakaanga mwenyewe,nyanya ,kitunguu,chumvi,giligilan na beef cube nikakaanga vitunguu nikaweka giligilan zangu Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…