ugali

UGALI
Ugali, also known as ugali bogobe pap, n'sima oshifima oruhere and nshima, is a type of maize or cassava flour porridge made in Africa.

It is also known as
ngima, obusuma, obuchima, kimnyet, nshima, mieliepap, phutu, sadza, kuon, gauli, gima, isitshwala, ubugali, umutsima, and other names.

Nsima is sometimes made from other flours, such as millet or sorghum flour, and is sometimes mixed with cassava flour. It is cooked in boiling water or milk until it reaches a stiff or firm dough-like consistency.

In 2017, the dish was added to the UNESCO Representative List of the Intangible Cultural Heritage of Humanity, one of a few foods in the list.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video : Walimu wengi wa Madrasa hatupendi Ugali, Ni Dhiki tu ukiona tunakula. Si twapenda Wabwabwa

    Safi sana. Na mwalimu naye apewe. Anasema yeye ni wa ubwabwa ugali hapana. Labda ndizi hizo aweza kula ugali hapana. Tupate Habari Kamili.
  2. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Nitafurahi nikisikia bi tukinao kagoma kula ugali. ( code o5 )

    Salaam?? Code o5 , Jamani chakula cha hapa duniani ni kitamu sana. ..... Mda flan walimgomea injinia asile ugali wakampa chakula kingine. Yani japo yawezekana waliona chakula kingine ndo kitam kuliko ugali ila mimi naona injinia walimkatili kwakumzuia kula ugali... Sasa leo natamani sana by...
  3. Shobi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ugali unadumaza Ubongo?

    Mambo vipi wakuu! Bila shaka mtakubaliana nami kuwa ugali ni chakula kikuu katika jamii nyingi barani Africa ingawa Marekani ndio inaongoza kwa kulima mahindi duniani lakin rekodi zinaonyesha ni kwa matumizi ya mifugo.Africa ndipo sehemu mahindi yatumika sana na mara nyingi mfululizo kwenye...
  4. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka boarding school siku ya wali wakaleta Ugali palichimbika

    Leo nakumbuka miaka ya nyuma hadi nacheka. Boarding school hiyo flani watu tulishajiandaa jioni wali maharage. Siku za wali maamae tulikuwa na furaha kichizi. Hukuti kwenye pipa chakula kimemwagwa. Mara watu tunaingia dining ugali na maharage. Ngumi zilitembea Kwa wapishi na walimu wa zamu...
  5. Stability

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc. Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wasukuma huwa wanapenda kukata matonge ya ugali ya aina hii wakiwa wanakula?

    Mko poa? Hivi kwanini wasukuma huwa wanakata matonge ya ugali ya aina hii,yani 3 in 1? Kuna agenda yoyote ya siri?
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Tunajanga lengine kwa Vijana wanafikiria kuwa serikali itawaletea ugali mpaka mezani(upinzani unavyilaghai vijana)

    Duniani hakuna cha bure wadau kuna hao viongozi kutwa wapo majukwaani kutwa kulaumu chama tawala dhidi ya maisha duni huku wai wakiwa ni wenye kuneemeka kwenye mfumo huo mbovu wanaouongelea. Alafu kuna hawa vijana ambao wanao wanajaa upepo wa siasa za majukwaa,expection zinakuwa kubwa sababu ya...
  8. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ugali dagaa: Moja ya vyakula vyangu pendwa kabisa

    Kwangu ugali dagaa ni full burudani
  9. Stability

    JamiiForums Tanzania Nimejiasahau nimekula ugali, tumbo limekuwa chungu sanaa. Kweli njaa ni kipofu

    Nimekula matofali yamenichoma sana. Ndio maana wabongo sura zimekakamaa sanaa na miili imedumaa KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
  11. Bueno

    JamiiForums Tanzania Ugali umetukuza usidharauliwe na mtu yeyote

    Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni...
  12. Stability

    JamiiForums Tanzania Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe

    Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini kitimoto hakinogi na wali na badala yake walaji wengi hupendelea zaidi kukila na ugali au ndizi

    Karibuni wenye uelewa
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nina miaka mitano sijala UGALI

    Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali. Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa. Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym. "Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
  15. Organic Uncle

    JamiiForums Tanzania No Reforms No Election. Hii siku ya October nitakuwa zangu shamba tu nahangaikia ugali

    Juzi Alhamisi nilifika Muheza Tanga usiku. Nilipokuwa home umeme ulikatika kama mara mbili hivi huo usiku. Kesho yake ijumaa simu ikawa inakaribia kuisha chaji. Nikatoka kwenda kununua waya wa chaji mana sikuja nao nilipokuwa huko nilipotoka. Ile ijumaa Umeme ulikatika saa 5 asubuhi kama...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hapa mbeya ugali nyama choma unaupata kuanzia saa 11 alfajiri.

    Aisee Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi. Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna...
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tupike ugali na mlenda

    Habari Leo nilikuwa na hamu ya ugali na mlenda basi nikaanza kukata majani ya maboga na bamia kisha nikaweka maji kidogo na magadi pamoja na chumvi kisha nikaweka jikoni na kuchanganya majani ya maboga na bamia kama unavyoona Ugali najua mnajua kuupika
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ugali maharage uliitwaje shuleni kwenu?

    Ugali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009 Ugali uliitwa 1. Bondo 2. Cha Kikwete 3. Nguna 4. Muvero
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tupike nyama pori mzuri kwa ugali

    Hellow wapendwa poleni na kazi leo tunapika nyama pori mzuri kwa ugali Kwanza chemsha hii yangu sio ngumu kuiva ata mvuke peke yake unaivisha wakati nyama iko jikoni niliandaa viungo vyangu kama unavyo viona hapo chini vzr vitunguu maji viwe vingi sana kuna watu wanatumia kitunguu kimoja kwa...
  20. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Ati ugali ni chakula wakristo na wali ni chakula cha waislam sio!

    Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka nimegungua hilo. Mchele au wali na ngano huwa vinatumika sana maeneo yenye Waislam wengi. Kwa Afrika, Kaskazini mwa Afrika mchele na Ngano huwa vinaliwa sana eneo hilo. Eneo la Kaskazini lina Waislam wengi. Ukija kusini mwa Equator kuna Wakristo wengi, Eneo...
Back
Top Bottom