Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI.
Hawa Wasenge wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho.
No way , potelea mbali !!!.
Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
Yaani amesema ni yeye ndio ameua..
kwahiyo mtamfanya nini?
Who are you..
Na atazidi kuwaua na hamtafanya kitu..
Kifupi wale wajumbe wa tume warudi majumbani wakacheze na wajukuu tu...
Case closed..
Who are you????
Let us say Abdul ameiba mabilioni yenu na kununua gari ya Bilioni mbili kama mnavyoaminishwa.
Tuassume ni kweli Samia ameuza bandari kama mlivyoaminishwa.
Tuassume Kikwete anaendesha nchi kwa sasa kama mnavyojazwa upepo.
Hapo mlipo mnasubiri CCM iachie madaraka kwa kelele za Mange Kimambi, yaani...
Maskini ajitahidi apeleke watoto wake VETA kama alivyosema PM Majaliwa. Huko kwenye siasa hawana chao, huko kwenye ajira tamu tamu hawana chao. Wameachiwa ajira zile za milango ya fahamu nadhani mnazijua.
Papa Leo wa XIV
(Kardinali Robert Francis Prevost, O.S.A.)
Mkuu wa Dikasteri ya Maaskofu, mwenye umri wa miaka 69, mzaliwa wa Marekani).
Utumishi wake katika Kanisa.
Alipadrishwa; 19 June 1982.
Alitawazwa kuwa Askofu; 12 Desemba 2014.
Aliteuliwa kuwa Kardinali; 30 Septemba 2023
Elimu...
Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Updates....
Rais...
Habari ndugu zangu hapa jukwaani pia Eid Mubarak.
Natumai umzima wa Afya uku unakula Eid yako vizur kabisa Naam leo nawaleteya kinyamkela nataka ujue kinyamkela ni kitu cha namna gani
Kinyamkela ni nini mzimu wa kizaramo wengine wanasema.
Kinyamkera ni mzimu ambao hutumiwa kwa shuguli kama...
Wengi mnaweza kudhani ni Wenje pekee ndiye msanii sanii kwenye kile Chama jambo ambalo si kweli kabisa.
Yupo mdau mwenzake kwenye uga huo al-maarufu kwa majina Joseph Mbilinya a.k.a Sugu. Mwamba huyo maisha yake yote si ya uhalisia hata kidogo pale Chadema. Muda wote yeye ni mnafiki na mfitini...
Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula.
Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
Wakuu, kuna siku tulidiscuss kuhusu mashindano ya magari ya Formula One.
Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini
Leo tungejaribu kugusia kidogo kuhusu mashindano ya pikipiki, MotoGP.
Utangulizi
MotoGP ni mashindano ya pikipiki yanayosimamiwa na kuratibiwa na Fédération...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo nyumbani kwake.
Karibuni tujifunze
Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa.
kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika sana na makaburu ili tuweze kushindwa kuwasaidia wapiga uhuru huko.
Umoja wa afrika mashariki...
Hii clip nimeiona kutoka kwenye uzi alioanzisha mdau anaitwa GoldDhahabu wenye kichwa cha habari Hawa wanajeshi katili ni wa wapi? .
https://streamable.com/ly7v6f
Kuna maelezo mengi tofauti na sehemu kubwa si sahihi.
Tukio linaonyesha raia ambao wamefungwa mikono na kuzibwa macho wakikokotwa...
Christopher Lattore Wallace, A.K.A The Notorious B.I.G. au Biggie Smalls, alikuwa rapper na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani.
Anachukuliwa kuwa mmoja wa rappers wakubwa na wenye ushawishi zaidi wakati wote.
Alizaliwa Mei 21, 1972, alipata mafanikio makubwa katika miaka ya 1990 kwa mtindo...
Huu ni mtiririko wa maisha yetu kwa ufupi! Upo katika hatua ipi? Wakati mwingine maisha ni ubatili!
Tuishi kwa amani kwani tuna muda mfupi sana hapa duniani!
Credit: Instagram.
Tuliwahi kusema hili, kipa akiwa mfupi ni tatizo sana. Ndio maana ulaya magolikipa wafupi waliofanikiwa ni wachache sana ukimjumlisha Iker Casillas.
Huyu kipa wetu Yanga magoli mengi anayofungwa kwa asilimia 98 ni ya juu. Huu ni udhaifu wake mkubwa sana. Yanga itafute kipa mzuri maana huko ligi...
Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja yeye ndio ilinifanya niishiwe nguvu.
Watu warefu wanafaidi sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.