ufunguo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Tunahitaji Ufunguo mwingine wa Mafaniko, Elimu haifanyi kazi tena

    Zamani wakati tunasoma tulikuwa na Kauli mbiu kuwa "Education is a Key To Success" au "Education is a key to life" Ikiwa na maana ya Elimu ni ufunguo wa Maisha au ufunguo wa mafaniko. Lakini cha kushangaza tena Elimu sio tena ufunguo wa mafaniko ya maisha au kitasa cha mafanikio...
  2. TODAYS

    Je, Damu za Raia Ndiyo Ufunguo wa Kimamlaka Uongozi?

    Kama Unavielewa Vile Vyama Vya Siri na Wanaoiiendesha Dunia Karibu Tujadili kwa Undani. Niendelee kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopotezwa kwa kuuliwa kupitia askali waajiliwa wa government yetu. Nimejiuliza kimya kimya ila jibu linakosekana ila matukio mengi huko nyuma na sehemu...
  3. Yoyo Zhou

    Kongamano la Xiangshan latoa ufunguo kwa juhudi za kukabiliana na changamoto za kimataifa

    Kongamano la 12 la Xiangshan hivi karibuni umefanyika mjini Beijing, China. Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto mbalimbali, kongamano hilo si kama tu ni jukwaa la mazungumzo, bali pia ni jitihada muhimu za kutafuta njia ya kusuluhisha migogoro duniani. Dhana ya kongamano hilo lililotetea...
  4. ERTUGRUL BEY

    Walio Tuambia Shule Ni Ufunguo Wa Maisha Wametupiga

    Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha? Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa Ni hayo tu!
  5. fimboyaukwaju

    Mke au Mume ni ufunguo wa maisha

    Mke au Mume ni ufunguo wa maisha,hivyo msidanganye,vijana wa kiume na wa kike oaneni na sio lazima mfanye sherehe
  6. D

    Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

    Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu. Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk Pesa au fedha ni ujanja wa mtu tu bila kujali amezipata kihali au la: Ndo mana wenye pesa mara nyingi wanakufa haraka mana...
  7. Surya

    Elimu ya darasani sio ufunguo wa mafanikio. (Njia ya mafanikio hii hapa)

    Nitajitahidi kutumia maneno machache.. japo mada hii kueleweka vizuri inahitaji maelezo mengi sana. Nianze na haya kwanza, 1. Elimu Ukiwa na miaka kama sita hivi unaanza shule. Kujifunza kusoma, kuandika na mahesabu. Ukisoma chuo utajifunza kazi fulani kufatana na ufaulu wako (IQ) Uwezo wa...
  8. sky soldier

    Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha, ufunguo wa uhakika ni kumfundisha mtoto biashara ama kujiajiri mapema.

    Elimu sio ya kuibeza lakini ni vipi kama mzazi/mlezi una biashara ama umejiajiri kwanini umkazanie mtoto awe anasoma tu wakati wewe una formula ya uhakika ya kupiga pesa ? inasahangaza kuona mzazi anaingiza almost milioni 3 na kuendelea kila mwezi lakini anamkazania mtoto awe anasoma tu ili aje...
  9. LIKUD

    Huu hapa ufunguo wa Mfalme Suleimani...

    Kwa miaka nenda miaka rudi maelfu ya watafiti duniani wamekuwa wakiutafuta " ufunguo " halisi wa mfalme suleiman.. Kwamba mfalme alifanyaje hadi kuwa na nguvu kubwa kiasi kile.. Moja kati ya sifa alizokuwa nazo mfalme Suleimani ni kwamba alikuwa anawatawala binadamu na majini wote ( wazuri kwa...
  10. N

    SoC03 Usimamizi Bora ni Ufunguo wa Maisha

    Usimamizi ni kitendo cha kuweka watu pamoja ili kutimiza malengo na madhumuni yatakakinayo. Usimamizi unajumuisha Mipango, Maandalizi, Mahusiano, Majukumu n.k baina ya mtu mmoja au kikundi cha watu au zaidi. Usimamizi bora ni uwezo wa kuyatenda Mambo yote haya katika Hali ya ubora. Mary Parker...
  11. Mwl.RCT

    SoC03 Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa

    Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi: Elimu ni muhimu kwa maisha na maendeleo ya binadamu. Elimu inawezesha wananchi kuelewa na kushiriki katika masuala ya kitaifa na kimataifa...
  12. Poppy Hatonn

    Jinsi ya kufungua kufuli ufunguo wako ukipotea

  13. L

    Mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika ni ufunguo wa kufikia mustakabali wa pamoja

    NA BRYAN OTIENO Kuna methali moja nchini Afrika Kusini, “Mto ukiwa na kina kirefu kuna chanzo cha maji”. Mazungumzo ya kirafiki kati ya China na Afrika yana historia ndefu. Katika miaka ya 1950 na 1960, Mwenyekiti Mao Zedong, Waziri Mkuu Zhou Enlai na wanasiasa wengine wa Afrika kwa pamoja...
  14. L

    Mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika ni ufunguo wa kufikia mustakabali wa pamoja

    Mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika ni ufunguo wa kufikia mustakabali wa pamoja NA BRYAN OTIENO Kuna methali moja nchini Afrika Kusini, “Mto ukiwa na kina kirefu kuna chanzo cha maji”. Mazungumzo ya kirafiki kati ya China na Afrika yana historia ndefu. Katika miaka ya 1950 na 1960...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je tutaweza kufungua nyumba kwa kutumia ufunguo wa gari?

    Mkoloni alipofika tu kwetu alikimbilia kuzinyonga mila na tamaduni zetu maana alifahamu mila, desturi na utamaduni ndizo nguvu na nguzo za kila mtu, kila familia, kila ukoo na kila taifa. Hizo ndizo anuani za mawasiliano kati yako, familia, ukoo, kabila, taifa na Mungu wao, ndio ufunguo wa...
  16. C

    SoC02 Ule Ufunguo umekwishapotea!

    Elimu ni uwezo wa mtu kumudu mazingira yake, elimu isiyomsaidia mtu kufanya hivyo ni mufilisi, sawa na ngombe anayepeleka ulimi wake puani kisha kuurudisha tena kinywani. Shaban Robert aliandika hivyo katika kitabu chake cha kusadikika, huenda aliandika hivyo sababu aliona watu waliokuwa na...
  17. N

    SoC02 Kuwashirikisha Vijana katika Kilimo - ni ufunguo wa Baadaye kwenye Usalama wa Chakula?

    Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo. Huku vijana wengi - karibu 85% - wanaishi katika nchi zinazoendelea, ambapo kilimo kinaweza kutoa chanzo...
  18. Z

    Ufunguo wa maendeleo kwa Tanzania

    Awali ya yote nitoe pongezi kwa jf kwa kuandaa jukwaa hili mbali na kupata zawadi lakini itatoa nafasi ya watu kutoa mawazo ambayo yanaweza kutumiwa katika MAENDELEO ya nchi. Dhana ya maendeleo ni haya mabadiko chanya katika hali ya maisha ya wawatu. Nchi yetu inasua kwenye maendeleo kutokana...
  19. N

    KAMA NI KWELI HUU UFUNGUO UTAIPASUA SANA UTOPOLO MSIMU HUU

    Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key propaganda yake na jinsi walivyo handle suala lake lita wa cost sana mbeleni huko ***Sharti la...
  20. L

    Usalama, ufunguo mpya wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Mwanzoni mwa mwaka mpya, waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi alipendekeza "Mpango wa Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika" wakati wa ziara yake katika nchi tatu za Afrika, na kutangaza kumteua mjumbe maalum ili kuonesha jukumu kubwa zaidi la China katika kukuza amani katika eneo...
Back
Top Bottom