ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA si ile yenye uwezo wa kukemea Rushwa na Ufisadi

    Kwa walio ushuhudia umri wa CHADEMA tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni. Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho kuhusu rushwa, ghiriba na ufisadi wao kwa wao ndani ya Chama ni hoja endelevu hadi wakati huu isivyo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ili jamii iweze kuendelea kiuchumi, wizi ni lazima. Efficient Market Mypothesis (EMH) haipo na wala hai-exist

    Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake. Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachoamini anacho atanyanganywa (ataibiwa)
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima

    Wakuu, Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu katika eneo lote kitu ambacho kimesababisha kero kubwa kwa washiriki. Ukienda mbele zaidi haya ndio...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Siyo Tanzania tu, nchi nyingi Duniani zinashindwa kukomesha ufisadi: Takwimu haziisemi vibaya Tanzania

    Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi. Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao vya ufisadi katika sekta za umma, na kutoa alama kuanzia alama sufuri 0 ikiashiria (ufisadi mkubwa)...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu kama kuna siku Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka neno Ufisadi!

    Shalom wana Jamii Forum. Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka kinywani mwake neno UFISADI . Kama yupo mwenye ushahidi atuwekee clipu hapa walau nijue...
  6. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kuchukua fedha kutoka makampuni yaliyo chini ya wizara zao ni ufisadi!

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka ya mawaziri kuagiza makampuni na mashirika yaliyo chini ya wizara zao kutoa fedha kugharimia miradi mbalimbali bila utaratibu wa kisheria. Lakini kuna uwezekano mkubwa pia mawaziri huwa wanachukua fedha kutoka makampuni na mashirika kwa ajili yao binafsi! Huu ni...
  7. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kigogo Benki ya KCBL atuhumiwa kwa ufisadi

    BENKI ya ushirika mkoani Kilimanjaro,imeanziaha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo zinamkabili kigogo mmoja ndani ya benji hiyo . Taarifa kutoka ndani ya benki hiyo zinadai kuwa uchunguzi huo unafanywa kwa ushirikiano na Benki kuu (BoT) na Benki ya CRDB...
  8. Jagwanana

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupambana na rushwa

    Tubadili mfumo wa kupambana na rushwa. Katika jamii yetu, taasisi iliyokubwa kuliko taasisi zote ni taasisi ya rushwa. Hata mtoto mdogo wa miaka 7 au nane anaweza kikuhadithia kwamba mzazi alipata tatizo hili au lile kwa sababu hakuwa na hela ya kuhonga asaidiwe hawezi kutatuliwa tatizo hili au...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Ufisadi wa kutisha kupitia sukari ulioibuliwa na Mpina litamuangusha ubunge Spika

    Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa 2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wapinga ufisadi waunda group songozi kumuunga mkono Mpina Members laki mbili ndani ya masaa

  11. WAPEKEE_

    JamiiForums Tanzania SoC04 Magufulication: Mahakama ya ufisadi iwekwe kisheria kulinda mali za umma na uwajibikaji

    Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwa huu ufisadi wa kutisha wa sukari na kushindwa kwa BBT Bashe bado yupo wizarani?

    https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=2Q1GQkjkwy7vREo7 Nisiwachoshe..... Uliibuliwa uozo wa kutisha na Lissu kuhusu ufisadi wa sukari. Uozo huo umejengewa hoja bungeni na Mpina. Bashe amepiga pesa kubwa, Lissu anasema Bashe ameshirikiana na Abdul kuuza vibali kimagumashi. Kabla ya upigaji wa sukari...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

    Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi. Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja...
  15. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunapaswa kuwa na sheria kali dhidi ya viongozi mafisadi na wala rushwa

    Kwa huu ufisadi wa mawaziri na watendaji wengine unaoendelea nchini, ningekuwa Rais ningeukomesha ndani ya siku 100 za mwanzo katika uongozi wangu. Ningetunga sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi ambayo ufisadi unaozidi mabilion adhabu yake ni kifo. Kwamba kesi za namna hiyo sheria itaweka wazi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Waziri Bashe katoa kibali cha kuagiza Sukari kwa kampuni ya simu (ITEL), haitakuwa na tofauti na Ufisadi wa Lowassa Richmond

    Nimeona kupitia Jambo TV Mh. Mpina akidai Waziri Bashe ametoa Kibali kwa kampuni ya simu ya Itel yenye mtaji mdogo kuagiza Sukari ya Tsh. Billion 6.6. Hii inanikumbusha jinsi Hayati Ndesamburo alivyosema Stationary iliyopo pembeni ya hotel yake pale Mnazi mmoja ndio imejigeuza kuwa Richmond na...
  17. isayaj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vyama vingi ni chanzo cha ufisadi Tanzania

    Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania? Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata hivyo, suala la vyama vingi limekuwa na mjadala mkali, huku baadhi ya watu wakidai kuwa mfumo huu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tume za haki za binadamu hamkemei ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma, hivyo kaeni pia kimya wezi na mafisadi wakinyongwa🪚

    Sasa hivi kila taasisi ina madudu ya kutosha juu ya rushwa na ufisadi. Kulingana na ripoti ya CAG, tuliona namna ambavyo taasisi za serikali chini ya viongozi wake wanavyoiba pasipo woga wowote, hii inamaana wanapata baraka kutoka juu. Pesa hizi zinazoibiwa ndio zinasababisha maisha ya...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upuuzi mkubwa: Inakuwaje Rais asiyekubalika anashinda uchaguzi mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?

    Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%. Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi. Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji.. Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Je, Abdul ndio anataka kuinunua Mount Meru Hoteli baada ya Impala Hotel?

    Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount Meru, na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli iliyokuwa inamilikiwa na Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli tena. Kijana ana ukwasi wa kutisha sana ndani ya miaka mitatu tu hii.
Back
Top Bottom