Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,848
- 8,485
Kwa namna yoyote ,Ununuzi ni lazima ufuatishe Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023(R.E), ACT NO. 10 pamoja na kanuni zake Na. 518 ya mwaka 2024.
Aidha, Kwenye Sheria ya Ununuzi wa Umma, PPP ni among 9 procurement methods zinazopatikana kwenye sheria ya Ununuzi. Kwa maana hiyo, PPP ni lazima i comply na sheria ya ununuzi wa Umma, pamoja na ACT ya PPP iliyokuwa established mwaka 2010, ikaja kuwa ammended mwaka 2014 then it was revised in 2018, ndiyo hiyo CAP 103, R.E 2018.
Kwa muqadima huo, Nina was wasi na intelligence na understanding ya D. KAFULILA kwenye the whole context ya PPP.
-
Nilitegemea Kafulila aache SIASA kwenye mambo ya PPP, badala yake aje kwanza kutuambia ni kwanini PPP nyingi zinazoingiwa na SERIKALI haziwanufaishi watanzania bali vikundi vichache tena top leaders.
-
Kwa mfano , Project ya IPTL, was one of the biggest SCAM in our country , sheria ni zile zile zilikuwepo, cap hiyo hiyo 103 ilitumika, but mwisho wa siku kodi za watanzania zililiwa na wahuni wenye majina ya viongozi wachache.
Je shida ipo kwa viongozi?
Implementation Proceedures?
Transparency ? Sheria yenyewe?
What changed mpaka utuambie PPP za sasa will have best results?
Hivi vitu vinahitaji DATA, sio maneno.
Kuna kitu wanakiita expression of Interest, to me, huu ni UHUNI na ni KICHAKA cha UFISADI!!
Kwani sisi hatujui mahitaji yetu halisi?hatujui kama tunachangamoto ya bandari kuwa overloaded?hatujui kama tuna changamoto ya umeme hadi leo?hatujui kama tuna infrastructure mbovu hadi leo? Why tutumie expression of interest wakati procurement methods zipo wazi and the best one ni hiyo International Competitive Tendering.
Kwa mfano, DP WORLD kapatikanaje?
hatuoni kuwa hapa kuna HARUFU?
Kwa mfano, leo tungetangaza International Competitive Bidding kupata investors kwenye bandari yetu, vipi kama tungepata Bidders mwenye terms nzuri zaidi ya DP WORLD?how did we know that DP world had better terms than others?
Yaani Kikundi cha watu kimeenda dubai kimekaa kwenye expensive Hotels and Restaurants huku wakila tende, halua na kahawa and they made decision based on their personal interests, sio interest za nchi.
They came back with pre contracts to be finalized…. That was absurd gesture plus bunge dhaifu na hii ndio sababu why PPP never works in Tanzania.
PPP ni kikundi cha watu kwa jina laexpression of interest. PPP ni ndoa za kikatolic gvt inaingia for no good reasons ! IPTL ilipambwa just as DP world inapambwa sasa hivi. And Just as IPTL failed ndivyo itakavyo fail DP world. Tunataka PPP na uwekezajji, but DP world sio ridhaa ya watanzania, we all know that.
-
The Tree of good and evil, the Adani Assimilation Policy, Policy za kutuchoma kwenye kichaka cha expression of interest, nyuma ya kafulila kuna big dogs ambao wamesha play their cards over Adani Group kama ilivyo kwa DP world.; expensive restaurants and Hotels…Tende na Halua kama kawaida ……..now it is for TANESCO , the tree at the center of the garden …. The Adani Assimilation Policy….. the next SCAM is being cooked with multibillions interest for the FEW, the elites ( thieves)
Kwa staili hizi PPP will neve benefits Tanzanians for as long as ni kikundi cha wahuni kina make decision kwenye expensive hotels and restaurants over PPP na utapeli wa Expression of Interest ………..
JPM alipoingia madarakani , kuna miradi mingi sana ilisimama,sio kuwa JPM hakupenda ile miradi….la hasha ile miradi ilikuwaa na terms mbaya sana na UFISADI wa hali ya juu ambayo ililenga kunufaisha the elites or the thieves over the names of leaders . With that, JPM had to fight his own people.
I just want to advise and warn Kafulila, just be careful…..the dogs wanakuja na kuondoka….and Fish are always responsible.
All in all , Bado najiuliza, kuna jamii fulani ikiongoza nchi, huwa UFISADI na Upigaji unatamalaki sana….bado nafanya hii research !
Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada