Watu wengi tumekuwa tukipuuza ishara mbaya katika mahusiano yetu, lakini tambua kwamba mwenzi unaemshahili atakuwa vile unahitaji.
Wanawake wengine siku hizi wamekuwa wakisema wanateswa na kuendeshwa na mwanaume, kwasababu hawajui wajibu wao kwa mwanaume huyo, pale unapomuomba mpenz wako kuwa...