ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bajeti Kuu, mmesikia tu deni la Taifa na ufafanuzi wa bajeti ya Tr 56?

    Habari za mchana. Leo nimepata nafasi ya kusikiliza hotuba ya bajeti toka kwa Waziri. Pamoja na deni la Taifa kuendelea kukua, hii itupe ishara kwamba tunaenda uelekeo usio sahihi. Sijui ni kwa nini wananchi huku chini wanasononeka ila wakubwa huko juu wako kimya. Kubwa ninalotaka kulisemea...
  2. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  3. R

    JamiiForums Tanzania TCRA tunaomba ufafanuzi kuhusu kutopatikana kwa tweeter (X) Tanzania

    Tunakwenda wiki ya pili bilaa Tweeter (X). Hakuna taarifa kutoka TCRA nini kimetokea Tweeter kutopatikana. watu wanasema (speculate) kuwa Serikali imeifunga , KWAHIYO TUSEME TWEETER (x) NDIYO BASI TENA IMEFUNGWA INDEFINITELY? TCRA tunaomba ufafanuzi
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusiana na kufungiwa kwa mtandao wa X na mingineyo kwa madai ya account za Serikali kudukuliwa

    Kwanza nitoe pole kwa mamlaka za Serikali kwa changamoto hii kubwa ya kudukuliwa kwa account za Serikali Tatizo hili limesababishwa na baadhi ya viongozi wa Serikali wasio na uadilifu walioamua kuwapa wahalifu nywila za kuingia kwenye kurasa za Serikali Taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusiana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi kuhusu posho za nje ya kituo cha kazi

    Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo. Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala yote ndani ya nchi(mikoa yote) ambaye ofisi Yake ipo Dar Kwa mfano, anaweza kulipwa posho akiwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwenye hili

    Kuna hili suala la currency exchange hua linanichanganya Mfano, uki google Currency exchange online such as 1 MK (Malawi kwacha) to Tsh 1.7 hivi Nimejaribu kutuma Tsh 1000 kwenda Airtel Malawi nikaambiwa ntapata Mk 679 hivi Ila sasa ukiwa Border au ukimtumia pesa wakala alie mpakani kati ya TZ...
  7. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kuomba ufafanuzi kuhusu hii habari iliyopostiwa East Africa tv

    #HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu. Sangu ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Aprili 10, 2025 Mkoani...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya umiliki wa hii ardhi

    Habari wanajf! Jamaa alikuwa anamiliki kiwanja. 2022 Akaenda ofisi za Ardhi kwa lengo la kupima kiwanja chake, baada ya vipimo akaanza mchakato wa kuomba hadi, kabla hajafanya malipo kwa ajili ya hati akapata dharura na kusafiri ambapo alirudi mwaka huu, amekuta kile kiwanja chake tayari kuna...
  9. abdurkadir78

    JamiiForums Tanzania Elimika na Epuka madhara yasio ya lazima ya dawa hapa nitatoa ufafanuzi juu ya hili hasa matumizi yasiyo sahihi kwa Antibiotics

    Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo: 1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania R 4 za Samia na ufafanuzi wake mfupi

    Kila siku tunaambwa R nne za rais. Kwanza, sijui kama anazijua vilivyo hata wale waliomzunguka. Pili, sioni zikifanyiwa kazi. Tatu, sioni zikitafsiriwa kupitia elimu ya urais kwa umma. Nne, ni kamba za kawaida za kisiasa aka usanii. Nazo, waweza kuziona hivi japo hawasemi. Reform kwao ni...
  11. Kijukuu cha ngoyayi

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa wakili kwenye hili la chadema

    Credit kwa yerrico G55 😄
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Huduma za manunuzi ya umeme (Luku) zarejea kwa ukamilifu

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa changamoto iliyojitokeza leo asubuhi katika njia za manunuzi ya umeme (LUKU) imefanyiwa kazi. Kwa sasa wateja wetu wanaweza kufanya manunuzi ya umeme kupitia njia zote za mawakala, mitandao ya simu na njia za kibenki. Shirika...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kwa mliofunga centrifugal pumps kwenye matenki yenu mnisaidie ufafanuzi wa hii kitu

    Kwenye hizo picha nimeambatanisha utaona baada ya kuconnect hiyo pump jamaa anamimina maji kwa juu kwenye bomba lililosimama. Naomba kujua umuhimu wa kufanya hivyo. Na pia kuna haja gani ya kuwa na hiyo pipe inayoishia halfway. Kwani pakiwa na connection ya inlet pipe na outlet pipe pekee hazitoshi?
  14. J

    JamiiForums Tanzania "TAA yakanusha upotoshaji wa John Heche kuhusu uwaja wa ndege wa KIA kukabidhiwa kwa watu wa Oman

    Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetoa taarifa ya kuelezea kuhusu upotoshaji uliofanywa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kuhusu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kukabidhiwa kwa watu wa Oman. Kauli hiyo ya upotoshaji aliitoa hivi karibuni jijini Mbeya, TAA...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwako Dr Jabiri Bakari: TCRA yatoa ufafanuzi kuhusu gharama za vifurushi vya simu...... internet na muda wa maongezi

    Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo hayo kama ulivyosema wewe. HILO NALIACHIA HAPO. LA PILI: Tumelalamikia kuhusu mtu kuweka bando/airtime...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Manispaa Moshi watoa ufafanuzi wa madai ya jengo la soko kugharimu bilioni 2, wasema ni bilioni 1.5 awamu ya 2 inaendelea!

    Wakuu, Mdau humu alihoji bilioni mbili zimetumikaje kwenye soko ambalo limejaa bati tu na vijumba vi fremu vya mchongo? Jamaa wamekuja na ufafanuzi, kuwa bilioni 1.5 ndio zimetumika kwenye ujenzi wa soko hilo na milioni 500 ndio zinamalizia awamu ya 2. Hii inamaanisha watakuwa washatumia kama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi bodi ya ligi na TFF wanajielewa kweli? Mbona kama wanavyotoa ufafanuzi ndio wanakosea zaidi,au hawajisikilizi wanachosema!

    Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha. Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi? Simba walitangaza usiku wa kuamkia siku ya mechi kuwa wao rasmi hawatocheza mechi.na kulivyokucha asubuhi ya siku ya mechi bodi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kumuhusu kupotea kwa Gipson

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa katika Mitaandao na picha mjongeo ikimwonesha mwananchi mmoja aitwae Mercy Daniel Mkazi wa Arusha ambaye ameeleza kupotea kwa mmewake aitwae David Gipson Mkazi wa Arusha huku likiweka Wazi kuwa Mtu...
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Faida na Hasara ambazo ni nyingi za Kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi Tangu Mwaka 1977 hadi sasa

    Utangulizi Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi wa faida na hasara za operesheni vijiji 1974

    Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa.. Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari. Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
Back
Top Bottom