Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute – SI).
Ufadhili huu unatolewa katika zaidi ya programu 400 za masomo katika nyanja za utawala...
FURSA MBALIMBALI ZA UFADHILI WA MASOMO NA TAFITI ZILIZOPO NCHINI JAPAN
(SCHOLARSHIPS FOR INTERNATIONAL STUDENTS IN JAPAN)
Ubalozi unapenda kutoa taarifa kuhusu uwepo wa fursa mbalimbali za ufadhili wa masomo na tafiti nchini Japan, zinazotolewa na Serikali ya Japan na wadau wengine wa...
SCHOLARSHIP ZA SAUDI ARABIA 2025/2026
Serikali ya Saudi Arabia imetoa nafasi 127 za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotamani kusoma nje ya nchi, hususani katika fani zinazohusiana na Data Science, Artificial Intelligence na...
Serikali imetangaza kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mpango wa ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship, ambapo jumla ya wanafunzi 1,051 wanatarajiwa kupata ufadhili kwa mwaka huu wa masomo.
Akizungumza Julai 22, 2025, Jijini Dodoma na waandishi wa habari , Waziri wa...
HAKIKISHA una PASSPORT
Kama huna sema uelekezwe kwa kuipata
Niaje wakuu
Lengo la group letu ni kupeana taarifa na mbinu pia scholarship na fursa zote zitazakazotupeleka NJE YA AFRICA.
GROUP hili linahusu kutafuta SCHOLARSHIPS ikiwa lengo sio kwenda kusoma but lengo ni kukwea pipa
Ila kwa...
Habari wakuu
Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikimtaja mdogo wangu aliemaliza kidato cha nne na kufaulu vizuri, ikisema hivi.
"HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE!
FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA...
Habari wakuu
Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikisema hivi.
"HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE!
FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA 0623.... / 0714....."
Je Hawa ni wa kweli?
Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), katika mwendelezo wa ziara yake nchini Hungary, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. György Hölvényi, Mbunge wa Bunge la...
Licha ya kutangazwa kwa ufadhili wa masomo ngazi ya Master's Degree kupitia Samia Suluhu Scholarship na wanufaika kuorodheshwa kwenye Website ya bodi ya mikopo inayofahamika kama HESLB.
Lakini takribani wiki kadhaa sasa licha ya masomo kuanza ufadhili huo unaonekana wakusuasua ambao haujatoa...
Habari wana Jamiiforum,
Mimi ni mwanafunzi wa diploma in diagnostic radiography mwaka wa tatu.
Naomba msaada kwa taasisi au mtu binafsi mwenye uwezo wa kunilipia ada ili niweze kumalizia mwaka wangu wa mwisho wa masomo au kama kuna hospital yoyote inaweza kunisaidia tuingie nao mkataba...
Habari wakuu!!
Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma.
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao changa michango yao.
Me ni kijana mwenye umri wa miaka 19,niliitimu kidato cha nne mwaka jana...
Walimu kutoka baadhi ya maeneo nchini Uganda wameiomba serikali kufadhili elimu kwa walimu wote wa Daraja la III ili kuwawezesha kupata shahada za chuo kikuu. Wanasema kuwa mishahara yao ya sasa, ambayo ni midogo, haitoshi kugharamia masomo ya juu zaidi.
Sera ya Kitaifa ya Walimu ya mwaka 2019...
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?
Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?
Kwa anayejua anisaidie.
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?
Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?
Kwa anayejua anisaidie.
Mimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level.
Ninatamani kujiendeleza kimasomo ila sina uwezo natamani nikaanze certficate in in bussiness managment.
Naomba anayejua wanaotoa ufadhili wa masomo tafadhali aniunganishe au...
Salamu Mabibi na Mabwana;
Dibaji.
Sekta ya michezo ni moja ya Sekta zenye uwezo wa kujiendesha zenyewe kwa asilimia kubwa,kupitia namna ambavyo zinaingiza mapato makubwa na inazalisha fursa nyingi za biashara dunuani kote.
Tunapozungumzia michezo yenye msisimko na ushabiki mkubwa zaidi...
Mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzisha ufadhili kwa wanafunzi wanaohitimu Kidato cha Sita wenye ufaulu wa juu katika tahasusi za sayansi (PCB, PCM, PGM, CBG, CBA, PMC na CBN) waliopata udahili...
Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala.
Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING
Samahani naombeni kupata msaada kwa anaefahamu sehemu yoyote au mtu yoyote anaehusika na ufadhili wa masomo ikiwemo Ada maana ninahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.