uelewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UWAKITA wazindua Kampeni za Kuhamasisha Uelewa Maradhi ya Kifafa nchini

    JUMUIYA ya Wazazi na Watu wanaoishi na hali ya kifafa (UWAKITA),imezindua rasmi kampeni za kuhamasisha uelewa juu ya maradhi ya kifafa, yenye kauli mbiu: "Elimika juu ya kifafa,tokomeza unyanyapaa, pata tiba sahihi." Tukio hilo limefanyika mapema 9 Mei ,2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...
  2. C

    Naomba kueleweshwa kuhusu Foundation Course

    Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
  3. S

    Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

    Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza. Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
  4. J

    Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 ikielezwa kuwa ni ya Kikatili na inayoumiza badala ya kufundisha Ili kufahamu zaidi, Shirika la Save the Children na WILDAF...
  5. Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
  6. Siku Ya Uelewa wa Usonji Duniani. Je, unawezaje Kumtambua Mtoto mwenye Usonji?

    Usonji ni changamoto ya Ukuaji ambayo hutokea pale ambapo Ubongo hufanya kazi kwa namna tofauti. Mtoto hupata changamoto hii anapokuwa tumboni na dalili huonekana kuanzia Umri wa Miaka Mitatu na kuendelea Watu wenye Usonji hupata changamoto hasa za Kuwasiliana Kijamii. Kasi ya kukua kiakili...
  7. Uelewa wa maswala ya kisheria ni mdogo sana Tanzania

    Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa maswala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii aimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa kawaida kuhusu sheria (legal...
  8. Ni kweli mtu akichezea kichapo cha kutosha ukimpa maji anaweza kufariki?

    Habari ndugu zangu, Naomba kuuliza,hivi ni kweli mtu akichezea kichapo cha kutosha ukimpa maji anaweza kufariki? Na je, kama ni kweli ni kitu gan upelekea hali hiyo.
  9. Uelewa wa masuala ya Afya ya Uzazi watajwa kuwa sababu ya Wanawake kukumbana na changamoto

    Mkurugenzi wa Huduma za Afya kutoka Taasisi ya Marie Stopes Tanzania, Dr. Geofrey Sigalla amesema Wanawake wamekuwa waathirika wa uamuzi wanaofanyiwa kwenye suala la huduma za Afya ya Uzazi. Ameyasema hayo leo Machi 8, 2024 katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo Taasisi ya...
  10. Kwanini Wanaolalamikia dini kama chanzo cha umasikini Bongo ni watu wenye uelewa mdogo

    Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa. Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga. Kwa nini watu hawa...
  11. Wananchi wenye uelewa mdogo hawataacha kumsifia Magufuli aliyeua uchumi wao

    Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu. Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni...
  12. Ukiwa na Uelewa na Ufahamu mpana na wa kutosha wa masuala mbalimbali, ukinyimwa, kukataliwa au kusubirishwa ulichoomba hutojiskia vibaya

    Mathalani umeomba kazi ya kukuongezea kipato, umeomba mkopo benki au kausha damu, umeomba kura kwenye uchaguzi, umeomba ruhusa kazini au shuleni, umeomba urafiki wa kike au wa kiume, umeomba uchumba au ndoa nakadhalika. Uelewa na Ufahamu wako ukijitosheleza basi utajikuta unajiandaa vizuri sana...
  13. Kwa wenye uelewa wa sheria za ndoa

    Jamaa amezinguana na mkewe. Mkewe kakimbilia kufungasha mizigo na vyombo vya ndani. Ameacha amefanya uharibifu kwa kuvunja simu ya msela kwa maksudi. Simu hiyo alinunuliwa na mme wake sasa eakati anaondoka mme alimtaka aiche (lengo mme akague kuona kama kuna ajenda iliyojificha yq yeye...
  14. Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  15. Jr. Farhan wa Clouds Tv huna uelewa wowote katika mahusiano ya mapenzi; huwezi kumhudumia Mwanamke uliyezaa naye baada ya kuachana naye ukabaki salama

    JR. FARHAN WA CLOUDS TV HUNA UELEWA WOWOTE KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI; HUWEZI KUMHUDUMIA MWANAMKE ULIYEZAA NAYE BAADA YA KUACHANA NAYE UKABAKI SALAMA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui ulikuwa unatafuta sifa au kiki au vipi. Kama ni Kiki basi upo sahihi na hongera. Lakini kama ni kweli...
  16. Bi Chaudele anaonewa tu. Hana alijualo na uelewa wake

    Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake. yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe...
  17. Tanesco mlichelewa wapi kuwa na msemaji mwenye uelewa wa mnachokifanya?

    Salamu, Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
  18. Kuna uwezekano uka-block baadhi ya watu katika Group la WhatsApp ili usione msg zao?

    Hivi kuna uwezekano ukiwa katika Group la WhatsApp uka-block baadhi ya watu ili usione msg zao? Kwenye magroup kuna baadhi ya member msg zao zinakera.
  19. Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
  20. Je,Watu wanaowadharau wanywaji wa pombe za asili,ni uelewa Mdogo,Ulimbukeni au kufuata Mkumbo?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ni kwanini vinywaji au pombe za kienyeji ambazo madhara yake ni madogo hazina wanywaji wengi ukilinganisha na pombe za kisasa? Tena ukionekana unakunywa pombe za kienyeji unaonekana wewe ni mlala hoi,hoe hae na utadharaurika miongoni mwa watu kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…