uefa

The Union of European Football Associations (UEFA; yoo-AY-fə; French: Union des associations européennes de football; German: Union der europäischen Fußballverbände) is the administrative body for football, futsal and beach soccer in Europe. It is one of six continental confederations of world football's governing body FIFA. UEFA consists of 55 national association members.
UEFA represents the national football associations of Europe, runs nation and club competitions including the UEFA European Championship, UEFA Nations League, UEFA Champions League, UEFA Europa League, planned UEFA Europa Conference League, and UEFA Super Cup, and controls the prize money, regulations, and media rights to those competitions.
Henri Delaunay was the first general secretary and Ebbe Schwartz the first president. The current president is Aleksander Čeferin, a former Football Association of Slovenia president, who was elected as UEFA's seventh president at the 12th Extraordinary UEFA Congress in Athens in September 2016, and automatically became a vice-president of the world body FIFA.

View More On Wikipedia.org
  1. Seville Vs AS Roma | Uefa Europa League Final | Puskas Arena | 31.05.2023

    Muda mchache ujao pale katika dimba la Puskas Arena jijini Budapest nchini Hungary kutapigwa mchezo wa fainali ya Europa League. Ni Sevilla Vs AS Roma Ikumbukwe Sevilla hajawahi kufungwa pindi akiingia kwenye fainali ya Europa League wakati Mourinho naye hajawahi kufungwa mchezo wa Fainali...
  2. Hawa Ac Milan wamefikaje nusu fainali ya UEFA?

    Yaani dakika ya 11 kashapigwa mbili za chap. Iko wapi heshima ya nusu fainali jamani? Hawa jamaa wamepenya vipi mpaka wakafika nusu? Nawachukulia kama marumo gallants ya ulaya
  3. Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

    Sorry nauliza mechi za UEFA kwenye king’amuzi cha Azam TV huwa wanaonesha Chanel namba ngapi?
  4. Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

    Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu. Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1 Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya...
  5. Uwezekano wa Barcelona kufungiwa kushiriki Kombe la Mabigwa Ulaya (UEFA)

    Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania. Nyaraka za mahakama zinaonesha kuwa, Barcelona imelipa kiasi cha €7.3m ambayo ni sawa na paundi 6.5m...
  6. Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

    Real Madrid Vs Chelsea Inter Vs Benfica Man City Vs Bayern Munich Ac Milan Vs Napoli Nusu Fainali - Mshindi kati ya Ac Milan Vs Napoli atakutana na mshindi kati ya Inter Vs Benfica - Mshindi kati ya Real Madrid Vs Chelsea atakutana na mshindi kati ya Man City Vs Bayern Munich. Mechi za...
  7. UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

    Siku ya kesho kunatarajiwa kuchezeshwa draw ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Europa pamoja na conference league. Hivyo sio mbaya wadau wa soka tukajadiliana na kutoa mitizamo mbalimbali kuhusu nani atakutana na nani katika hatua ya robo Fainali ya ligi ya mabingwa ulaya. TIMU...
  8. J

    Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

    Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League. Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania. Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi...
  9. UEFA Champions League draw hatua ya 16 bora 2022

    Paris Saint-Germain vs Bayern Munich Inter Milan vs FC Porto Borussia Dortmund vs Chelsea Eintracht Frankfurt vs Napoli! AC Milan vs Tottenham Liverpool vs Real Madrid Club Brugge vs Benfica RB Leipzig vs Manchester City
  10. Leo rasmi UEFA champions league inaanza rasmi mapema sana tujuane taja bingwa na semi finalists

    Watakaoingia semi finals ni man City, Barcelona, PSG, na Real Madrid. Bingwa wangu atakuwa PSG YA KYLIAN MBAPPE. Nawasilisha
  11. FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France

    Habari zenu mabibi na mabwana! Leo ni sikukuu kubwa barani Ulaya na Duniani kwa ujumla. Ni mchezo wa Fainali ya Uefa Champions League kati ya Liverpool Vs Real Madrid. Awali fainali hii ilipangwa ifanyike jijini Saint Petersburg, nchini Urusi. Ila kutokana na Urusi kuivamia Ukraine Uefa...
  12. Yanayojiri kuelekea Fainali ya UEFA Champions League | Real Madrid vs Liverpool

    usiku wa ulaya huko Paris #liverpool #realmadrid
  13. UEFA CHAMPIONS LEAGUE: Real Madrid yaingia fainali Uefa, Man City yapigika 3-1

    Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5. Hadi dakika ya 90 Madrid ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 katika nusu fainali ya pili, dakika ya 90 na 91 ilipata...
  14. UEFA: Real Madrid, Villarreal zaingia nusu fainali, Chelsea, Bayern hoi

    Timu za Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili 13, 2022 Chelsea ambayo ilifungwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza, ilipambana na kufikisha mabao...
  15. Droo ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2021/22 kuchezeshwa MARCH 18, 2022 Switzerland

    Droo ya robo fainali, nusu fainali na fainali ya msimu wa 2021/22 UEFA Champions League zote zitachezeshwa katika tukio moja. Timu nane zilizobakia zitajua hatma yao kwa mashindano hayo makubwa kwa ngazi ya klabu barani ulaya huko Jijini Nyon, Uswizi (Switzerland) ''It is at this stage that...
  16. Ni sawa kwa FIFA na UEFA kujiingiza kwenye mzozo wa Russia na Ukraine?

    FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban Uingereza, Ufaransa, Marekani nk walipokuwa wakivamia nchi ya Libya na zile za mashariki ya kati?
  17. FIFA, UEFA washirikiana kuifungia Urusi michuano yote, klabu na timu za taifa

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) kwa pamoja wametangaza kuzifungia timu zote za Urusi katika michuano ya kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za taifa hadi hapo itakapotolewa taarifa nyingine. Mamlaka hizo za soka zote zimetoa tamko la pamoja...
  18. FIFA na UEFA zafungia timu zote za mpira wa miguu za Urusi

    Habari, FIFA na UEFA zimevifungia vilabu vyote vya mpira wa miguu vya Urusi kushiriki katika michezo. Zimevifungia kuanzia ngazi ya vilabu hadi kimataifa na kuzuia kushiriki kombe la dunia 2022 na mashindano ya wanawake Euro 2022. Kufungiwa huko ni muendelezo wa hatua zinazochukuliwa na...
  19. UEFA yahamisha fainali ya Champions League kutoka Urusi kwenda Ufaransa

    Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League final) iliyokuwa imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Krestovsky jijini Saint Petersburg Nchini Urusi imehamishwa na sasa itachezwa jijini Paris, Ufaransa. Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limechukua maamuzi hayo kutokana na mapigano...
  20. UEFA Champions League: Man City yaifanyia kitu kibaya Sporting, daaa! Wamechezea mkono 5-0

    Licha ya kuwa uwanja wa ugenini, Manchester City wameichapa Sporting Lisbon mabao 5-0 na hivyo kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele hatua inayofuata ya UEFA Champions League.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…