UEFA wanakera

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,722
29,086
Mzuka wanajamvi.

Though patience is a skill we have to learn it ila UEFA wanakera.

Ingekuwa zamani sasa hivi leo ijumaa tungeshajua draw za the last 16 UEFA champions league.

Sasa inabidi tusubiri hadi jumatatu tujuwe draw yenyewe.

Hatuwezi kusubiri na kuvumilia zaidi ya siku mbili zote jumatatu ni mbali.

UEFA wajitafakari. Tukiamua kususa sasa hivi kwa kukosa uvumilivu watakosa mapato na ligi kushuka umaarufu.

JF football fanatic
 
UEFA ,bila mashetani wekundu ni sawa na demu mzuri ila ni flat screen.
 
Mzuka wanajamvi.

Though patience is a skill we have to learn it ila UEFA wanakera.

Ingekuwa zamani sasa hivi leo ijumaa tungeshajua draw za the last 16 UEFA champions league.

Sasa inabidi tusubiri hadi jumatatu tujuwe draw yenyewe.

Hatuwezi kusubiri na kuvumilia zaidi ya siku mbili zote jumatatu ni mbali.

UEFA wajitafakari. Tukiamua kususa sasa hivi kwa kukosa uvumilivu watakosa mapato na ligi kushuka umaarufu.

JF football fanatic
Ungewaandikia kingereza labda wangekusikiliza. Sasa umeandika kimatumbi!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom