udukuzi

  1. Isaka James

    Muda wa Kufungua Macho: Tukio la Udukuzi la TSh 229.94 Milioni Kenya na Masomo kwa Tanzania

    Habari wadau wa Jamiiforums! Mimi ni mtaalamu wa usalama wa mtandao (cybersecurity) kutoka Tanzania, na leo nataka tuzungumze kuhusu tukio la hivi majuzi la udukuzi nchini Kenya ambalo linapaswa kutufungua macho sisi Wanzania. Hebu fikiria, Kijana mwenye vipaji vya hali ya juu anayetumia ujuzi...
  2. Roving Journalist

    Dkt. Mwasaga: Udukuzi sio tu wa mifumo, kuna udukuzi wa Akili za Binadamu

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga amezungumzia kuhusu matumizi ya Artificial Intelligence (Akili Unde), msikilize akifafanua jinsi gani suala hilo linavyoweza kuwa hatari kwa Jamii... Korea ya kusini kupitia taasisi ya usalama mtandani ya korea- KISA,inatarajiwa kuendesha...
  3. Replica

    Nadharia (Technical): Kilichotokea mpaka akauti nyingi zikadukuliwa

    Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube. 1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
  4. Fbn

    Kuna kipindi kupitia redio ya Kenya radio47 kikijadili udukuzi wa Tanzania account za serikali

    Kama utapata mda kuna kipindi kina channel yake kikiitwa radio47 kuna mkenya mmoja kaeleza kama kafunguka kwa hasira. Anavyo dai tanpol kwenye account zake kwenye nywira (password) wametumia jina la diamond,zuchu au mama samia 1234 ndio zinatumika. Mpaka anaeleza haya inawezekana hata account...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Serikali yasema kuna watu wanafungua kurasa za mitandao ya kijamii zenye ya majina ya kuaminika na kufanya upotoshaji, yatoa onyo

    Wakuu, Serikali kila siku wanazidi kututhibitishia kuna mizigo 90% kwenye hivyo vitengo huko! Kwahiyo kwa madai yao ni watu wamefungua page zinazofanana na wao lakini sio kwamba page zao zimedukuliwa? Basi wadukuaji wafanye kweli na hizo page sizirudi tuone watasemaje sasa hivi🌚. Kwahivyo...
  6. stevennelson

    Msaada jinsi ya kurudisha akaunti ya Facebook iliyodukuliwa

    Kuna jamaa akaunti yake ya Facebook imedukuliwa na mdukuzi amebadilisha mifumo mmiliki wa akaunti akiingia inakataa inamdai password.
  7. Suley2019

    Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani

    Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024 na kueleza kuhusu Tigo kuhusika na tukio lake la kushambuliwa Simulizi ya Tukio la kushambuliwa kwake "Ilichukua takribani wiki moja kama siku tisa (tangu Polisi...
  8. tustary software develope

    Namna ya kupambana na udukuzi wa accounts za Mitandao ya Kijamii

    Kupambana na wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kunahitaji tahadhari na mbinu za kiusalama. Hapa kuna njia za kuimarisha usalama wa akaunti zako: 1. Tumia nywila imara: Hakikisha nywila yako ni ndefu, ngumu na inachanganya herufi kubwa, ndogo, namba, na alama maalum. Epuka kutumia maneno...
  9. G

    wadau wa IT wa jamiiforums, Israel ipo kwenye level zipi kwenye masuala ya teknolojia za udukuzi na mambo ya cyber ?

    Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location. Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua...
  10. John Sule

    Marekani yatangaza zawadi ya bilioni 27 atakaefanikisha kumpata mdukuzi

    MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola milioni 10 (TZS bilioni 27) itatolewa kwa atakayetoa taarifa.
  11. Ghost MVP

    Udukuzi Kwa Njia ya Matangazo ya Zawadi

    Uwapo kwenye Tovuti (website) Usifungue matangazo ya Zawadi wala kujaza taarifa zako kwenye Tovuti usiyoiamini watu wengi wamekuwa wakirubuniwa na Matangazo ya Zzawadi yanayo onekana kwenye Tovuti. Wanapoyagusa yanawahitaji kujaza taarifa zao Binafsi kama Email, passowrd, Majina kamili...
  12. M

    SoC04 Soma kwa umakini. Elimu ndogo ya ulinzi dhidi ya udukuzi mtandaoni

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana utapeli, wizi na machapisho ya aibu (explicit pornography) kwenye mitandao ya kijamii hususan facebook. Tumeona account za watu aidha zikitumia kurusha maudhui haya kwenye magroup mbalimbali au hata kupitia account zao wenyewe na kuwa-tag wengine. Mara zote account...
  13. Kaka yake shetani

    Flipper Zero, kifaa cha kidigitali kinachoweza kutumika vibaya kwenye udukuzi wa funguo za magari na password za simu

    Sio kila kilichopo kimetengenezwa au kuundwa kina dhamila mbaya inaweza kuwa nzuri kwa wengine na wengine wakatumia vibaya. Teknolojia inazidi kukuwa na kuwa msaada kwa matumizi lakini ugeuka kuwa mbaya kwa wanaotumia kwa njia ya uwovu kwenye mambo mengine. Wakati napitapita kwenye mitandao...
  14. Analogia Malenga

    Microsoft: TikTok kwa vifaa vya Android ina udhaifu ambao unasababisha udukuzi kuwa rahisi

    Katika zama za mawasiliano ya kidijitali, majukwaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Tunashiriki matukio yetu, kutambulisha hisia zetu, na kuungana na ulimwengu. Lazima pia tukubaliane na hatari zilizopo. Hivi karibuni, Microsoft iligundua uwezekano kwenye programu...
  15. E

    SoC03 Kupambana na udukuzi kwenye tovuti za taasisi za umma watumishi wazembe wawajibishwe

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kilio juu ya kuwepo kwa udhaifu mkubwa wa kiusalama kwenye tovuti nyingi na mifumo mingine ya TEHAMA ya taasisi za umma. Ni mara nyingi tu yametokea matukio ya mashambulio ya kimtandao na udukuzi kwenye tovuti hizi ambayo yamekuwa yakiliingizia taifa hasara...
  16. Pascal Ndege

    Tetesi: Udukuzi: Kama simu inakuwa ya moto ukiwasha data ni dalili za wadukuzi kudukua camera na audio za simu yako.

    Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi. 1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama) 2.Udukuzi wa...
  17. The Sheriff

    Serikali na Matumizi ya Programu za Udukuzi na Upelelezi: Ongezeko la Tishio kwa Ulinzi wa Faragha na Haki za Binadamu

    Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
  18. Nyankurungu2020

    Hakuna Mtanzania mwenye timamu anaweza kumsikiliza Nape. Ni mnafiki na hana credibility kujifanya ana huruma na upinzani

    Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha. Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya. Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii...
  19. BARD AI

    Pegasus Spyware: Ni nini na Inafanyaje kazi?

    Serikali duniani kote zinakabiliwa na madai ya kutisha kwamba zilitumia programu hasidi iliyotengenezwa na Israel kwaajili ya kupeleleza simu za wanaharakati, waandishi wa habari, wasimamizi wa mashirika na wanasiasa. Lakini je, spyware ya Pegasus inafanya kazi vipi hasa? Je, inaingiaje kwenye...
  20. Miss Zomboko

    Wataalamu wa UN: Korea Kaskazini yaiba mamilioni ya dola kupitia udukuzi mitandaoni

    Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za mitandao na ubadilishanaji fedha. Wataalamu hao waliowanukuu wataalamu wa masuala ya mitandao kwenye...
Back
Top Bottom