udukuzi

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa UN: Korea Kaskazini yaiba mamilioni ya dola kupitia udukuzi mitandaoni

    Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za mitandao na ubadilishanaji fedha. Wataalamu hao waliowanukuu wataalamu wa masuala ya mitandao kwenye...
  2. GUAVA TECHNOLOGIES

    JamiiForums Tanzania SoC01 Suluhisho la upotoshwaji wa taarifa mitandaoni na udukuzi nchini tanzania

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi kuzuia UPOTOSHWAJI WA TAARIFA MITANDAONI na UDUKUZI katika Nchi yetu ya Tanzania. Nitazungumzia mambo yafuatayo: Nini chanzo cha upotoshwaji wa taarifa...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Apple watengeneza programu ya kuzuia udukuzi unaoweza kufanywa kwa vifaa vyake bila ya mtumiaji kubonyeza 'link'

    Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za watumiaji Milioni 500 wa LinkedIn zadukuliwa na kuuzwa mtandaoni

    LinkedIn imethibitisha kuwa taarifa zilizofutwa kutoka kwa watumiaji milioni 500 wa mtandao huo ni sehemu ya hifadhidata ‘database’ zilizochapishwa na wadukuzi. Taarifa za kudukuliwa na kuuzwa kwa data ilichapishwa mara ya kwanza na tovuti ya utafiti ya Cybernews ya usalama wa kitandao tarehe 7...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania White House yataka taasisi kuchukua tahadhari baada ya Microsoft Exchange kudukuliwa

    Ikulu ya Marekani imeonesha wasiwasi wake baada ya shambulio dhidi ya huduma ya Exchange ya Microsoft ikitaka taasisi binafsi na za serikali zilizoathiriwa kuchukua hatua za haraka ili kuepusha madhara zaidi. Katika ujumbe wake kwa waandishi wa habari siku ya Ijumaa, Msemaji wa Ikulu ya...
  6. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Togo ni miongoni mwa watu waliokumbwa na udukuzi uliofanywa katika Mtandao wa WhatsApp

    Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 17 akamatwa kwa udukuzi wa akaunti za watu maarufu Twitter

    Mamlaka katika Jimbo la Florida zimemkamata Graham Ivan Clark kama mtuhumiwa mkuu wa Udukuzi uliotokea kwa watu maarufu wakiwemo Barack Obama, Elon Musk, Bill Gates na Kanye West katika mtandao wa Twitter Graham anatuhumiwa kwa makosa 30 likiwemo la udukuzi na atashtakiwa kama mtu mzima pamoja...
  8. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kifahamu kikundi cha udukuzi mtandaoni kiitwacho Anonymous Hackers mwanzo mwisho

    SALUTE Inafahamika kua Tanzania ni moja kati ya nchi zenye amani na uhuru duniani, hii inatufanya Kujitamba na kutembea kifua mbele ya mataifa mengi hasa ya Afrika kua tuna amani na furaha zaidi katika nchi yetu. Lakini kitu kimoja kikubwa ambacho tunakosea watanzania ni kuwa tunachanganya...
Back
Top Bottom