udini

Udini Square is a shopping mall at Gelugor, a southern suburb of George Town in Penang, Malaysia. Opened in 2015, the three-storey mall is currently anchored by two sporting good chains, SportsDirect.com and MST Golf Superstore, as well as Mr D.I.Y., Malaysia's largest hardware chain.Udini Square was developed by a Malaysian property developer, IJM Corporation, with a gross development value of RM75 million. The suburban lifestyle mall caters to residents within Gelugor, and sits near the Tun Dr Lim Chong Eu Expressway that links George Town, the Penang Bridge and Penang International Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Narudia tena ni kweli tunaenda kupelekea kwenye UDINI sio kebehi ndio washafikia hapo

    Tarehe 5 december nilisema kuwa baada ya watu kumaliza kuswali misikiti yote na kwa nini walipunguza sauti kwenye mawaiza. Sikuwa na nia ya uchonganishi ila kuna mambo ambayo pandikizi tumeyaona kama matamko kudai kwa nini yule msaidi ni mkatoliki kutokuongea. Unajua kwa nini kawa kimya dot...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Samia na wadini wote juu ya dhana ya udini uchwara

    Tangu tupate uhuru, Tanzania imeongozwa na viongozi sita toka dini kuu mbili za kikoloni yaani Ukristo na Uislam. Watatu walikuwa Wakristo yaani JK Nyerere, Ben Mkapa na JP Magufuli ilhali waislamu ni Ally Hassan Mwinyi, Jakaya Kikwete, na sasa Samia Suluhu Hassan. Sikumbuki kuhisi udini katika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Onyo: Udini ukifanikiwa, hata majeshi yatagawika na wanaotegemea majeshi, nao itakula kwao

    Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali. Majeshi yakigawika kwa misingi ya imani za kidini, hayawezi kuwa loyal kwa mujibu wa viapo vyao na itawaathiri hata wale wanaotegemea dola iwaweka madarakani. Mtatoa order, ila askari kabla hajatekeleza hio order, atajiuliza kwanza...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Kufikiri unakataliwa au unakubaliwa kwa sababu ya dini yako ni udini

    Askofu Benson Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook anasema; UDINI UNAWEZA KUWA HUU. Suala la udini katika taifa letu ni mgumu kuuthibitisha. Unachoweza ni kuonyesha au kuona dalili. Ukiona hali hiyo, wewe binafsi unachukua hatua; 1. Kumbagua mtu kwa sababu ya dini yake ni UDINI. 2...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja amwambie Samia, Kabla ya hoja ya Udini. Achokonoe Muungano. Vinginevyo anapoteza muda

    Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano. Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano. Kama amekusudia kweli kuleta chokochoko za Dini aanze na chokochoko za Muungano, Wahafidhina wa Zanzibar wapite naye...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Waarabu na waisrael wanapogania utaifa sie udini nani katuroga huyu?

    Ukitafakari na kuelewa kinachoendelea Mashariki ya Kati ukilinganisha na Tanzania, unahuzunika hata kuugua. Wenzetu wanapigania utaifa. Sie twauana kwa kupigania udini. Halafu tunashangaa kwanini hatuendelei huku Wenzetu wakitutumia na kutucheka mbali na kutubagua na kutudharau. Utaifa kwanza...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, "Matumizi ya Propaganda za Udini" yanaleta uponyaji au yanapanua mpasuko kwenye kidonda?

    Ni kweli kwamba propaganda haziepukiki katika jamii yoyote yenye mijadala, misuguano ya kiitikadi, au mazingira ya kisiasa yaliyochangamka. Hata hivyo, changamoto kubwa si uwepo wake, bali namna zinavyoratibiwa, kusimamiwa na kupimwa kabla ya kutumiwa kama nyenzo ya mawasiliano. Bila uchambuzi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  10. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakaa iwe na UDINI wala UKABILA. Katika hili, Mwl. Nyerere apewe maua yake.

    Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja". Kwanza dini zote zinamuabudu...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nakuhakikishia Samia, kamwe hutofanikiwa kupandikiza mbegu ya Udini kwetu. Tumekukataa wewe na Chama chako

    Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari. Usichokijua ni kwamba hukuwateka na kuwapoteza watu wa dini moja tu. Hujaua watu wa dini moja tu. Umeua, umeteka na kupoteza...
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hili suala la udini ni kama kuna mtu anatafuta huruma

    Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa ninachokiona ni kama kuna mtu anaitumia hii kete ya udini ili kutafuta kitu kinaitwa SYMPATHY na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tujiepushe na Udini, Ukanda, Ukabila na Itikadi Kali za Kisiasa* 🇹🇿

    Udini, ukanda, ukabila na siasa za chuki havina mustakabali mzuri kwa taifa letu. Hizi ni sumu zinazotutenganisha kama Watanzania, na kama hatutazikemea mapema, zinaweza kuligawa taifa, kuharibu mshikamano na kuvuruga maendeleo yetu ya pamoja. Kwa nini tunapaswa kuviepuka: ✅ Udini unavunja...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimeogopa sana! Kete yao ya mwisho ni udini

    Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana Walianza na figisu za kawaida Wakaja na siasa majitaka Wakaanza kurubuni wapinzani Wakaanza kubambikia kesi Wakawa wanateka Wakawa wanateka na kupoteza watu Wakawa wanaua...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 ni nzito imetafutwa propaganda ya Udini kuwahadaa Wajinga

    GT Kama ilivyomkawaida ya maCCM hawa jamaa akili hawna hata mbinu za kukabiliana na matatizo hawana they are not problem solvers. Sasa kutokana na pressure ya maandamano D9 wanepenyeza agenda ya kipumbavu sana engineered from the system maana serikali ipo kimya pamoja na upumbavu unaoendelea...
  16. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Nimekaa nimejiridhisha huko serikalini hakuna problem solvers

    Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile. Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..? Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
  17. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Nimekaa nimejiridhisha huko serikalini hakuna problem solvers

    Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile. Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..? Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
  18. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Karata ya Udini ndo inaenda kumdumbukiza kabisa shimoni na ndo Utakua mwisho wake na Yule mshauri Wake

    Sawa umeamua kuleta karata ya Udini hii ndo inaenda kukudumbukiza kabisa shimoni wewe na huyo anaekushauri aya mambo Watu sio wajinga kwamba utawagawa kwa msingi ya dini...
  19. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeanza udini?

    Mbona naona udini wa wazi wazi hapa tunatokaje?
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uzuri wa Gen Z hawana ujinga wa Udini

    Tuko salama! Yaani katika vitu ambavyo Gen Z wapi smart zaidi ya sisi kaka zao na baba zao ni ujinga wa Udini wala uchama. Hiyo ni moja ya tofauti kuu tuliyonayo na wao. Gen z wao huwezi mletea hadithi za kizamani au kufikirika atabaki kukudharau tuu. Gen Z hawaamini kwenye kumuachia Mungu...
Back
Top Bottom